Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYALANDU AKARIBISHA WAFANYABIASHARA WA SAUDI ARABIA KUWEKEZA SEKTA YA UTALII NCHINI

 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (wa pili kushoto) akimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Chemba ya Biashara ya Saudi Arabia Dk. Abdulrahman Al-Zamil (wa tatu kushoto) jijini Riyadh, Saudi Arabia. Wengine katika picha kutoka kulia ni Mshauri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Mamlaka ya Wanyamapori ya Saudia Mohammad Sulayem; Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru na Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Prof. Abdillah Omari.  Waziri...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PINDA AAGANA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na balozi wa Saudi Arabia nchini Mhe. Hani Mominah baada ya mazungumzo yao.  Balozi huyo alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu  jijini Dar es salaam. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi balozi wa Saudi Arabia Nchini, Mheshimiwa Hani Mominah  baada ya mazungumzo yao. Balozi huyo alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es… ...

 

10 years ago

Michuzi

PINDA AAGANA BALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na balozi wa Saudi Arabia nchini Mhe. Hani Mominah baada ya mazungumzo yao.  Balozi huyo alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu  jijini Dar es salaam  leo Februari 13, 201 kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.,Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi balozi wa Saudi Arabia Nchini, Mheshimiwa Hani Mominah  baada ya mazungumzo yao. Balozi huyo alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 13, 2015 kuaga. Picha na ofisi ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani nchini Syria wakutana Saudi Arabia

Makundi ya upinzani nchini Syria yanatarajiwa kukutana nchini Saudi Arabia katika jitiha za kuwaunganisha

 

9 years ago

GPL

MSIKITI NCHINI SAUDI ARABIA WAPOROMOKA NA KUUA WATU 107

Kreni  baada ya kuangukia msikiti wa Masjid al-Haram Uokoaji ukiendelea Waumini wa dini ya kiislam wakitaharuki msikitini hapo mara baada ya tukio hilo. Waokoaji…

 

9 years ago

Vijimambo

KRENI YAUA 107 MJINI MECCA NCHINI SAUDI ARABIA

 Gavana katika eneo la Mecca ameamrisha kufanyika uchunguzi kufuatia kuanguka kwa kreni katika msikiti mkubwa zaidi duniani. Utawala nchini Saudi Arabia unasema kuwa upepo mkali ndio ulisababisha kreni iliyokuwa ikitumika kwa ujenzi kuanguka kwa msikiti mkubwa mjini mecca ambapo watu 107 waliuawa na wengine takriban 200 kujeruhiwa.
 Mkuu wa idara ya ulinzi wa angani nchini humo alisema kuwa kulikuwa na mvua kubwa wakati ajali hiyo ilipotokea na upepo ulikuwa ukivuma kwa takriban kilomita 83...

 

5 years ago

BBCSwahili

Waasi wa Houthi wadungua ndege ya kivita ya Saudi Arabia nchini Yemen

Waasi wa Houthi wamesema wameidungua ndege ya jeshi la Saudi Arabia, wakati Saudi Arabia ikisema ''ilianguka''.

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ballozi mpya wa Tanzania nchini Saud Arabia, Hemed Mgaza, wakati alipofika kumuaga Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2015. Balozi Mgaza  anakwenda nchini Saud Arabia, kuanza kazi rasmi baada ya kuteuliwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete. (Picha na OMR).

2

 

10 years ago

Michuzi

MAMAKU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ballozi mpya wa Tanzania nchini Saud Arabia, Hemed Mgaza, wakati alipofika kumuaga Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2015. Balozi Mgaza anakwenda nchini Saud Arabia, kuanza kazi rasmi baada ya kuteuliwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete. Picha na OMR.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani