Wananchi wahoji utata upigaji kura
Pamoja na Bunge Maalumu la Katiba kupitisha kanuni zote 87 za uendeshaji wake, bado kuna sintofahamu miongoni mwa wananchi kuhusu nini kilikubaliwa katika utaratibu wa upigaji wa kura.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Wananchi waichambue Katiba kabla ya upigaji kura
BAADA ya mvutano kuhusu mchakato wa katiba, hatimaye hivi karibuni, Bunge Maalum la Katiba chini ya Mwenyekiti, Samuel Sitta kutoka na Katiba inayopendekezwa. Hata hivyo, mvutano huo bado haujapatiwa ufumbuzi...
9 years ago
GPL25 Oct
10 years ago
Dewji Blog13 May
Serikali yatakiwa kuhimiza wananchi kushiriki upigaji kura Uchaguzi Mkuu
![Kulia mbele ni Programu Ofisa wa TGNP Mtandao, Deo Temba akiwasilisha mada kwa washiriki wa mafunzo ya kuripoti habari za wanawake katika Uchaguzi Mkuu 2015 yaliowashirikisha wachora katuni, wasanii na waandishi wa habari pamoja na baadhi ya waendeshaji wa mitandao ya jamii nchini Tanzania (bloggers) mara baada ya semina hiyo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_0346.jpg)
Kulia mbele ni Programu Ofisa wa TGNP Mtandao, Deo Temba akiwasilisha mada kwa washiriki wa mafunzo ya kuripoti habari za wanawake katika Uchaguzi Mkuu 2015 yaliowashirikisha wachora katuni, wasanii na waandishi wa habari pamoja na baadhi ya waendeshaji wa mitandao ya jamii nchini Tanzania (bloggers) mara baada ya semina hiyo.
![Baadhi ya maofisa kutoka Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_0326.jpg)
Baadhi ya maofisa kutoka Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa.
![Kushoto mbele ni Anna Sangai na Anna Kika ambao ni maofisa programu kutoka TGNP Mtandao wakiwasilisha mada kwa kwenye mjadala wa wachora katuni, wasanii na waandishi wa habari pamoja na baadhi ya waendeshaji wa mitandao ya jamii nchini Tanzania (bloggers).](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_0329.jpg)
Kushoto mbele ni Anna Sangai na Anna Kika ambao ni maofisa...
9 years ago
BBCSwahili25 Oct
Wapiga kura Kariakoo kuhusu upigaji kura
9 years ago
Mwananchi27 Oct
CCM yaridhishwa na upigaji kura
10 years ago
BBCSwahili29 Mar
Upigaji kura waendelea Nigeria
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Kasoro kibao upigaji kura
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Upigaji kura Kimara waingia dosari
9 years ago
Habarileo20 Oct
Tume yatoa mwongozo upigaji kura
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa mwongozo wa mambo muhimu, ambayo wapigakura wote wanatakiwa kuyazingatia ili wapige kura bila matatizo Jumapili wiki hii katika uchaguzi mkuu.