Je,wajua nini kuhusu visiwa vya Comoro?
Moja kati ya visiwa vya Comoro vinavyokaribiana na pwani ya Msumbiji ni kile cha Anzwan, kuna wasiwasi unaongezeka kati yake na kisiwa jirani kilivyofanikiwa zaidi kimaisha, kisiwa cha Mayotte, ambacho ni koloni la Mfaransa hadi leo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMshauri wa Masuala ya Ulinzi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro afanya ziara ya kikazi katika visiwa vya Comoro
Mshauri wa Masuala ya Ulinzi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro mwenye makazi yake Mjini Maputo, Msumbiji, Kanali Mahamud Lwimbo, alifanya ziara ya kikazi katika visiwa vya Comoro ambapo alikutana na Viongozi Wandamizi wa Visiwa hivyo wakiwemo Mhe. Ahmada Mmadi Bolero, Waziri anayehusika na Masuala ya Ulinzi na Kanali Youssouf Idjihadi Mkuu wa Jeshi la Comoro. Alipokutana na Viongozi hawa wa Comoro, Kanali Lwimbo alipata fursa ya kuzungumzia kwa kina umuhimu na...
10 years ago
BBCSwahili27 Jul
Urembo katika visiwa vya Comoro
Bila shaka urembo unaweza kutafsiriwa kwa namna mbalimbali.Na nchi tofauti zina namna ya kipekee kudhihirisha uzuri wao.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-S0UD0HwRYR8/VWftbLm0TmI/AAAAAAAHahg/hMwqGHBaT7Y/s72-c/unnamed.jpg)
ATCL yaongeza safari zake visiwa vya Comoro.
![](http://1.bp.blogspot.com/-S0UD0HwRYR8/VWftbLm0TmI/AAAAAAAHahg/hMwqGHBaT7Y/s640/unnamed.jpg)
SHIRIKA la ndege la taifa (ATCL) limetangaza uamuzi wake wa kuongeza idadi ya safari zake kuelekea visiwa vya Comoro hatua inayolenga kuendana na ongezeko la mahitaji ya huduma za shirika hilo hususani katika kuelekea kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Kwa sasa shirika hilo linatoa huduma zake kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Kigoma na Mtwara kila siku. Sambamba na kutoa huduma...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-OwPBlT_ORVM/VTigDEeUPqI/AAAAAAAHSuc/LSwc8iM07SI/s72-c/unnamed%2B(97).jpg)
Waziri Chiza kuhudhuria kongamano Kubwa la Biashara Visiwa vya Comoro
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Mhandisi Christopher Chiza (Mb) ahudhuria Kongamano Kubwa la Biashara kati ya Comoro na Tanzania, litakalofanyika tarehe 23 Aprili, 2015 Visiwani Comoro.
Lengo kuu la kongamano hilo ni “kuongeza kiwango cha biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Comoro kwa kutambua fursa zilizopo kati ya nchi hizi mbili na kurasimisha biashara ambayo kwa sasa hairatibiwi”.
Kongamano hilo ambalo litawakutanisha viongozi, maafisa...
Lengo kuu la kongamano hilo ni “kuongeza kiwango cha biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Comoro kwa kutambua fursa zilizopo kati ya nchi hizi mbili na kurasimisha biashara ambayo kwa sasa hairatibiwi”.
Kongamano hilo ambalo litawakutanisha viongozi, maafisa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SMxCktd9lV8/VTpa8ewIU8I/AAAAAAAHS9Y/dX_YT_EvH14/s72-c/unnamed%2B(99).jpg)
Membe awahimiza Watanzania kuchangamkia fursa za kibiashara na kuwekeza katika Visiwa vya Comoro
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) amewahimiza wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa za biashara na uwekezaji Visiwani Comoro kwani uhusiano baina ya nchi hizi mbili umeimarika. Mhe. Membe alitoa kauli hiyo wakati akilihutubia Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Comoro lililoandaliwa na Balozi za Tanzania na Comoro kwa kushirikiana na sekta binafsi za nchi hizo mbili jijini Moroni, Comoro tarehe 23 Aprili, 2015. “Watanzania...
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MUUNGANO WA VISIWA VYA COMORO ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA MATAIFA
9 years ago
BBCSwahili13 Nov
Ndege za US zapaa karibu na visiwa vya Uchina
Ndege za kivita za Marekani za B-52 zimepaa na kupitia katika eneo linalozozaniwa huko kusini mwa visiwa vya Uchina.
10 years ago
Habarileo08 Sep
Shein arejea kutoka visiwa vya Samoa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, amerejea nchini leo kutoka visiwa vya Samoa ambako alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete, kwenye Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kwa Nchi za Visiwa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania