Fuso kuimarisha sekta ya usafirishaji nchini
Sekta ya usafiri nchini inatarajiwa kuwa na mabadiliko makubwa baada ya Kampuni ya Uwakala wa Magari ya Diamond Motors Limited (Sehemu ya Hansa Group), kutambulisha aina mpya ya magari ya Fuso yenye uwezo wa kubeba mizigo yenye uzito mkubwa na kati katika soko la Tanzania.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV29 Dec
Watanzania wahimizwa kuwekeza nchini ili kuimarisha sekta ya uchumi
Watanzania wamehimizwa kuwekeza nchini ili kuimarisha sekta ya uchumi hususani kupitia viwanda ambavyo vitazalisha bidhaa bora zitakazouzwa nje ya nchi na kujipatia fedha za kigeni.
Hivi sasa Tanzania inatajwa kuingiza bidhaa nyingi kutoka nchi za nje hali inayosababisha kudorora kwa shilingi ya Tanzania dhidi ya fedha za kigeni hususani dola ya kimarekani.
Kwa kiasi kikubwa Tanzania inauza bidhaa ghafi nje ya nchi ambazo thamani yake inakuwa chini wakati uingizwaji wa bidhaa mbalimbali...
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Serikali yasaini mkataba wa zaidi ya Sh. Bilioni 422 kuimarisha sekta ya afya nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akisaini hati ya makubaliano ya mkopo nafuu kati ya Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia ili kuimarisha sekta ya afya nchini katika hafla iliyofanyika jana jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akibadilishana hati ya makubaliano ya mkopo nafuu na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird...
5 years ago
MichuziNdege ya mizigo kuimarisha usafirishaji samaki nje ya nchi
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema mipango ya Serikali kununua ndege ya mizigo utaimarisha usafirishaji wa minofu ya samaki moja kwa moja kwenda nje ya nchi kutokea uwanja wa ndege wa Mwanza.
Waziri Kamwelwe ameyasema hayo Jumatatu Juni Mosi 2020 jijini Mwanza wakati akifungua mkutano wa kupokea mikakati ya pamoja kuondoa vikwazo na kufanikisha biashara ya usafirishaji minofu ya samaki kwenda nje ya nchi hususani mataifa ya Ulaya ambako kumekuwa na...
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jun
Sekta za utalii, usafirishaji zaongeza mapato
NA SELINA WILSON, DODOMA
TANZANIA imeendelea kufanya vizuri katika biashara ya nje, ikiwemo huduma za utalii na usafirishaji bidhaa kupitia nchini kwenda nchi jirani na hivyo kuongeza mapato.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira, alisema hayo jana bungeni mjini Dodoma, alipokuwa akiwasilisha taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2013 na mpango wa maendeleo wa taifa wa 2014/2015.
Wassira alisema kwa mwaka 2013, katika huduma za utalii, mapato yaliongezeka kutoka...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jGx6aokockM/VSaWZw745TI/AAAAAAAHP20/ujlDiD7q-zU/s72-c/IMG_0535.jpg)
TAROWU YAWATAHADHARISHA MADEREVA KUTOJIHUSISHA NA MIGOMO KATIKA SEKTA YA USAFIRISHAJI
![](http://4.bp.blogspot.com/-jGx6aokockM/VSaWZw745TI/AAAAAAAHP20/ujlDiD7q-zU/s1600/IMG_0535.jpg)
Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
CHAMA cha wafanyakazi wa usafirishaji kwa njia ya barabara Tanzania (TAROWU) kimewatahadharisha wafanyakazi wa sekta ya usafirishaji...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-SNYlCr9yCVk/VdXUJ3l0m-I/AAAAAAAAHuI/_W6opbbkChc/s72-c/fuso.png)
Diamond Motors rolls out the new Fuso FZ in ‘Ndiyo Fuso niFaida’ campaign
![](http://4.bp.blogspot.com/-SNYlCr9yCVk/VdXUJ3l0m-I/AAAAAAAAHuI/_W6opbbkChc/s1600/fuso.png)
9 years ago
Dewji Blog20 Aug
Diamond Motors rolls out the new Fuso FZ in ‘Ndiyo Fuso ni Faida’ campaign
![](http://4.bp.blogspot.com/-SNYlCr9yCVk/VdXUJ3l0m-I/AAAAAAAAHuI/_W6opbbkChc/s1600/fuso.png)
Transport sector is an important component of the economy and a common tool used for development because of its intensive use of infrastructures.
This is even more so in Tanzania’s economy where economic opportunities are increasingly related to the mobility of people, goods and service. It is with this factors in mind that Diamond
Motors (Hansa Group) has introduced NewFuso heavy-duty truck range of Fuso FZ which offers more benefits in terms of efficiency, operation...
11 years ago
Dewji Blog08 May
Serikali ya Tanzania yasaini msaada wa zaidi ya Sh. Bilioni 134 kusaidia sekta ya kilimo na usafirishaji
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kulia) akisaini mkataba wa msaada wa sh. Bilioni 134 kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Balozi EU nchini Filiberto Ceriani Sebregondi.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kulia) akibadilishana hati ya mkataba wa msaada wa sh. Bilioni 134 waliosaini kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Balozi EU nchini Filiberto Ceriani Sebregondi.(Picha na Wizara ya...