Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upigaji kura waendelea Kimara Dar es Salaam

Wananchi katika kituo cha kupigia kura cha Kimara Stop Over A na B mjini Dar es Salaam wanaendelea kupiga kura baada ya kuahirishwa kwa shughuli hiyo hapo jana kutokana na upungufu wa vifaa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Upigaji kura Kimara waingia dosari

Shughuli za upigaji kura katika kituo cha EDP kilichoko eneo la Kimara Stop Over jana zilisimama kwa muda na wapigakura kufungiwa ndani ya kituo baada ya kukosekana kwa karatasi za kupigia kura za mgombea urais.

 

10 years ago

BBCSwahili

Upigaji kura waendelea Nigeria

Upigaji kura kwenye uchaguzi mkuu nchini Nigeria unaendelea kwenye vituo kadha kwa siku ya pili kutokana na matatizo ya kiufundi

 

10 years ago

Michuzi

ZOEZI ZA UPIGAJI KURA LAANZA NA KUENDELEA KWA UTULIVU NA AMANI JIJINI DAR ES SALAAM

 Wapiga kura kituo cha Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam wakiwajibika kwa utulivu na amani asubuhi hii. Utulivu na amani watawala kituo cha Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Nidhamu, utulivu, uvumilivu na amani vyatawala kila sehemu. Hapa ni Kibaha Machinjioni, mkoa wa PwaniHapa ni Kibaha Machinjioni, mkoa wa Pwani Kituo cha Afisa Mtendaji wa Kata ya Olorieni jijini Arusha 
Kituo cha Dispensary ya Kata ya Olorieni, Arusha. 
Picha kwa hisani ya blogger Seria

 

10 years ago

Habarileo

Upigaji kura waendelea kwa amani na utulivu

WATANZANIA leo waliamka mapema na kuwahi katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wao watakaoliongoza taifa lao katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Misururu mirefu imeonekana katika maeneo mengi ya nchi hususani katika jiji la Dar es Salaam, hali inayoonesha kuwa watu wajejawa na hamasa kubwa ya kuchagua kiongozi wao kama walivyokuwa wakijitokeza katika mikutano ya kampeni.

Watu wengi wamejitokeza katika vituo mapema kabisa leo alfajiri ambapo vituo vilifunguliwa...

 

11 years ago

Michuzi

UPIGAJI KURA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA WAENDELEA KWA UTULIVU MKUBWA.

 Baadhi ya Wanakijiji cha Kalenga A,kata ya Kalenga Iringa Vijijini mkoani Iringa wakiwa wamejitokeza mapema leo asubuhi kupiga kura kumchagua Mbunge wamtakae wa jimbo hilo la Kalenga.Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo unafanyika leo,ambapo vyama Vitatu;CCM,CHADEMA na CHAUSTA vikiwa vimesimamisha wagombea wake katika uchaguzi huo unaotokana na kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo,pia Waziri wa Fedha,Dk William Mgimwa.Aidha Wagombea wa Chadema Grace Tendega na wa CCM,Godfrey Mgimwa ndio...

 

10 years ago

Habarileo

Utulivu watawala upigaji kura Dar

LICHA ya kasoro ndogo ndogo zilizojitokeza jana wakati wa upigaji kura kwenye maeneo tofauti ya majimbo matatu ya uchaguzi ya Dar es Salaam; Ukonga, Ubungo, Temeke na Segerea, uchaguzi kwenye maeneo hayo umeelezwa kufanyika kwa amani na utulivu huku usalama wa watu wengi waliojitokeza kupiga kura ukizingatiwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wakwama Kimara Dar es Salaam

Wapiga kura katika eneo la Kimara Stop Over, jijini Dar es Salaam hawajafanikiwa kupiga kura kufikia sasa.

 

10 years ago

Michuzi

Eneo Linauzwa Kimara Mwisho, Dar es salaam


Changamkia Fursa "Ardhi Ni Mali"Eneo Linauzwa Lipo Kimara Mwisho, Mita 300 Kutoka Morogoro Road Au Stendi Ya Mabisi Ya Mwendo Kasi, Eneo Lina Ukubwa Wa Heka Moja Na Lina 
Nyumba Moja Ndogo Na Restaurant Ya Makuti... Linafaa Kwa Makazi Na Biashara. 
Kwa Mnunuzi Piga Simu Nambari +255 757 343333 Au 786 582078. 

 

10 years ago

Mwananchi

Zoezi la upigaji kura laenda kwa utulivu Dar

Hatimaye zoezi la upigaji kura  nchi nzima limeanza leo huku kukiwa na hali ya utulivu katika vituo vingi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani