Mwanamuziki Jhikoman kutoka BAGAMOYO,Tanzania, afanya makubwa ughaibuni
![](http://2.bp.blogspot.com/-yT9o34Gdz6I/U4jmnxDuVpI/AAAAAAAFmnY/nhcRwj_FIQg/s72-c/unnamed+(49).jpg)
Jhikoman aliwasili Finland tarehe 24.4.2014 kuanza ziara ya kimuziki katika nchi za Ulaya Nchini Finland amefanya maonyesho sita! Kubwa ni lile alilolifanya Helsinki African Film Festival 16.5.2014 Pia alifanya onyesho la utangulizi kabla ya mkongwe Peetah Morgan wa Morgan Heritage kupanda jukwaani 23.5.2014. Tarehe 10.5.2014 alifanya onyesho kwenye uzinduzi wa Helsinki African Film Festival! Jhikoman amefanyakazi studio na msanii mashuhuri wa Hip hop nchini Finland Paleface! Kwa sasa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-D_nI-Mm4_-U/U1luQv5r8mI/AAAAAAAFctE/mO9WpuSXKQk/s72-c/unnamed+(94).jpg)
MWANAMUZIKI JHIKOMAN AMESAHATUA FINLAND KWA MAKAMUZI UGHAIBUNI !
![](http://3.bp.blogspot.com/-D_nI-Mm4_-U/U1luQv5r8mI/AAAAAAAFctE/mO9WpuSXKQk/s1600/unnamed+(94).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-5UBSn4BzALU/U72PsOiNFGI/AAAAAAAF0M0/i-qY1FPJLT8/s72-c/unnamed+(32).jpg)
Mfalme wa reggae Ras Jhikoman kutoka Bagamoyo,Tanzania atua mjini Tubingen,Ujerumani
![](http://3.bp.blogspot.com/-5UBSn4BzALU/U72PsOiNFGI/AAAAAAAF0M0/i-qY1FPJLT8/s1600/unnamed+(32).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-j7Yv7F2zFNk/U0VHqxT103I/AAAAAAAFZck/oSMpBsfvS6Y/s72-c/unnamed+(24).jpg)
Mwanamuziki Jhikoman & Afrikabisa band kuanza Europe Tour mwezi huu
![](http://2.bp.blogspot.com/-j7Yv7F2zFNk/U0VHqxT103I/AAAAAAAFZck/oSMpBsfvS6Y/s1600/unnamed+(24).jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dnCWvahr*CpMxqCMzigGM7*eRJWeleQQCPBXt-ePpSdJ8XaQz67gJe1Ak*7swzkqk-v89hIAZI8kWpkqIlMGx2qbwM6a3*fP/DarasalamuzikikatikatahasisiyashuleyamuzikiReutlingenJhikomananakubalikakimataifa.jpg?width=650)
JHIKOMAN ATEMBELEA SHULE YA MUZIKI YA REUTLINGEN,UJERMANI : WANAFUNZI NA WAKUU WA SHULE WAAHIDI KUTEMBELEA BAGAMOYO ! KILA WAKATI
9 years ago
MichuziMwanamuziki Papa Wemba Awasili Dar, Aelekea Bagamoyo Kunogesha Tamasha la Karibu Music Festival 2015
Papa Wemba ametua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere (JNIA) majira ya saa nane kasoro na ndege ya shirika la Kenya (Kenya Airways-KQ).
Mara baada ya kuwasili msanii huyo pamoja na wanamuziki wake walipokewa na Meneja wake anayeratibu safari hiyo, Chebli Msaidie pamoja na waandaaji wa Tamasha...
11 years ago
Dewji Blog08 Jul
Mh. Ridhiwani Kikwete afanya mambo makubwa jimbo la Chalinze
Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete na Diwani wa Kata ya Bwilingu Bw. Ahmed Nasser wakiwa wamelala kwenye moja ya vitanda Vitanda 267 vilivyotolewa na mbunge huyo katika shule mbalimbali za sekondari kwa jimbo zima la Chalinze wakati wa makabidhiano yaliyofanyika kwenye shule ya sekondari ya Lugoba jana, Shule ambazo zimepewa vitanda hivyo ni shule ya sekondari Chalinze 50, Moleto Lugoba 50, Mandera 25, Talawanda 24, Kiwangwa 50, Lugoba 38 na Kikaro 30.katika hatua hiyo Mh. Ridhiwania...
11 years ago
Michuzi18 Feb
HOJA YA HAJA KUTOKA KWA WADAU WA UGHAIBUNI
Mnhomo Gwa Nzunzu ni Mtanzania aliyezaliwa Sengerema, Mwanza. Baada ya kuzaliwa wazazi wake walifariki wakati yeye akiwa na miaka mitatu tu kutokana na ajali ya gari. Baada ya kufariki wazazi wake Nhomo Gwa Nzuzu alilelewa na bibi yake ambaye alimsisitizia sana apate elimu ili ajikombowe kimaisha. Kwa vile Nhomo Gwa Nzuzu hakutaka kumsikitisha bibiye aliamua maisha yake ni kitabu na kitabu na yeye.
Kutokana na juhudi zake za kujisomea Nhomo Gwa Nzuzu alifaulu darasa...
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/07/36.jpg)
MH. RIDHIWANI KIKWETE AFANYA MAMBO MAKUBWA JIMBO LA CHALINZE
9 years ago
Mwananchi13 Sep
KUTOKA LONDON :wananchi afrika tupendane, tuige wenzetu ughaibuni