Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYABIASHARA KUTOKA QATAR WAHIMIZWA KUWEKEZA TANZANIA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula amesema kuwa Serikali imeweka mazingira rafiki ya uwekezaji, hivyo alitoa wito kwa wafanyabiashara kutoka Qatar kutumia fursa lukuki za uwekezaji zinazopatikana hapa nchini. 
Balozi Mulamula aliyasema hayo kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Taifa ya Qatar iliyofanyika kwenye Hoteli...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA MUMBAI WAHIMIZWA KUTUMIA AIR TANZANIA

Ubalozi wa Tanzania nchini India wakishirikiana na Shirika la Ndege la Tanzania [Air Tanzania] waliandaa Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Mumbai ambapo wafanyabiashara wapatao 40 kutoka Tanzania, Maofisa kutoka Kituo Cha Uwekezaji [Tanzania Investment Centre] na “Air Tanzania” walikutanishwa na wafanyabiashara, wawekezaji na wasafirishaji wa bidhaa wa India wapatao 60.

Pamoja na mambo mengine kongamano hilo lililenga...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa wafanyabiashara kutoka Tanzania na nchi za Ghuba (GCC)

 Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Oman Ali Ahmed Saleh akieleza umuhimu wa mkutano wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania  na nchi za Ghuba (GCC) utakafanyika kwa siku mbili kuanzia Januari 15 hadi 16, 2015 jijini Dar Es Salaam. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara kutoka Oman na nchi za Ghuba (GCC)   Saeed Saleh Saeed Al Kiyumi (katikati) akizungumza na baadhi ya wajumbe wa mkutano wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania  na nchi za Ghuba...

 

9 years ago

StarTV

Watanzania wahimizwa kuwekeza nchini ili kuimarisha sekta ya uchumi

Watanzania wamehimizwa kuwekeza nchini ili kuimarisha sekta ya uchumi hususani kupitia viwanda ambavyo vitazalisha bidhaa bora zitakazouzwa nje ya nchi na kujipatia fedha za kigeni.

Hivi sasa Tanzania inatajwa kuingiza bidhaa nyingi kutoka nchi za nje hali inayosababisha kudorora kwa shilingi ya Tanzania dhidi ya fedha za kigeni hususani dola ya kimarekani.

Kwa kiasi kikubwa Tanzania inauza bidhaa ghafi nje ya nchi ambazo thamani yake inakuwa chini wakati uingizwaji wa bidhaa mbalimbali...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na wafanyabiashara wa Qatar

PG4A5697

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wafanyabiashara wa Qatar wanaokusudia kuwekeza Tanzania katika mkutano na wafanyabiashara  hao uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5699

PG4A5726

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa Qatar wanaokusudia kuwekeza Tanzania  katika mkutano uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 22, 2014. Alikuwa katika ziara ya kaikazi nchini humo. (Picha na...

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU AKARIBISHA WAFANYABIASHARA WA SAUDI ARABIA KUWEKEZA SEKTA YA UTALII NCHINI

 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (wa pili kushoto) akimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Chemba ya Biashara ya Saudi Arabia Dk. Abdulrahman Al-Zamil (wa tatu kushoto) jijini Riyadh, Saudi Arabia. Wengine katika picha kutoka kulia ni Mshauri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Mamlaka ya Wanyamapori ya Saudia Mohammad Sulayem; Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru na Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Prof. Abdillah Omari.  Waziri...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA WA DAWA NA VIFAA TIBA WAHIMIZWA KUFUATA SHERIA

Na  Woinde Shizza, michuzi tv ArushaWAFANYABIASHARA wa Dawa na Vifaa Tiba Kanda ya Kaskazini wamehimizwa kufuata Sheria ya Dawa na Vifaa Tiba,  Sura 219 katika kufanya biashara zao kwa lengo la kuwapatia wananchi bidhaa ambazo ni bora, salama na zenye ufanisi unaotakiwa.
Hayo yamesemwa jana na Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Kaskazini Proches Patrick wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, alisema kumekuwepo na baadhi ya wafanya biashara  wasio...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHI TUZO ZA MUUNGANO WA WAFANYABIASHARA NA WAMILIKI WA VIWANDA KUTOKA TANZANIA NA UTURUKI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Sherehe za Utoaji Tuzo kutoka Muungano wa Wafanyabishara na Wamiliki wa Viwanda wa Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hayatt Regency, jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 11, 2015. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa waandaaji wa Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHI TUZO ZA MUUNGANO WA WAFANYABIASHARA NA WAMILIKI WA VIWANDA KUTOKA TANZANIA NA UTURUKI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Sherehe za Utoaji Tuzo kutoka Muungano wa Wafanyabishara na Wamiliki wa Viwanda wa Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hayatt Regency, jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 11, 2015. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa waandaaji wa Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wawindaji kutoka Qatar watekwa nyara Iraq

Watu wenye silaha wamewateka nyara wawindani 27 kutoka Qatar, miongoni mwao watu wa familia ya kifalme.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani