Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYABIASHARA MUMBAI WAHIMIZWA KUTUMIA AIR TANZANIA

Ubalozi wa Tanzania nchini India wakishirikiana na Shirika la Ndege la Tanzania [Air Tanzania] waliandaa Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Mumbai ambapo wafanyabiashara wapatao 40 kutoka Tanzania, Maofisa kutoka Kituo Cha Uwekezaji [Tanzania Investment Centre] na “Air Tanzania” walikutanishwa na wafanyabiashara, wawekezaji na wasafirishaji wa bidhaa wa India wapatao 60.

Pamoja na mambo mengine kongamano hilo lililenga...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA KUTOKA QATAR WAHIMIZWA KUWEKEZA TANZANIA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula amesema kuwa Serikali imeweka mazingira rafiki ya uwekezaji, hivyo alitoa wito kwa wafanyabiashara kutoka Qatar kutumia fursa lukuki za uwekezaji zinazopatikana hapa nchini. 
Balozi Mulamula aliyasema hayo kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Taifa ya Qatar iliyofanyika kwenye Hoteli...

 

9 years ago

Habarileo

Wahimizwa kutumia maktaba

WATANZANIA wameshauriwa kujenga utamaduni wa kutumia maktaba za umma kwa kuwa zipo kwa ajili yao na vizazi vyao.

 

10 years ago

Mwananchi

Wahimizwa kutumia fursa za mikopo

Diwani wa Viti Maalumu Kata ya Chumbageni Halmashauri ya Jiji la Tanga, Saida Gaddafi (CCM), amewataka wajasiriamali wanawake kuzitumia fursa za mikopo katika taasisi za fedha zikiwamo benki ili kukuza biashara zao na kuingia katika masoko ya ushindani likiwamo la Afrika Mashariki.

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAHIMIZWA KUTUMIA HUDUMA ZA BIMA.

Kamishna wa Bima nchini Bw. Israel Kamuzora.
Jovina Bujulu-MAELEZOWATANZANIA theluthi mbili hawana ufahamu wa kutosha kuhusu namna Bima inavyofanya kazi nchini hasa Bima ya Maisha na Mali.
Hayo yamesemwa na Kamishna wa Bima nchini Bw. Israel Kamuzora alipokuwa akifunga mafunzo ya wiki ya huduma kifedha na uwekezaji mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam.
Kamuzora aliwataka washiriki wa mafunzo hayo kueneza ujuzi na ufahamu waliopata ili wananchi walio wengi waweze kunufaika na huduma za bima...

 

11 years ago

Habarileo

Wakulima wahimizwa kutumia ardhi kujikwamua

PAMOJA na kuwepo kwa ugonjwa wa mnyauko wa migomba mkoani Kagera wananchi wametakiwa kutumia ardhi kujikwamua kiuchumi.

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA WA DAWA NA VIFAA TIBA WAHIMIZWA KUFUATA SHERIA

Na  Woinde Shizza, michuzi tv ArushaWAFANYABIASHARA wa Dawa na Vifaa Tiba Kanda ya Kaskazini wamehimizwa kufuata Sheria ya Dawa na Vifaa Tiba,  Sura 219 katika kufanya biashara zao kwa lengo la kuwapatia wananchi bidhaa ambazo ni bora, salama na zenye ufanisi unaotakiwa.
Hayo yamesemwa jana na Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Kaskazini Proches Patrick wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, alisema kumekuwepo na baadhi ya wafanya biashara  wasio...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wadau wahimizwa kutumia kanza ya chakula na kilimo

OFISI ya Taifa ya Takwimu imewataka watunga sera, taasisi, mashirika na wadau mbalimbali wa maendeleo kuitumia kanza (Data base), rasmi ya takwimu za chakula na kilimo iliyoanzishwa kwa lengo la...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wajasiriamali wahimizwa kutumia Internet kutangaza biashara zao!

DSC_0336Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Zanzibar, Bw. Salim Maulidi Salim akimkabidhi picha ya mlango wa asili ya Zanzibar, Mwenyekiti wa Watanzania wanaoishi jijini Birmingham, Bw. Prince Kateka II ikiwa ni ishara ya kukaribishwa Zanzibar.

Wafanyabiashara wamehimizwa kutumia mtandao wa internet kutangaza bidhaa na huduma wanazotoa kwa kuwa njia hiyo ni nafuu na inawafikiwa watu wengi kwa haraka. Hayo yalibainishwa na Bw. Dickson Inachee, Raia wa Uganda alipokuwa anatoa mada katika kongamano la siku...

 

9 years ago

Michuzi

WAJASILIAMALI WAHIMIZWA KUTUMIA INTERNET KUTANGAZA BIASHARA ZAO

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Zanzibar, Bw. Salim Maulidi Salim akimkabidhi picha ya mlango wa asili ya Zanzibar, Mwenyekiti wa Watanzania wanaoishi jijini Birmingham, Bw. Prince Kateka II ikiwa ni ishara ya kukaribishwa Zanzibar.Wafanyabiashara wamehimizwa kutumia mtandao wa internet kutangaza bidhaa na huduma wanazotoa kwa kuwa njia hiyo ni nafuu na inawafikiwa watu wengi kwa haraka. Hayo yalibainishwa na Bw. Dickson Inachee, Raia wa Uganda alipokuwa anatoa mada katika kongamano la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani