Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Ufaransa: Tuko tayari kuwekeza na wazawa

SERIKALI ya Ufaranza imesema kuwa iko tayari kuwekeza kwa ubia na wafanyabiashara wa ndani ili Watanzania waweze kunufaika na rasilimali zao. Kauli hiyo ilitolewa jana na Balozi wa Ufaranza nchini,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Tuko tayari kwenda mahabusu’

NAIBU Meya wa Jiji la Arusha, Prosper Msofe na Diwani wa Levelos, Ephata Nanyaro, wote wa CHADEMA, wamesema wamejiandaa kukaa mahabusu  gerezani Kisongo ikiwa ni ishara ya kupinga unyanyasaji na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Gareth Bale:Tuko tayari kuibwaga Barca

Mchezaji wa Real Madrid Gareth Bale amesema kuwa yuko tayari kukabiliana na Barcelona katika mechi ya El Classico.

 

10 years ago

Mtanzania

Bibi: Tuko tayari kwa kifo cha Kristina

NA MWANDISHI WETU
KADRI hali ya mtoto wa aliyekuwa nguli wa muziki nchini Marekani, Whitney Houston, Kristina Brown, inavyozidi kuwa mbaya, ndugu zake wametangaza kuwa tayari kupokea taarifa za kifo chake.
Jana bibi wa binti huyo, Cissy Houston, aliweka wazi kwamba familia ya binti huyo na ndugu kwa ujumla imeshajiandaa na mazishi ya binti huyo, hivyo ipo tayari kupokea taarifa yoyote kuhusu binti wao.
“Familia imejiandaa kwa mazishi ya mjukuu wangu kwa kuwa hadi leo hawajui hatima yake...

 

9 years ago

Mwananchi

Muhongo aita wazawa kuwekeza kwenye umeme

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amewataka wawekezaji wa ndani  wenye uwezo wa kuwekeza kwenye umeme, kujitokeza kuwania zabuni za kusambaza nishati hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi Mulamula azungumza na Balozi wa Ufaransa nchini


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Malika Berak, alipokuja kujitambulisha na kumpongeza Balozi Mulamula kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu. Pia walizungumzia masuala mbalimbali ya kimaendeleo na kukuza mahusiano ya kibiashara kati ya nchi hizi mbili

Katibu Mkuu Balozi Mulamula akimwonyesha Balozi Berak Kitabu kinachozungumzia maendeleo ya Mji wa Kilwa
.
Afisa Mambo ya Nje, Bi. Felisita...

 

10 years ago

Michuzi

jamii inapaswa kuwekeza katika sayansi na teknolojia - Balozi Sefue

Na May-Zuhura Simba
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kuwa ili jamii iweze kukua kwa kasi na kupata maendeleo haina budi kuwekeza katika sayansi na teknolojia.
Aliongea hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa warsha ya kupitia marejeo ya mfumo wa Taifa wa sayansi,teknolojia na ubunifu ulioandaliwa na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.
“ubunifu katika sayansi na teknolojia ni kitu muhimu katika kupata uvumbuzi wa vitu mbalimbali muhimu vinavyoleta maendelao...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt shein akutana na balozi wa ufaransa nchini

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzamnia Bw.Marcel ESCURE alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo / Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana   na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzamnia Bw.Marcel ESCURE alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi mpya wa Ufaransa awasilisha nakala za Hati za Utambulisho

Balozi mpya wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Malika Berak akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mkuu wa Itifaki Balozi Juma Maharage Mhe. Beraki akiweka saini katika kitabu cha wageni Balozi Malika Berak akizungumza na Balozi Maharage mara baada ya kuwasilsha nakala za Hati za Utambulisho Kushoto ni mkurugenzi msaidizi Idara ya Itifaki Bw. James Bwana, kulia ni Afisa Mambo ya Nje Bi. Mona Mahecha wakifuatilia kwa makini mazungumzo kati ya Balozi Malika Berak na Balozi Maharage 
Picha na...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif akutana na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania bibi Malika Berak, alipofika ofisini kwake Migombani kwa mazungumzo. Kulia ni ofisa wa ubalozi Philippe Boncour. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati akizungumza na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania bibi Malika Berak, ofisini kwake Migombani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani