Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein arejea kutoka visiwa vya Samoa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, amerejea nchini leo kutoka visiwa vya Samoa ambako alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete, kwenye Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kwa Nchi za Visiwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein aelekea Visiwa vya Samoa kwa ziara ya kikazi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd katika Uwana wa Ndege wa Kimataia wa Abeid Amani Karume wakati akielekea katika Visiwa vya Samoa kwa ziara ya siku tano.Katikati ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Maalim Seif Sharif Hamad.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali katika Uwana wa Ndege wa Kimataia wa Abeid...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR Dk.Ali Mohamed Shein visiwa vya samoa

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Kibiashara cha Kimataifa Internationali Trade Center ICT Bibi Arancha Gonzalez walipokutana kwa mazungumzo jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika mazungumzo na  Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha...

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON :Kwanini wahamiaji Ulaya hutokea zaidi Afrika Magharibi na Visiwa vya Karibi?

Lakini swali ni swali. Waswahili husema “kuuliza si ujinga”- liwe la mende, kupe, pikipiki, ndulele, tando za buibui au shamba la minazi, azma ni kutaka kujua.

 

10 years ago

Habarileo

Dk Shein amwakilisha JK mkutano nchi za visiwa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein anatarajiwa kuondoka nchini leo kwenda visiwa vya Samoa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Urembo katika visiwa vya Comoro

Bila shaka urembo unaweza kutafsiriwa kwa namna mbalimbali.Na nchi tofauti zina namna ya kipekee kudhihirisha uzuri wao.

 

9 years ago

Mtanzania

DStv yawakutanisha mastaa visiwa vya Mauritius

dstv Genevieve-Ramsey-Noah-at-October-1st-movie-premiere-HouseOfmaQNA SELEMAN SHINENI, MAURITIUS

MASTAA mbalimbali wanaojishughulisha na masuala ya burudani kutoka barani Afrika, waandishi wa habari na watu mashuhuri wamekutanishwa katika visiwa vya Mauritius kwa ajili ya hafla ya uzinduzi wa Tamasha la 2015 Content Showcase Extravaganza.

Hafla hiyo ilifanyika juzi kwenye hoteli ya Outrigger Resort ikiwa ni mwanzo wa tamasha hilo la wiki moja lililoandaliwa na Kampuni ya MultiChoice Africa huku dhumuni lake kuu likiwa ni kuonyesha maudhui yaliyopo kwenye...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ndege za US zapaa karibu na visiwa vya Uchina

Ndege za kivita za Marekani za B-52 zimepaa na kupitia katika eneo linalozozaniwa huko kusini mwa visiwa vya Uchina.

 

9 years ago

BBCSwahili

Je,wajua nini kuhusu visiwa vya Comoro?

Moja kati ya visiwa vya Comoro vinavyokaribiana na pwani ya Msumbiji ni kile cha Anzwan, kuna wasiwasi unaongezeka kati yake na kisiwa jirani kilivyofanikiwa zaidi kimaisha, kisiwa cha Mayotte, ambacho ni koloni la Mfaransa hadi leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani