‘Huawei endeleeni kuwekeza Tanzania’
Rais Jakaya Kikwete ameiomba Kampuni ya Huawei Technologies kuendelea kuwekeza katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), Tanzania ili kusaidia kuikuza na kuiendeleza sekta hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wpFlWBEIuOU/VXVPFND6mPI/AAAAAAAHc_U/1IuRBJgHxrg/s72-c/unnamedmmmm.jpg)
HUAWEI YAENDELEA KUWEKEZA KATIKA SECTA YA ICT NCHINI TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-wpFlWBEIuOU/VXVPFND6mPI/AAAAAAAHc_U/1IuRBJgHxrg/s640/unnamedmmmm.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ciG5yRxlT_M/VXVPFQ51hWI/AAAAAAAHc_Y/54_rN18hPQ8/s640/unnamedmmmmy.jpg)
10 years ago
Dewji Blog17 Aug
HUAWEI kuwekeza umeme jua Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na Ujumbe wa Kampuni ya Huawei mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye Ofisi yake iliyopo Bungeni Mjini Dodoma.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ).
Kampuni ya Mitandao ya Teknolojia ya Kisasa ya Nchini Jamuhuri ya Watu wa China ya Huawei inayoendesha na kusimamia mradi wa Umeme unaotumia jua (Solar Power Solution) imeonyesha nia ya kutaka kuwekeza mradi wa umeme unaotumia jua Visiwani Zanzibar kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-m8ESiJZkRzE/U-z6psGmzNI/AAAAAAAF_sc/A3c_YwbWXI4/s72-c/434.jpg)
Kamouni ya Huawei yaonesha nia kuwekeza mradi wa umeme jua zanzibar
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ap3AFHG2O60/U815BJnnf1I/AAAAAAAF4j4/wwENcTmMZ2o/s72-c/unnamed+(28).jpg)
Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, atembelea kampuni ya Nyumba ya NAKHEEL yenye nia ya kuwekeza Tanzania
![](http://3.bp.blogspot.com/-ap3AFHG2O60/U815BJnnf1I/AAAAAAAF4j4/wwENcTmMZ2o/s1600/unnamed+(28).jpg)
Baadhi ya miradi iliyosimamiwa na kampuni hiyo ni pamoja na The Palm Dubai (the largest island Palm City in the World), Nakheel Mall, Dragon Mart na baadhi ya hotel za nyota tano Jijini Dubai.
Kufuatia mazungumzo kati ya Mhe. Mjenga na Bw. Rashid Lootah, mwenyekiti wa NAKHEEL,...
5 years ago
Gizchina.Com18 Feb
Huawei To Launch Huawei Mobile Service In Europe Through Honor V30
10 years ago
Michuzi12 Mar
9 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA KUTOKA QATAR WAHIMIZWA KUWEKEZA TANZANIA
Balozi Mulamula aliyasema hayo kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Taifa ya Qatar iliyofanyika kwenye Hoteli...
11 years ago
MichuziWATANZANIA WASHAURIWA KUWEKEZA NA DHAMANA YA UWEKEZAJI TANZANIA
Wito Huo Umetolewa na Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano Kutoka Dhamana ya uwekezaji Tanzania Bwana Daudi Mbaga Wakati Akitoa Mada Kwenye Semina ya wafanyakazi Wanaokaribia Kustafu Inayoendelea Mkoani Morogoro.
Alisema Kwamba Watanzania Wengi huwa hawajui Nini Cha Kufanya Pindi Wanapostaafu Hali Inayosababisha Watanzania...