Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania wahimizwa kuwekeza nchini ili kuimarisha sekta ya uchumi

Watanzania wamehimizwa kuwekeza nchini ili kuimarisha sekta ya uchumi hususani kupitia viwanda ambavyo vitazalisha bidhaa bora zitakazouzwa nje ya nchi na kujipatia fedha za kigeni.

Hivi sasa Tanzania inatajwa kuingiza bidhaa nyingi kutoka nchi za nje hali inayosababisha kudorora kwa shilingi ya Tanzania dhidi ya fedha za kigeni hususani dola ya kimarekani.

Kwa kiasi kikubwa Tanzania inauza bidhaa ghafi nje ya nchi ambazo thamani yake inakuwa chini wakati uingizwaji wa bidhaa mbalimbali...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Fuso kuimarisha sekta ya usafirishaji nchini

Sekta ya usafiri nchini inatarajiwa kuwa na mabadiliko makubwa baada ya Kampuni ya Uwakala wa Magari ya Diamond Motors Limited (Sehemu ya Hansa Group), kutambulisha aina mpya ya magari ya Fuso yenye uwezo wa kubeba mizigo yenye uzito mkubwa na kati katika soko la Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU AKARIBISHA WAFANYABIASHARA WA SAUDI ARABIA KUWEKEZA SEKTA YA UTALII NCHINI

 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (wa pili kushoto) akimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Chemba ya Biashara ya Saudi Arabia Dk. Abdulrahman Al-Zamil (wa tatu kushoto) jijini Riyadh, Saudi Arabia. Wengine katika picha kutoka kulia ni Mshauri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Mamlaka ya Wanyamapori ya Saudia Mohammad Sulayem; Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru na Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Prof. Abdillah Omari.  Waziri...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yasaini mkataba wa zaidi ya Sh. Bilioni 422 kuimarisha sekta ya afya nchini

01

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akisaini hati ya makubaliano ya mkopo nafuu kati ya Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia ili kuimarisha sekta ya afya nchini katika hafla iliyofanyika jana jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird.

02

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akibadilishana hati ya makubaliano ya mkopo nafuu na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wahimizwa kununua bidhaa nchini

TATIZO la ajira nchini litaisha endapo Watanzania watabadilika na kupenda kununua bidhaa zinazozalishwa na viwanda  vilivyopo nchini. Hayo yalielezwa juzi na Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda  cha A to Z, Anuj...

 

9 years ago

StarTV

Watanzania waishio China wadhamiria kutoa misaada ili kuboresha Sekta Mbalimbali zikiwemo Afya na Elimu

 

Ushirika wa Watanzania wanaoishi nchini China umedhamiria kutoa msaada katika sekta mbalimbali zikiwemo za elimu na afya ili kupunguza changamoto ya vifaa katika hospitali, zahanati na vituo vya afya.

Kupitia taasisi hiyo ya Umoja wa marafiki wa Tanzania na China tayari imetoa udhamini wa masomo kwa wanafunzi wanaosoma nchini chini kwa kiwango cha Shahada ya Uzamili ambapo kila mwaka wanafunzi 40 wanapata nafasi za kusoma.

Kwa kupitia Taasisi hiyo na serikali ya china imeamua kutoa vitanda...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA BIASHARA MKOA WA DODOMA LASISITIZA USHIRIKIANO BAINA YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI ILI KUONGEZA FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUKUZA UCHUMI WA DODOMA

Mkuu wa Mkoa Dodoma na Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kufungua mkutano wa baraza hilo Mjini Dodoma Feb. 13,2015. Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC) Ndg. Raymond Mbilinyi akiwasilisha majukumu ya Baraza hilo katika kusaidia mabaraza ya biasara ya Mkoa na jinsi ya kukuza ushirikiano kati ya Serikali na Sekta binafsi wakati wa mkutao wa baraza la biashara la Dodoma Feb. 13, 2015. Wajumbe wa baraza la biashara Mkoa wa Dodoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani