Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Membe awahimiza Watanzania kuchangamkia fursa za kibiashara na kuwekeza katika Visiwa vya Comoro

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) amewahimiza wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa za biashara na uwekezaji Visiwani Comoro kwani uhusiano baina ya nchi hizi mbili umeimarika.  Mhe. Membe alitoa kauli hiyo wakati akilihutubia Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Comoro lililoandaliwa na Balozi za Tanzania na Comoro kwa kushirikiana na sekta binafsi za nchi hizo mbili jijini Moroni, Comoro tarehe 23 Aprili, 2015.  “Watanzania...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mshauri wa Masuala ya Ulinzi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro afanya ziara ya kikazi katika visiwa vya Comoro

Mshauri wa Masuala ya Ulinzi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro mwenye makazi yake Mjini Maputo, Msumbiji, Kanali Mahamud Lwimbo, alifanya ziara ya kikazi katika visiwa vya Comoro ambapo alikutana na Viongozi Wandamizi wa Visiwa hivyo wakiwemo Mhe. Ahmada Mmadi Bolero, Waziri anayehusika na Masuala ya Ulinzi na Kanali Youssouf Idjihadi Mkuu wa Jeshi la Comoro. Alipokutana na Viongozi hawa wa Comoro, Kanali Lwimbo alipata fursa ya kuzungumzia kwa kina umuhimu na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Urembo katika visiwa vya Comoro

Bila shaka urembo unaweza kutafsiriwa kwa namna mbalimbali.Na nchi tofauti zina namna ya kipekee kudhihirisha uzuri wao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Je,wajua nini kuhusu visiwa vya Comoro?

Moja kati ya visiwa vya Comoro vinavyokaribiana na pwani ya Msumbiji ni kile cha Anzwan, kuna wasiwasi unaongezeka kati yake na kisiwa jirani kilivyofanikiwa zaidi kimaisha, kisiwa cha Mayotte, ambacho ni koloni la Mfaransa hadi leo.

 

10 years ago

Michuzi

ATCL yaongeza safari zake visiwa vya Comoro.

  Abiria wakishuka kwenye  Ndege ya Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) aina ya CRJ 100. Picha ya Maktaba
SHIRIKA la ndege la taifa (ATCL) limetangaza  uamuzi wake wa kuongeza idadi ya safari zake kuelekea visiwa vya Comoro hatua inayolenga kuendana  na ongezeko la mahitaji ya huduma za shirika hilo hususani katika kuelekea kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Kwa sasa shirika hilo linatoa huduma zake kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Kigoma na Mtwara kila siku. Sambamba na kutoa huduma...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Chiza kuhudhuria kongamano Kubwa la Biashara Visiwa vya Comoro

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Mhandisi Christopher Chiza (Mb) ahudhuria Kongamano Kubwa la Biashara kati ya Comoro na Tanzania, litakalofanyika tarehe 23 Aprili, 2015 Visiwani Comoro.
Lengo kuu la kongamano hilo ni “kuongeza kiwango cha biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Comoro kwa kutambua fursa zilizopo kati ya nchi hizi mbili na kurasimisha biashara ambayo kwa sasa hairatibiwi”.
Kongamano hilo ambalo litawakutanisha viongozi, maafisa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Watanzania wametakiwa kuchangamkia fursa za uwekezaji

IMG_4489

IMG_4507

Ofisa utumishi Mkuu  Wilaya ya kinondoni  Bwana Godfrey Mugomi akikata utepe  kuashiaria  uzinduzi  wa Hoteli ya kisasa STAR CITY HOTEL iliyopo Afrikana Sinza wanaoshudia ni Mkurugezi mkuu na mmiliki wa Hoteli hiyo Bwana Obadia Mtewele na Mkewe Joyce Msigwa hoteli hiyo ya kisasa inayo uwezo wa kupokea wageni  kutoka nje ya nchi na ndani ya nchi.

IMG_4494

Muhudumu aliye fuzu katika kazi za Hoteli akiandaa vyombo kwa ajili ya wageni.

IMG_4492

 

10 years ago

Michuzi

WASIRA AWAHIMIZA WAKAZI WA MTWARA KUWEKEZA KATIKA UZALISHAJI WA MAZAO YA KILIMO NA UVUVI

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wasira akiongea na baadhi ya wanachama wa CCM mkoani Mtwara alipofika kuomba kudhaminiwaWaziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wasira akipokewa na baadhi ya wanachama wa CCM mkoani Mtwara alipofika kuomba kudhaminiwa

Na Woinde Shizza

WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wasira,amewahimiza wakazi wa Mtwara kuwekeza katika uzalishaji wa mazao ya kilimo na uvuvi ikiwa ni sehemu ya shughuli za kiuchumi zitakazowanufaisha kutokana na...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe ahimiza watanzania kuchangamkia fursa

TATIZO la Watanzania kushindwa kuziwahi fursa duniani, kunafanya mataifa mengine kuwahi kuzitumia fursa ambazo watanzania ndio wangeliweza kuzichukua na kufaidika nazo.Aidha imeelezwa kuwa kutokana na tatizo hilo upo uwezekano mkubwa duniani wa Kiswahili ambacho ni fursa kwa watanzania kusambazwa na taifa la China kutokana na juhudi kubwa zinazofanywa na taifa hilo.Kauli hizo zimetolewa na Waziri wa Habari, Vijana, Michezo na Utamaduni, Dk Harrison Mwakyembe wakati akizindua taarifa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani