Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upigaji kura waendelea Nigeria

Upigaji kura kwenye uchaguzi mkuu nchini Nigeria unaendelea kwenye vituo kadha kwa siku ya pili kutokana na matatizo ya kiufundi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Upigaji kura waendelea Kimara Dar es Salaam

Wananchi katika kituo cha kupigia kura cha Kimara Stop Over A na B mjini Dar es Salaam wanaendelea kupiga kura baada ya kuahirishwa kwa shughuli hiyo hapo jana kutokana na upungufu wa vifaa.

 

9 years ago

Habarileo

Upigaji kura waendelea kwa amani na utulivu

WATANZANIA leo waliamka mapema na kuwahi katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wao watakaoliongoza taifa lao katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Misururu mirefu imeonekana katika maeneo mengi ya nchi hususani katika jiji la Dar es Salaam, hali inayoonesha kuwa watu wajejawa na hamasa kubwa ya kuchagua kiongozi wao kama walivyokuwa wakijitokeza katika mikutano ya kampeni.

Watu wengi wamejitokeza katika vituo mapema kabisa leo alfajiri ambapo vituo vilifunguliwa...

 

11 years ago

Michuzi

UPIGAJI KURA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA WAENDELEA KWA UTULIVU MKUBWA.

 Baadhi ya Wanakijiji cha Kalenga A,kata ya Kalenga Iringa Vijijini mkoani Iringa wakiwa wamejitokeza mapema leo asubuhi kupiga kura kumchagua Mbunge wamtakae wa jimbo hilo la Kalenga.Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo unafanyika leo,ambapo vyama Vitatu;CCM,CHADEMA na CHAUSTA vikiwa vimesimamisha wagombea wake katika uchaguzi huo unaotokana na kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo,pia Waziri wa Fedha,Dk William Mgimwa.Aidha Wagombea wa Chadema Grace Tendega na wa CCM,Godfrey Mgimwa ndio...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapiga kura Kariakoo kuhusu upigaji kura

Wapiga kura Tanzania walifika vituoni mapema kupiga kura kuwachagua viongozi wapya. Wanamchagua rais mpya, wabunge na madiwani. Mwandishi wa BBC Bashkas Jugsodaay alizungumza na baadhi yao

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yaridhishwa na upigaji kura

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeridhishwa na upigaji kura uliofanyika nchi nzima Jumapili kuwa ulikuwa wa amani na utulivu.

 

9 years ago

Mwananchi

Kasoro kibao upigaji kura

Watu wasiojulikana wameteketeza kwa moto vifaa vya kupigia kura wilayani Sumbawanga, huku wasimamizi wasaidizi watatu wa uchaguzi katika Jimbo la Vunjo wakipigwa na kujeruhiwa kwa madai ya kusambaza kura zisizo halali.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Tangazo Muhimu kuhusu upigaji kura

Kuna taarifa kuwa,huenda kukawa na karatasi za kupiga kura feki,sasa sijui hili litasaidia vipi Chama tawala,lakini ni muhimu kukumbushana. Unapoingia kwenye Chumba cha Kura,tafadhali weka kura yako juu kwenye muangaza kuangalia kama kutakua kuna nembo ya […]

The post Tangazo Muhimu kuhusu upigaji kura appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wahoji utata upigaji kura

Pamoja na Bunge Maalumu la Katiba kupitisha kanuni zote 87 za uendeshaji wake, bado kuna sintofahamu miongoni mwa wananchi kuhusu nini kilikubaliwa katika utaratibu wa upigaji wa kura.

 

9 years ago

Habarileo

Utulivu watawala upigaji kura Dar

LICHA ya kasoro ndogo ndogo zilizojitokeza jana wakati wa upigaji kura kwenye maeneo tofauti ya majimbo matatu ya uchaguzi ya Dar es Salaam; Ukonga, Ubungo, Temeke na Segerea, uchaguzi kwenye maeneo hayo umeelezwa kufanyika kwa amani na utulivu huku usalama wa watu wengi waliojitokeza kupiga kura ukizingatiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani