Wahimizwa kutumia fursa za mikopo
Diwani wa Viti Maalumu Kata ya Chumbageni Halmashauri ya Jiji la Tanga, Saida Gaddafi (CCM), amewataka wajasiriamali wanawake kuzitumia fursa za mikopo katika taasisi za fedha zikiwamo benki ili kukuza biashara zao na kuingia katika masoko ya ushindani likiwamo la Afrika Mashariki.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Mtwara, Lindi wahimizwa kuchangamkia fursa
WANANCHI wa mikoa ya Lindi na Mtwara, wametakiwa kuchangamkia fursa zinazotokana na kuongezeka kwa uwekezaji katika mikoa hiyo kutokana na kugundulika kwa gesi asilia. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika...
9 years ago
Habarileo14 Aug
Wahimizwa kutumia maktaba
WATANZANIA wameshauriwa kujenga utamaduni wa kutumia maktaba za umma kwa kuwa zipo kwa ajili yao na vizazi vyao.
10 years ago
Vijimambo23 Jan
Watanzania wahimizwa kuchangamkia fursa za ajira, Emirates
9 years ago
StarTV10 Oct
Wadau barani Afrika wahimizwa kuchangamkia fursa za biashara
Wadau wa sekta ya uchumi barani Afrika wamehimizwa kuzichangamkia fursa za biashara na masoko kwa kuzingatia uwekezaji madhubuti ili kukuza uchumi wa nchi zao.
Wito huo umetolewa jijini Nairobi na meneja masoko wa kampuni ya Kenya airways Chris Diaz, akijielekeza zaidi kuzungumzia wajibu wa makampuni ya kibiashara barani Afrika kuzisaidia nchi za kiafrika kufanikisha mpango wa maendeleo wa 2030.
Mpango wa miaka kumi na tano ulioainishwa na Umoja wa mataifa hivi karibuni ukilenga kumaliza...
11 years ago
Habarileo10 May
Wakulima wahimizwa kutumia ardhi kujikwamua
PAMOJA na kuwepo kwa ugonjwa wa mnyauko wa migomba mkoani Kagera wananchi wametakiwa kutumia ardhi kujikwamua kiuchumi.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MxPAZdnXRnc/VeRTmt0nOtI/AAAAAAAH1SA/Feh4919WmKQ/s72-c/_2.jpg)
WATANZANIA WAHIMIZWA KUTUMIA HUDUMA ZA BIMA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-MxPAZdnXRnc/VeRTmt0nOtI/AAAAAAAH1SA/Feh4919WmKQ/s640/_2.jpg)
Jovina Bujulu-MAELEZOWATANZANIA theluthi mbili hawana ufahamu wa kutosha kuhusu namna Bima inavyofanya kazi nchini hasa Bima ya Maisha na Mali.
Hayo yamesemwa na Kamishna wa Bima nchini Bw. Israel Kamuzora alipokuwa akifunga mafunzo ya wiki ya huduma kifedha na uwekezaji mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam.
Kamuzora aliwataka washiriki wa mafunzo hayo kueneza ujuzi na ufahamu waliopata ili wananchi walio wengi waweze kunufaika na huduma za bima...
9 years ago
Dewji Blog04 Sep
Fursa ya mikopo kwa wajasiriamali wa kati na wafanyakazi
Je umekwama kifedha?,Hujui wapi pa kwenda? Je unahitaji kutimiza ndoto na malengo yako? usihangaike
Kampuni ya mikopo ya wezesha mzawa microfinance ltd inatoa mikopo kwa wajasiriamali wa kati na wafanyakazi wa sekta zote ikiwemo biashara,viwanda na ufugaji.
Kiwango cha mkopo kinaanzia 500,000/= hadi 50,000,000/=
Mkopo unatolewa ndani ya masaa 24
Sifa za mkopaji
.uwe ni mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18
.uwe n uzoefu wa biashara usiopungua
.uwe na namba ya utambulisho wa kodi (TIN)
...
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
Wadau wahimizwa kutumia kanza ya chakula na kilimo
OFISI ya Taifa ya Takwimu imewataka watunga sera, taasisi, mashirika na wadau mbalimbali wa maendeleo kuitumia kanza (Data base), rasmi ya takwimu za chakula na kilimo iliyoanzishwa kwa lengo la...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-H0V0bzwwVYQ/XmO-X-xBKoI/AAAAAAAA-BA/Q9r0wu5Jju8y1GTtyzn8b7nd2IuQrJc9wCLcBGAsYHQ/s72-c/BARAKA1.jpg)
WAFANYABIASHARA MUMBAI WAHIMIZWA KUTUMIA AIR TANZANIA
Pamoja na mambo mengine kongamano hilo lililenga...