Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamouni ya Huawei yaonesha nia kuwekeza mradi wa umeme jua zanzibar

 Kampuni ya Mitandao ya Teknolojia ya Kisasa ya Nchini Jamuhuri ya Watu wa China ya Huawei inayoendesha na kusimamia mradi wa Umeme unaotumia jua (Solar Power Solution) imeonyesha nia ya kutaka kuwekeza Visiwani Zanzibar kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Zanzibar (ZECCO).Ujumbe wa Kampuni Huawei  ulioongozwa na Afisa Mkuu wa Kampuni hiyo Bw.Bruce Zhang ulieleza hayo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake iliyopo katika Jengo la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

HUAWEI kuwekeza umeme jua Zanzibar

444

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na Ujumbe wa Kampuni ya Huawei mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye Ofisi yake iliyopo Bungeni Mjini Dodoma.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ).

Kampuni ya Mitandao ya Teknolojia ya Kisasa ya Nchini Jamuhuri ya Watu wa China ya Huawei inayoendesha na kusimamia mradi wa Umeme unaotumia jua (Solar Power Solution) imeonyesha nia ya kutaka kuwekeza mradi wa umeme unaotumia jua Visiwani Zanzibar kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Paras India yaonesha nia kuwekeza afya nchini

UJUMBE wa uongozi wa juu wa Shirika la Afya la Paras la nchini India linalomiliki hospitali za ngazi ya kimataifa, umewasili jijini Dar es Salaam jana ambapo pamoja na mambo mengine umeanza mchakato kuwekeza katika sekta ya afya. Ujumbe huo ukiongozwa na Naibu Meneja wa Hospitali hizo anayehusika na Uhusiano wa Kimataifa, Anuradha Sharma, ulipokelewa na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Yono Auction Mart ambaye ni Mbunge wa zamani wa Njombe Magharibi, Yono Kevela.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI NISHATI AZINDUA MRADI WA UMEME JUA NANJIRINJI

 Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (kushoto) akisisitiza jambo, mara baada ya kuzindua rasmi mradi wa umeme jua Nanjirinji, wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi, Mei 17, 2020. Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Christopher Ngubiagai. Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Christopher Ngubiagai akizungumza wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (mwenye kilemba-meza kuu), katika kijiji na Kata ya Nanjirinji, wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi ambapo alizindua rasmi mradi wa umeme jua Mei...

 

5 years ago

Michuzi

MRADI WA UMEME JUA UNAVYOWAKOMBOA WAKAZI WA KIJIJI CHA MPALE WILAYANI KOROGWE

Gharama za maisha kwa wakazi wa kijiji cha Mpale, wilayani Korogwe mkoani Tanga, zimetajwa kupungua kutokana na uwepo wa umeme jua unaozalishwa na kusambazwaa na kampuni ya Ensol 
Wakizungumza na Michuzi Blog,wakazi hao wamesema awali iliwalazimu kutumia mafuta ya taa ambayo yaligharimu shilingi kwa siku, hali ambayo imekuwa ikiwarudisha nyuma kimaendeleo.
Aidha wamesema licha ya nishati hiyo kuwapunguzia gharama za maisha pia imekuwa chachu ya wao kujikwamua kiuchumi kama ilivyo kwa mzee...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Huawei endeleeni kuwekeza Tanzania’

Rais Jakaya Kikwete ameiomba Kampuni ya Huawei Technologies kuendelea kuwekeza katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), Tanzania ili kusaidia kuikuza na kuiendeleza sekta hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

HUAWEI YAENDELEA KUWEKEZA KATIKA SECTA YA ICT NCHINI TANZANIA

Mkurugenzi Mtendaji wa HUAWEI Tanzania Peter Zhang, akizungumza na waandishi wa habari juu ya uwekezaji katika Tekinolojia ya ICT nchini.Mazungumzo hayo yalifanyika Makao makuu ya HUAWEI Tanzania jijini Dar es Salaam. Tarehe 18 na 19 Juni 2015, ndani ya ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) uliopo mkoani Dar es Salaam, kampuni ya Huawei Tanzania itashirikiana na Wizara ya mawasiliano, Sayansi na Teknolojia kufanya kongamano la sekta ya Teknolojia ya IT....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zahanati kufungiwa umeme wa jua

ZAHANATI zilizopo wilayani Igunga zinatarajiwa kufungwa umeme wa jua ili kuwaepusha wananchi kuchangia mafuta ya taa wakati wanapohitaji huduma nyakati za usiku katika zahanati hizo. Akizungumza na wananchi wa Kijiji...

 

10 years ago

GPL

WACHINA WAONESHA NIA KUWEKEZA SEKTA YA MADINI

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiongea na Wawekezaji wa Kampuni ya Chinalco ya nchini China waliokuja nchini kwa lengo la kujadiliana na Viongozi Waandamizi wa Wizara kuhusu fursa za uwekezaji hususan katika sekta ya madini.
Wawekezaji wa Kampuni ya Chinalco ya nchini China wakiongea na Waziri Muhongo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema Wizara yake imejipanga kuhakikisha...

 

10 years ago

Habarileo

Wizara yavipatia umeme jua vijiji 10

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneJUMLA ya vijiji 10 katika wilaya za Kongwa, Mlele na Uyui vimeunganishiwa umeme kupitia mradi wa makontena ya kuzalisha umeme kutokana na jua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani