Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muhongo aita wazawa kuwekeza kwenye umeme

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amewataka wawekezaji wa ndani  wenye uwezo wa kuwekeza kwenye umeme, kujitokeza kuwania zabuni za kusambaza nishati hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wachina waonesha nia kuwekeza sekta ya madini, wakutana na Muhongo, Maswi, muhongo asisitiza hakuna kusafirisha madini ghafi

Nuru Mwasampeta na Veronica Simba, Dar es Salaam Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema Wizara yake imejipanga kuhakikisha inajengwa mitambo ya uchakataji madini (Mineral Processing Plants) hapa nchini ili kuondokana na utaratibu wa kusafirisha madini ghafi nje ya nchi na badala yake zisafirishwe bidhaa zitokanazo na madini husika ili kuongeza thamani na hivyo kukuza pato la nchi.  Aliyasema hayo  alipokutana na kuzungumza na Wawekezaji wa Kampuni ya Chinalco ya nchini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Balozi Ufaransa: Tuko tayari kuwekeza na wazawa

SERIKALI ya Ufaranza imesema kuwa iko tayari kuwekeza kwa ubia na wafanyabiashara wa ndani ili Watanzania waweze kunufaika na rasilimali zao. Kauli hiyo ilitolewa jana na Balozi wa Ufaranza nchini,...

 

10 years ago

Dewji Blog

HUAWEI kuwekeza umeme jua Zanzibar

444

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na Ujumbe wa Kampuni ya Huawei mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye Ofisi yake iliyopo Bungeni Mjini Dodoma.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ).

Kampuni ya Mitandao ya Teknolojia ya Kisasa ya Nchini Jamuhuri ya Watu wa China ya Huawei inayoendesha na kusimamia mradi wa Umeme unaotumia jua (Solar Power Solution) imeonyesha nia ya kutaka kuwekeza mradi wa umeme unaotumia jua Visiwani Zanzibar kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Kamouni ya Huawei yaonesha nia kuwekeza mradi wa umeme jua zanzibar

 Kampuni ya Mitandao ya Teknolojia ya Kisasa ya Nchini Jamuhuri ya Watu wa China ya Huawei inayoendesha na kusimamia mradi wa Umeme unaotumia jua (Solar Power Solution) imeonyesha nia ya kutaka kuwekeza Visiwani Zanzibar kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Zanzibar (ZECCO).Ujumbe wa Kampuni Huawei  ulioongozwa na Afisa Mkuu wa Kampuni hiyo Bw.Bruce Zhang ulieleza hayo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake iliyopo katika Jengo la...

 

11 years ago

Habarileo

Hakutakuwa na mgao wa umeme - Muhongo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema hakutakuwa na mgawo wa umeme nchini na bei ya umeme itapungua.

 

9 years ago

Habarileo

Muhongo achoshwa umeme wa bei juu

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameuagiza uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kanda ya Ziwa kuhakikisha wanauingiza mkoa wa Kagera katika Gridi ya Taifa baada ya kubainika nchi inaingia gharama kubwa kununua umeme kutoka Uganda.

 

10 years ago

Mwananchi

Muhongo aagiza umeme bure Tarime

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameagiza kutolewa kwa umeme bure kwenye Kituo cha Ushirika wa Kutokomeza Ukeketaji kilichopo Kata ya Gorong’a, wilayani Tarime Mkoa wa Mara.

 

9 years ago

Mtanzania

TANESCO wameshindwa kuzalisha umeme – Muhongo

muhongo_clipNA FLORENCE SANAWA, MTWARA

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limeshindwa kuzalisha umeme na kusababisha Kiwanda cha Saruji cha Dangote kukodi genereta 75 kutoka nchini China kwa ajili ya kuzalisha umeme wa megawati 42.

Akizungumza wakati wa majumuisho ya ziara yake ya siku moja mkoani hapa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, alisema shirika hilo limeshindwa na halina uwezo wa kuzalisha umeme wa megawati 45 zinazohitajika kwa uzalishaji kiwandani hapo.

“TANESCO wamekuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Muhongo: Tatizo la umeme ni uchakavu wa mitambo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema tatizo la uzalishaji umeme kwenye mabwawa ni uchakavu wa mitambo baada ya kufanya ziara na naibu wake, Dk Menard Kalemani kwenye vituo vya New Pangani na Hale mkoani Tanga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani