Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTOKA LONDON: Hisia za woga,utata na upweke zawakabili wananchi wa kawaida majuu

Hisia tatu kuu zauandama ulimwengu wa kitajiri siku hizi. Woga na wasiwasi wa kuuawa na magaidi wakatili. Hisia ya utata kuwa maisha hayana maana. Kwamba kifo chaweza kuwadia wakati wowote. Ya tatu ni upweke.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON : Wakenya wakutana London kuitangaza nchi yao inayozidi kupendwa majuu

“Kenya and Friends in the Park” – yaani Kenya na marafiki zao kukutana kiwanjani ilihamasishwa na dada mcheza ngoma, mwanatamthiliya na mwanahabari Lydia Olet. Bango lenye taswira ya Simba na Mmasai aliyevaa lubega la miraba; kifua wazi na mkuki mkononi. Maneno yalisema burudani itakuwa Jumamosi tarehe 29 Agosti kuanzia tano asubuhi hadi mbili usiku. Kiingilio bure.

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON :wananchi afrika tupendane, tuige wenzetu ughaibuni

Nilikuwa n’kikagua mifuko ya mchele supamaketi. Bei yake ilikuwa nzuri lakini siyo aina ya mchele n’naoutumia. Zamani Bongo nakumbuka ubwabwa uliliwa siku maalumu, hususan Jumapili au sikukuu kama Idd El Fitr na Krismasi. Hivyo hatukuwa na uchaguzi kama siku hizi.

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON: Fab Moses- Mtabiri wa London aliyetunga wimbo wa kushinda Magufuli

Wakati kampeni za uchaguzi zikiendelea miezi kadhaa iliyopita, Mtanzania mmoja mkazi London alikuwa na mtazamo tofauti. Mwanamuziki na mcheza sarakasi huyu  anaitwa Fab Moses.

 

11 years ago

BBCSwahili

Hisia za wananchi kumhusu Mandela

Wengi walimuenzi , walimuita shujaa na jasiri na zaidi ya yote wanamuita mkombozi wao

 

10 years ago

BBCSwahili

Hisia kutoka Marekani na Iran

Baada kutangazwa muafaka baina ya Iran na mataifa 6 yenye nguvu zaidi duniani Rais Obama na Rouhani wametoa hisia zao

 

9 years ago

Raia Mwema

Lowassa: Hali isiyo ya kawaida huibua hatua zisizo za kawaida

WIKI iliyopita niliandika kusema kwamba Edward Lowassa kuhama kutoka chama kilichomlea ilikuwa ni

Jenerali Ulimwengu

 

5 years ago

BBCSwahili

Wingu lisilo la kawaida linalosafiri kilomita 10,000 kutoka Afrika hadi Amerika

Wingu jeusi lililojaa vumbi limekuwa likitanda katika eneo la Atlantic kwa siku kadhaa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wahoji utata upigaji kura

Pamoja na Bunge Maalumu la Katiba kupitisha kanuni zote 87 za uendeshaji wake, bado kuna sintofahamu miongoni mwa wananchi kuhusu nini kilikubaliwa katika utaratibu wa upigaji wa kura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani