Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DStv yawakutanisha mastaa visiwa vya Mauritius

dstv Genevieve-Ramsey-Noah-at-October-1st-movie-premiere-HouseOfmaQNA SELEMAN SHINENI, MAURITIUS

MASTAA mbalimbali wanaojishughulisha na masuala ya burudani kutoka barani Afrika, waandishi wa habari na watu mashuhuri wamekutanishwa katika visiwa vya Mauritius kwa ajili ya hafla ya uzinduzi wa Tamasha la 2015 Content Showcase Extravaganza.

Hafla hiyo ilifanyika juzi kwenye hoteli ya Outrigger Resort ikiwa ni mwanzo wa tamasha hilo la wiki moja lililoandaliwa na Kampuni ya MultiChoice Africa huku dhumuni lake kuu likiwa ni kuonyesha maudhui yaliyopo kwenye...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Urembo katika visiwa vya Comoro

Bila shaka urembo unaweza kutafsiriwa kwa namna mbalimbali.Na nchi tofauti zina namna ya kipekee kudhihirisha uzuri wao.

 

11 years ago

Michuzi

TANAPA YAWAKUTANISHA WAHARIRI TOKA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI, JIJINI MWANZA

Moderetor wa kongamano la wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini Ayub Rioba akitoa maelekezo wakati wa kongamano hilo linalofanyika katika hotel ya JB Belmont jijini Mwanza. Meneja mawasiliano wa Shirika la Hifadhi ya Taifa(TANAPA)Paschal Shelutete akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa kongamano la wahariri kutoka vyombo mbalimbali ya habari nchini linalofanyika jijini Mwanza. Kaimu mkurugenzi mkuu waTANAPA ,ambaye pia ni mkurugenzi wa Utalii na Masoko Ibrahim Musa...

 

10 years ago

Habarileo

Shein arejea kutoka visiwa vya Samoa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, amerejea nchini leo kutoka visiwa vya Samoa ambako alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete, kwenye Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kwa Nchi za Visiwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Je,wajua nini kuhusu visiwa vya Comoro?

Moja kati ya visiwa vya Comoro vinavyokaribiana na pwani ya Msumbiji ni kile cha Anzwan, kuna wasiwasi unaongezeka kati yake na kisiwa jirani kilivyofanikiwa zaidi kimaisha, kisiwa cha Mayotte, ambacho ni koloni la Mfaransa hadi leo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ndege za US zapaa karibu na visiwa vya Uchina

Ndege za kivita za Marekani za B-52 zimepaa na kupitia katika eneo linalozozaniwa huko kusini mwa visiwa vya Uchina.

 

9 years ago

Mtanzania

Msanii wa Kenya afariki visiwa vya Mbudya Dar

ShrekeezyNAIROBI, Kenya

MSANII wa muziki wa genge nchini Kenya, Simon Njoroge ‘Shreekezy’, amepoteza maisha akiwa jijini Dar es Salaam katika visiwa vya Mbudya vilivyopo Bahari ya Hindi.

Msanii huyo anadaiwa kufariki Agosti 30 baada ya boti aliyokuwa akiiendesha baharini akitokea Hoteli ya Whitesands kuelekea visiwa hivyo kumtupa ambapo alifariki dunia na mwili wake ulipatikana baada ya siku tatu.

Msanii huyo alikuwa nchini Tanzania kwa siku nane kabla ya kifo chake kutokea. Hata hivyo, inadaiwa...

 

10 years ago

Michuzi

ATCL yaongeza safari zake visiwa vya Comoro.

  Abiria wakishuka kwenye  Ndege ya Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) aina ya CRJ 100. Picha ya Maktaba
SHIRIKA la ndege la taifa (ATCL) limetangaza  uamuzi wake wa kuongeza idadi ya safari zake kuelekea visiwa vya Comoro hatua inayolenga kuendana  na ongezeko la mahitaji ya huduma za shirika hilo hususani katika kuelekea kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Kwa sasa shirika hilo linatoa huduma zake kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Kigoma na Mtwara kila siku. Sambamba na kutoa huduma...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDANI YA VISIWA VYA UKEREWE


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kakukuru,Ukerewe ikiwa siku ya mwisho ya ziara yake mkoani Mwanza.Katibu Mkuu amekamilisha ziara ya kutembelea majimbo yote ya Uchaguzi nchi nzima ambapo amejionea utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi unavyooendelea pamoja na uhai wa Chama Cha Mapinduzi. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa Mulongo akihutubia wakazi wa Kakukuru wilayani Ukerewe. Wakazi wa Kakukuru ,Ukerewe wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani