Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania wahimizwa kuchangamkia fursa za ajira, Emirates

Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Simba Yahya akizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa Habari-Maelezo. Balozi Yahya aliwaomba wanahabari hao kuwafikishia ujumbe Watanzania wote ili wachangamkie fursa za ajira katika Shirika la Ndege la Emirates. Wengine katika picha, kulia ni Konseli Mkuu wa Konseli ya Tanzania nchini Dubai Bw. Omar Mjenga na kushoto ni Kaimu Mkuu Mtendaji kutoka Wakala wa Huduma za Ajira...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA ZITOLEWAZO NA AFRIKA MASHARIKI

WATANZANIA wametakiwa kujifunza kuchangamkia fursa za ajira zinazotolewa na Afrika Mashariki kama ilivyo kwa nchi nyingine.
Kauli hiyo ilitolewa jana na mgombea wa Urais kupitia Chadema, Edward Lowassa alipokuwa kwenye kampeni zake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Namanga.
Lowassa alisema iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atahakikisha kuwa watanzania wanachangamkia fursa za Afrika Mashariki kama ilivyo kwa Kenya.
"Napenda mahusiano ya Afrika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtwara, Lindi wahimizwa kuchangamkia fursa

WANANCHI wa mikoa ya Lindi na Mtwara, wametakiwa kuchangamkia fursa zinazotokana na kuongezeka kwa uwekezaji katika mikoa hiyo kutokana na kugundulika kwa gesi asilia. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika...

 

9 years ago

StarTV

Wadau barani Afrika wahimizwa kuchangamkia fursa za biashara

Wadau wa sekta ya uchumi barani Afrika wamehimizwa kuzichangamkia fursa za biashara na masoko kwa kuzingatia uwekezaji madhubuti ili kukuza uchumi wa nchi zao.

Wito huo umetolewa jijini Nairobi na meneja masoko  wa kampuni ya Kenya airways Chris Diaz, akijielekeza zaidi kuzungumzia wajibu wa makampuni ya kibiashara barani Afrika kuzisaidia nchi za kiafrika kufanikisha mpango wa maendeleo wa 2030.

Mpango wa miaka kumi na tano ulioainishwa na Umoja wa mataifa hivi karibuni ukilenga kumaliza...

 

11 years ago

Dewji Blog

Watanzania wametakiwa kuchangamkia fursa za uwekezaji

IMG_4489

IMG_4507

Ofisa utumishi Mkuu  Wilaya ya kinondoni  Bwana Godfrey Mugomi akikata utepe  kuashiaria  uzinduzi  wa Hoteli ya kisasa STAR CITY HOTEL iliyopo Afrikana Sinza wanaoshudia ni Mkurugezi mkuu na mmiliki wa Hoteli hiyo Bwana Obadia Mtewele na Mkewe Joyce Msigwa hoteli hiyo ya kisasa inayo uwezo wa kupokea wageni  kutoka nje ya nchi na ndani ya nchi.

IMG_4494

Muhudumu aliye fuzu katika kazi za Hoteli akiandaa vyombo kwa ajili ya wageni.

IMG_4492

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KILI MARATHON.


Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akionesha Nishani aliyopewa mara baada ya kumaliza mbio za Kilometa 21 kwenye mbio za Kili Marathon leo mjini Moshi.

KILI MARATHON 2020: Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla akishiriki mbio za Kili Marathon ( KM 21) mjini Moshi leo. Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa nishani na zawadi kwa washindi wa Kili Marathon 2020 leo mjini Moshi.



Na. Aron Msigwa – WMU, Moshi.

Waziri wa Maliasili na Utalii...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe ahimiza watanzania kuchangamkia fursa

TATIZO la Watanzania kushindwa kuziwahi fursa duniani, kunafanya mataifa mengine kuwahi kuzitumia fursa ambazo watanzania ndio wangeliweza kuzichukua na kufaidika nazo.Aidha imeelezwa kuwa kutokana na tatizo hilo upo uwezekano mkubwa duniani wa Kiswahili ambacho ni fursa kwa watanzania kusambazwa na taifa la China kutokana na juhudi kubwa zinazofanywa na taifa hilo.Kauli hizo zimetolewa na Waziri wa Habari, Vijana, Michezo na Utamaduni, Dk Harrison Mwakyembe wakati akizindua taarifa ya...

 

10 years ago

Michuzi

Membe awahimiza Watanzania kuchangamkia fursa za kibiashara na kuwekeza katika Visiwa vya Comoro

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) amewahimiza wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa za biashara na uwekezaji Visiwani Comoro kwani uhusiano baina ya nchi hizi mbili umeimarika.  Mhe. Membe alitoa kauli hiyo wakati akilihutubia Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Comoro lililoandaliwa na Balozi za Tanzania na Comoro kwa kushirikiana na sekta binafsi za nchi hizo mbili jijini Moroni, Comoro tarehe 23 Aprili, 2015.  “Watanzania...

 

10 years ago

Michuzi

DEGE ECO - VILLAGE WASHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA, WATANZANIA WAOMBWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KUNUNUA NYUMBA

Mradi wa nyumba unaosimamiwa na kampuni ya Hifadhi inayoitwa Dege Eco-Village umeshiriki Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam ya Saba Saba.Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,  Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Bw. Azhar Malik wa Dege eco-Village alisema  kwa sasa ujenzi unaendelea na karibu aina ya nyumba apartment 3000 zishakamilika.Aliongezea kusema kwamba kupitia mradi huu waTanzania watanufaika kwa kupata ajira na pia kuwa na huduma kama hospitali, shule,...

 

10 years ago

Vijimambo

DEGE ECO - VILLAGE WASHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA, WAWAOMBA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KUNUNUA NYUMBA

Mradi wa nyumba unaosimamiwa na kampuni ya Hifadhi inayoitwa Dege Eco-Village umeshiriki Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam ya Saba Saba. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,  Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Bw. Azhar Malik wa Dege eco-Village alisema “Kwa sasa ujenzi unaendelea na karibu aina ya nyumba apartment 3000 zishakamilika. Aliongezea kusema kwamba kupitia mradi huu waTanzania watanufaika kwa kupata ajira na pia kuwa na huduma kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani