Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTOKA LONDON :wananchi afrika tupendane, tuige wenzetu ughaibuni

Nilikuwa n’kikagua mifuko ya mchele supamaketi. Bei yake ilikuwa nzuri lakini siyo aina ya mchele n’naoutumia. Zamani Bongo nakumbuka ubwabwa uliliwa siku maalumu, hususan Jumapili au sikukuu kama Idd El Fitr na Krismasi. Hivyo hatukuwa na uchaguzi kama siku hizi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON: Hisia za woga,utata na upweke zawakabili wananchi wa kawaida majuu

Hisia tatu kuu zauandama ulimwengu wa kitajiri siku hizi. Woga na wasiwasi wa kuuawa na magaidi wakatili. Hisia ya utata kuwa maisha hayana maana. Kwamba kifo chaweza kuwadia wakati wowote. Ya tatu ni upweke.

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON :Kwanini wahamiaji Ulaya hutokea zaidi Afrika Magharibi na Visiwa vya Karibi?

Lakini swali ni swali. Waswahili husema “kuuliza si ujinga”- liwe la mende, kupe, pikipiki, ndulele, tando za buibui au shamba la minazi, azma ni kutaka kujua.

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON: Fab Moses- Mtabiri wa London aliyetunga wimbo wa kushinda Magufuli

Wakati kampeni za uchaguzi zikiendelea miezi kadhaa iliyopita, Mtanzania mmoja mkazi London alikuwa na mtazamo tofauti. Mwanamuziki na mcheza sarakasi huyu  anaitwa Fab Moses.

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON : Wakenya wakutana London kuitangaza nchi yao inayozidi kupendwa majuu

“Kenya and Friends in the Park” – yaani Kenya na marafiki zao kukutana kiwanjani ilihamasishwa na dada mcheza ngoma, mwanatamthiliya na mwanahabari Lydia Olet. Bango lenye taswira ya Simba na Mmasai aliyevaa lubega la miraba; kifua wazi na mkuki mkononi. Maneno yalisema burudani itakuwa Jumamosi tarehe 29 Agosti kuanzia tano asubuhi hadi mbili usiku. Kiingilio bure.

 

11 years ago

Michuzi

HOJA YA HAJA KUTOKA KWA WADAU WA UGHAIBUNI

MIMI NI MTANZANIA...
Mnhomo Gwa Nzunzu ni Mtanzania aliyezaliwa Sengerema, Mwanza. Baada ya kuzaliwa wazazi wake walifariki wakati yeye akiwa na miaka mitatu tu kutokana na ajali ya gari. Baada ya kufariki wazazi wake Nhomo Gwa Nzuzu alilelewa na bibi yake ambaye alimsisitizia sana apate elimu ili ajikombowe kimaisha. Kwa vile Nhomo Gwa Nzuzu hakutaka kumsikitisha bibiye aliamua maisha yake ni kitabu na kitabu na yeye.
Kutokana na juhudi zake za kujisomea Nhomo Gwa Nzuzu alifaulu darasa...

 

11 years ago

Michuzi

Mwanamuziki Jhikoman kutoka BAGAMOYO,Tanzania, afanya makubwa ughaibuni

Jhikoman aliwasili Finland tarehe 24.4.2014 kuanza ziara ya kimuziki katika nchi za Ulaya  Nchini Finland amefanya maonyesho sita! Kubwa ni lile alilolifanya Helsinki African Film Festival 16.5.2014  Pia alifanya onyesho la utangulizi kabla ya mkongwe Peetah Morgan wa Morgan Heritage kupanda jukwaani 23.5.2014.  Tarehe 10.5.2014 alifanya onyesho kwenye uzinduzi wa Helsinki African Film Festival!   Jhikoman amefanyakazi studio na msanii mashuhuri wa Hip hop nchini Finland Paleface! Kwa sasa...

 

10 years ago

Michuzi

salamu toka kwa FFU UGHAIBUNI THE NGOMA AFRIKA BAND

Bendi ya Muziki wa dansi Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibu,yenye makao nchini Ujerumani ,inawatakia wadau wote popotepale MERRY X-MASS,msherehekee kwa Amani na Upendo.

 

9 years ago

Michuzi

MKONO WA EID MUBARAK KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU UGHAIBUNI

Bendi maarufu ya muziki wa dasni barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuniyenye makao kule Ujerumani inawatakia wadau wote mkono wa Eid el Hajj.Bendi hiyo inawatakia kila la heri na baraka katika kusherekea siku hii ya Eid Al Hajj, na kusema sikuu hii iwe ya amani, upendo na furaha. Ngoma Africa band inawapa mkono wa Eid Mubaraka.
usikose kufungua sikio at www.reverbnation.com/ngomaafricaband

 

11 years ago

Habarileo

Mama Salma- Wanawake tupendane

WANAWAKE wa Tanzania waishio ughaibuni, wametakiwa kuondoa tofauti zao za mitizamo, maoni, dini na makabila ili wapendane, waaminiane na kushirikiana. Rai hiyo ilitolewa jana na mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, alipozungumza na wanawake wafanyabiashara na wajasiriamali kutoka majimbo ya Washington DC, Colombia, Maryland na Virginia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani