Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA WAHIMIZWA KUTUMIA HUDUMA ZA BIMA.

Kamishna wa Bima nchini Bw. Israel Kamuzora.
Jovina Bujulu-MAELEZOWATANZANIA theluthi mbili hawana ufahamu wa kutosha kuhusu namna Bima inavyofanya kazi nchini hasa Bima ya Maisha na Mali.
Hayo yamesemwa na Kamishna wa Bima nchini Bw. Israel Kamuzora alipokuwa akifunga mafunzo ya wiki ya huduma kifedha na uwekezaji mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam.
Kamuzora aliwataka washiriki wa mafunzo hayo kueneza ujuzi na ufahamu waliopata ili wananchi walio wengi waweze kunufaika na huduma za bima...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wahimizwa kukata bima za nyumba

WATANZANIA wameshauriwa kuweka kipaumbele katika ukataji wa bima, hasa za nyumba na kuacha kutumia fedha kwa mambo yasiyofaa. Ushauri huo ulitolewa jijini Dar es Salaam juzi na Msemaji wa Kampuni...

 

10 years ago

Michuzi

Jubilee Insurance kutumia M-PESA kuwawezesha mamilioni ya watanzania wenye kipato cha chini kujiunga na bima ya Afya

Naibu kamishina wa Bima Tanzania, Juma Makame (katikati) akishuhudiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Jubilee Insurance, George Alande (kushoto) na Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa wakati akisaini nyaraka za makubaliano ya huduma ya BimaAFYA kati ya Vodacom Tanzania na Jubilee Insurance itakayotolewa kupitia huduma ya M PESA, ambapo Watanzania wenye kipato cha chini watajiunga na huduma hiyo na kupata matibabu kwenye hospitali zaidi ya 150 nchini. Ili kujiunga...

 

10 years ago

GPL

JUBILEE INSURANCE KUTUMIA M-PESA KUWAWEZESHA MAMILIONI YA WATANZANIA WENYE KIPATO CHA CHINI KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA‏

Naibu kamishina wa Bima Tanzania, Juma Makame (katikati) akishuhudiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Jubilee Insurance, George Alande (kushoto) na Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa wakati akisaini nyaraka za makubaliano ya huduma ya BimaAFYA kati ya Vodacom Tanzania na Jubilee Insurance itakayotolewa kupitia huduma ya M PESA, ambapo Watanzania wenye kipato cha chini watajiunga na huduma hiyo na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watanzania watahimizwa kujitolea kutumia huduma ya NitafuteApp

nitafuteapp_login

Na Nyakongo Manyama- Maelezo

Shirika la Kimataifa linalofanya kazi kupitia Tume ya Taifa Tanzania dawati la vijana UNESCO imeanzisha huduma iitwayo NitafuteApp ili kuwezesha utafutaji, utambuzi, uokozi matibabu ya huduma ya kwanza kisaikolojia pamoja na utoaji taarifa wa watu waliopotea.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji Mradi wa NitafuteApp Tryhone Elias amesema kuwa huduma hiyo ina lengo la kutafuta, kutambua na kutoa taarifa wa watu...

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAMETAKIWA KUTUMIA HUDUMA YA USAFI WA MAZINGIRA KWA LENGO LA KUEPUSHA MAGONJWA YA MILIPUKO

Katibu Tawala wa wilaya ya Arusha David Mwakiposa akiongea kwenye hafla ya makabidhiano ya vifaa kwa wamiliki wa magari ya Unyonyaji wa Maji Taka kwenye ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha
Katibu Tawala Jiji la Arusha David Mwakiposa akimkabidhi vifaa vya kufanyiakazi ya Unyonyaji wa Maji Taka kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Sifael Silanga kwenye makabidhiano yaliofanyika kwa ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa ArushaNa Ahmed Mahmoud ArushaKatibu...

 

9 years ago

Habarileo

Wahimizwa kutumia maktaba

WATANZANIA wameshauriwa kujenga utamaduni wa kutumia maktaba za umma kwa kuwa zipo kwa ajili yao na vizazi vyao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

EAC kutumia bima moja

NCHI za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zimekubaliana kuanza kutumia bima moja ya afya na bima za magari kwa wananchi wa nchi hizo  kwa lengo kupambana na changamoto zinazoikabili jumuiya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wahimizwa kutumia fursa za mikopo

Diwani wa Viti Maalumu Kata ya Chumbageni Halmashauri ya Jiji la Tanga, Saida Gaddafi (CCM), amewataka wajasiriamali wanawake kuzitumia fursa za mikopo katika taasisi za fedha zikiwamo benki ili kukuza biashara zao na kuingia katika masoko ya ushindani likiwamo la Afrika Mashariki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani