Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Urembo katika visiwa vya Comoro

Bila shaka urembo unaweza kutafsiriwa kwa namna mbalimbali.Na nchi tofauti zina namna ya kipekee kudhihirisha uzuri wao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mshauri wa Masuala ya Ulinzi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro afanya ziara ya kikazi katika visiwa vya Comoro

Mshauri wa Masuala ya Ulinzi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro mwenye makazi yake Mjini Maputo, Msumbiji, Kanali Mahamud Lwimbo, alifanya ziara ya kikazi katika visiwa vya Comoro ambapo alikutana na Viongozi Wandamizi wa Visiwa hivyo wakiwemo Mhe. Ahmada Mmadi Bolero, Waziri anayehusika na Masuala ya Ulinzi na Kanali Youssouf Idjihadi Mkuu wa Jeshi la Comoro. Alipokutana na Viongozi hawa wa Comoro, Kanali Lwimbo alipata fursa ya kuzungumzia kwa kina umuhimu na...

 

10 years ago

Michuzi

Membe awahimiza Watanzania kuchangamkia fursa za kibiashara na kuwekeza katika Visiwa vya Comoro

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) amewahimiza wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa za biashara na uwekezaji Visiwani Comoro kwani uhusiano baina ya nchi hizi mbili umeimarika.  Mhe. Membe alitoa kauli hiyo wakati akilihutubia Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Comoro lililoandaliwa na Balozi za Tanzania na Comoro kwa kushirikiana na sekta binafsi za nchi hizo mbili jijini Moroni, Comoro tarehe 23 Aprili, 2015.  “Watanzania...

 

9 years ago

BBCSwahili

Je,wajua nini kuhusu visiwa vya Comoro?

Moja kati ya visiwa vya Comoro vinavyokaribiana na pwani ya Msumbiji ni kile cha Anzwan, kuna wasiwasi unaongezeka kati yake na kisiwa jirani kilivyofanikiwa zaidi kimaisha, kisiwa cha Mayotte, ambacho ni koloni la Mfaransa hadi leo.

 

10 years ago

Michuzi

ATCL yaongeza safari zake visiwa vya Comoro.

  Abiria wakishuka kwenye  Ndege ya Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) aina ya CRJ 100. Picha ya Maktaba
SHIRIKA la ndege la taifa (ATCL) limetangaza  uamuzi wake wa kuongeza idadi ya safari zake kuelekea visiwa vya Comoro hatua inayolenga kuendana  na ongezeko la mahitaji ya huduma za shirika hilo hususani katika kuelekea kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Kwa sasa shirika hilo linatoa huduma zake kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Kigoma na Mtwara kila siku. Sambamba na kutoa huduma...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Chiza kuhudhuria kongamano Kubwa la Biashara Visiwa vya Comoro

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Mhandisi Christopher Chiza (Mb) ahudhuria Kongamano Kubwa la Biashara kati ya Comoro na Tanzania, litakalofanyika tarehe 23 Aprili, 2015 Visiwani Comoro.
Lengo kuu la kongamano hilo ni “kuongeza kiwango cha biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Comoro kwa kutambua fursa zilizopo kati ya nchi hizi mbili na kurasimisha biashara ambayo kwa sasa hairatibiwi”.
Kongamano hilo ambalo litawakutanisha viongozi, maafisa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MUUNGANO WA VISIWA VYA COMORO ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA MATAIFA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb),akimkaribisha Wizarani Waziri wa Mambo ya Nje wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe El-Anrif Said Hassane kwa mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Comoro.Balozi wa Comoro hapa Nchini Mhe.Dr.Ahamada El Badaoui Mohamed(kushoto)akisalimiana na Naibu Waziri Dkt.Mahadhi huku Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro Mhe.El-Anrif Said Hassane(katikati) akishuhudia.Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Seif akagua shughuli za uwekezaji na hifadhi ya mazingira katika visiwa vya Bawe na Changuu

Msimamizi wa mradi wa uhifadhi wa Makobe katika kisiwa cha Changuu Nd.Suleiman Mnemo akitoa maelezo ya uhifadhi wa viumbe hao adimu duniani kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif aliyetembelea kisiwa cha Changuu. Balozi Seif akikagua baadhi ya majengo ya Hoteli zilizomo ndani ya kisiwa cha Changuu wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za uwekezaji katika sekta ya Utalii . Kulia ya Balozi ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Leisure Hoteli inayoendesha mradi wa hoteli Bawe na...

 

9 years ago

Bongo5

Mayweather na Justin Bieber wajumuika pamoja kwenye ‘holiday’ katika visiwa vya French Polynesia (Picha)

Baada ya kumchapa Andre Berto na kustaafu rasmi kucheza masumbwi, bondia Floyd Mayweather ameamua kujipongeza na kula raha za dunia. Mayweather na swahiba wake Justin Bieber wameungana pamoja kwenye holiday katika visiwa vya French Polynesia. Wawili hao wanafurahia muda wao kwenye beach safi zilizopo karibu na milima iliyojaa misitu ya kijani. Mayweather aliweka katika ukurasa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani