Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahimizwa kutumia maktaba

WATANZANIA wameshauriwa kujenga utamaduni wa kutumia maktaba za umma kwa kuwa zipo kwa ajili yao na vizazi vyao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wahimizwa kutumia fursa za mikopo

Diwani wa Viti Maalumu Kata ya Chumbageni Halmashauri ya Jiji la Tanga, Saida Gaddafi (CCM), amewataka wajasiriamali wanawake kuzitumia fursa za mikopo katika taasisi za fedha zikiwamo benki ili kukuza biashara zao na kuingia katika masoko ya ushindani likiwamo la Afrika Mashariki.

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAHIMIZWA KUTUMIA HUDUMA ZA BIMA.

Kamishna wa Bima nchini Bw. Israel Kamuzora.
Jovina Bujulu-MAELEZOWATANZANIA theluthi mbili hawana ufahamu wa kutosha kuhusu namna Bima inavyofanya kazi nchini hasa Bima ya Maisha na Mali.
Hayo yamesemwa na Kamishna wa Bima nchini Bw. Israel Kamuzora alipokuwa akifunga mafunzo ya wiki ya huduma kifedha na uwekezaji mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam.
Kamuzora aliwataka washiriki wa mafunzo hayo kueneza ujuzi na ufahamu waliopata ili wananchi walio wengi waweze kunufaika na huduma za bima...

 

11 years ago

Habarileo

Wakulima wahimizwa kutumia ardhi kujikwamua

PAMOJA na kuwepo kwa ugonjwa wa mnyauko wa migomba mkoani Kagera wananchi wametakiwa kutumia ardhi kujikwamua kiuchumi.

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA MUMBAI WAHIMIZWA KUTUMIA AIR TANZANIA

Ubalozi wa Tanzania nchini India wakishirikiana na Shirika la Ndege la Tanzania [Air Tanzania] waliandaa Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Mumbai ambapo wafanyabiashara wapatao 40 kutoka Tanzania, Maofisa kutoka Kituo Cha Uwekezaji [Tanzania Investment Centre] na “Air Tanzania” walikutanishwa na wafanyabiashara, wawekezaji na wasafirishaji wa bidhaa wa India wapatao 60.

Pamoja na mambo mengine kongamano hilo lililenga...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau wahimizwa kutumia kanza ya chakula na kilimo

OFISI ya Taifa ya Takwimu imewataka watunga sera, taasisi, mashirika na wadau mbalimbali wa maendeleo kuitumia kanza (Data base), rasmi ya takwimu za chakula na kilimo iliyoanzishwa kwa lengo la...

 

10 years ago

Michuzi

WAJASILIAMALI WAHIMIZWA KUTUMIA INTERNET KUTANGAZA BIASHARA ZAO

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Zanzibar, Bw. Salim Maulidi Salim akimkabidhi picha ya mlango wa asili ya Zanzibar, Mwenyekiti wa Watanzania wanaoishi jijini Birmingham, Bw. Prince Kateka II ikiwa ni ishara ya kukaribishwa Zanzibar.Wafanyabiashara wamehimizwa kutumia mtandao wa internet kutangaza bidhaa na huduma wanazotoa kwa kuwa njia hiyo ni nafuu na inawafikiwa watu wengi kwa haraka. Hayo yalibainishwa na Bw. Dickson Inachee, Raia wa Uganda alipokuwa anatoa mada katika kongamano la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wajasiriamali wahimizwa kutumia Internet kutangaza biashara zao!

DSC_0336Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Zanzibar, Bw. Salim Maulidi Salim akimkabidhi picha ya mlango wa asili ya Zanzibar, Mwenyekiti wa Watanzania wanaoishi jijini Birmingham, Bw. Prince Kateka II ikiwa ni ishara ya kukaribishwa Zanzibar.

Wafanyabiashara wamehimizwa kutumia mtandao wa internet kutangaza bidhaa na huduma wanazotoa kwa kuwa njia hiyo ni nafuu na inawafikiwa watu wengi kwa haraka. Hayo yalibainishwa na Bw. Dickson Inachee, Raia wa Uganda alipokuwa anatoa mada katika kongamano la siku...

 

9 years ago

StarTV

Wataalamu wa afya wahimizwa kutumia taaluma zao kwakufanya tafiti

Wataalamu wa Sekta ya afya nchini wanapaswa kutumia taaluma yao kutafiti na kugundua visababishi vya magonjwa mbalimbali yanayoathiri jamii hali itakayosaidia Serikali kukabiliana na magonjwa husika.

Tafiti zinaonyesha kuwa magonjwa mengi yamekuwa yakiikumba jamii kutokana na kukosekana kwa watalaamu wa kubaini visababishi vya maradhi hayo.

Mkuu wa chuo kikuu kishiriki cha Sayansi ya tiba cha  KCMU College kilichopo mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro  Prof.Elgibert Kessy anaona ipo haja kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani