Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTOKA LONDON :Kwanini wahamiaji Ulaya hutokea zaidi Afrika Magharibi na Visiwa vya Karibi?

Lakini swali ni swali. Waswahili husema “kuuliza si ujinga”- liwe la mende, kupe, pikipiki, ndulele, tando za buibui au shamba la minazi, azma ni kutaka kujua.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Shein arejea kutoka visiwa vya Samoa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, amerejea nchini leo kutoka visiwa vya Samoa ambako alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete, kwenye Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kwa Nchi za Visiwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ulaya kumaliza vifo vya Wahamiaji?

Umoja wa Ulaya unatarajiwa kujadili mipango ya kuondokana na tatizo la Wahamiaji wanaopoteza maisha katika bahari ya Mediterania

 

10 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON : Muziki ni zaidi ya dansi na na starehe -2

Swali la kwanza unapomweleza Mtanzania unapiga muziki huwaje? “Bendi yenu ina watu wangapi?” Au “ Mnapiga densi wapi?”

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON :wananchi afrika tupendane, tuige wenzetu ughaibuni

Nilikuwa n’kikagua mifuko ya mchele supamaketi. Bei yake ilikuwa nzuri lakini siyo aina ya mchele n’naoutumia. Zamani Bongo nakumbuka ubwabwa uliliwa siku maalumu, hususan Jumapili au sikukuu kama Idd El Fitr na Krismasi. Hivyo hatukuwa na uchaguzi kama siku hizi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Vifo vya corona: Kwanini Uingereza imerekodi vifo vingi vya corona Ulaya?

Hadi kufikia sasa Uingereza inaongoza kwa idadi ya walioambukizwa virusi vya corona Ulaya na kote duniani kulingana na takwimu rasmi. Kipi kilichokoseka?

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON : Vinywaji baridi vya kuchangamsha hatari kwa afya zetu

Oktoba 2014, Shirika la Afya Duniani (WHO) lilionya ongezeko la vinywaji vya kuchangamsha. Takwimu za WHO zilinguruma, “energy drinks” (kwa kimombo), hutumiwa zaidi na asilimia 68 ya vijana, watoto chini ya miaka 10 asilimia 18, na asilimia 30 ya watu wazima. Onyo lilizingatia madhara ya vinywaji hivi vyenye ladha tamu inayowavutia watoto.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kwanini janga la corona limefanya panya kuwa wakali zaidi?

Amri ya kutotoka nje iliyowekwa na nchi tofauti ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona imewalazimisha watu kukaa nyumbani na hotelini pamoja na maeneo mengine ya kula kufungwa.

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON: Fab Moses- Mtabiri wa London aliyetunga wimbo wa kushinda Magufuli

Wakati kampeni za uchaguzi zikiendelea miezi kadhaa iliyopita, Mtanzania mmoja mkazi London alikuwa na mtazamo tofauti. Mwanamuziki na mcheza sarakasi huyu  anaitwa Fab Moses.

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON : Wakenya wakutana London kuitangaza nchi yao inayozidi kupendwa majuu

“Kenya and Friends in the Park” – yaani Kenya na marafiki zao kukutana kiwanjani ilihamasishwa na dada mcheza ngoma, mwanatamthiliya na mwanahabari Lydia Olet. Bango lenye taswira ya Simba na Mmasai aliyevaa lubega la miraba; kifua wazi na mkuki mkononi. Maneno yalisema burudani itakuwa Jumamosi tarehe 29 Agosti kuanzia tano asubuhi hadi mbili usiku. Kiingilio bure.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani