Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZOEZI ZA UPIGAJI KURA LAANZA NA KUENDELEA KWA UTULIVU NA AMANI JIJINI DAR ES SALAAM

 Wapiga kura kituo cha Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam wakiwajibika kwa utulivu na amani asubuhi hii. Utulivu na amani watawala kituo cha Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Nidhamu, utulivu, uvumilivu na amani vyatawala kila sehemu. Hapa ni Kibaha Machinjioni, mkoa wa PwaniHapa ni Kibaha Machinjioni, mkoa wa Pwani Kituo cha Afisa Mtendaji wa Kata ya Olorieni jijini Arusha 
Kituo cha Dispensary ya Kata ya Olorieni, Arusha. 
Picha kwa hisani ya blogger Seria

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

ZOEZI LA UPIGAJI KURA LAENDELEA KWA UTULIVU NA AMANI VISIWANI ZANZIBAR

 Baadhi ya Wananchi wakihakiki majina yao tayari kwa kupiga kura ya kuwachangua Marais, Wabunge, wawakilishi na Madiwani hapo katika kituo cha kupiga kura skuli ya Sekondari Kitope Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.  Wananchi wakihakiki majina yao tayari kwa kupiga kura ya kuwachangua Marais, Wabunge, wawakilishi na Madiwani hapo katika kituo cha kupiga kura skuli ya Sekondari Kitope Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.Baadhi ya Wananchi wakiwa katika foleni kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Zoezi la upigaji kura laenda kwa utulivu Dar

Hatimaye zoezi la upigaji kura  nchi nzima limeanza leo huku kukiwa na hali ya utulivu katika vituo vingi.

 

9 years ago

Michuzi

MTONI KIJICHI, MBAGALA WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA UTULIVU NA AMANI JIJINI DAR ES SALAAM

 Rukia Omari (kushoto), akimsaidia kupiga kura jamaa yake Mwanaharusi Mohamed ambaye ni mlemavu wa macho wakati wa kupiga kura katika kituo cha Mbagala Misheni Dar es Salaam leo asubuhi.  Wananchi wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kupiga kura katika Kituo cha Mtoni Kijichi Stendi Dar es Salaam leo asubuhi. Wananchi wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Shimbwe Mbagala Kuu.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

GPL

MTONI KIJICHI, MBAGALA WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA UTULIVU NA AMANI JIJINI DAR ES SALAAM‏

Rukia Omari (kushoto), akimsaidia kupiga kura jamaa yake Mwanaharusi Mohamed ambaye ni mlemavu wa macho wakati wa kupiga kura katika kituo cha Mbagala Misheni Dar es Salaam leo asubuhi. Wananchi wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kupiga kura katika Kituo cha Mtoni Kijichi Stendi Dar es Salaam leo asubuhi. Wananchi wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Shimbwe Mbagala… ...

 

11 years ago

Michuzi

zoezi la upigaji kura kuchagua mbunge wa jimbo la kalenga laendelea kwa utulivu

Wananchi  wa Nyamihuu wakiwa wamepakizana katika  boda boda  kwenda  kupiga kura Wananchi  wa Kidamali  wakiwa katika foleni ya kwenda  kupiga  kura mmoja kati ya  wazee  eneo la Nzihi akitoka  kupiga kura  kumchagua mgombea anayemtaka Wananchi  wa Nzihi  wakiwa katika  foleni wakisubiri kupiga  kura

 

9 years ago

Habarileo

Upigaji kura waendelea kwa amani na utulivu

WATANZANIA leo waliamka mapema na kuwahi katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wao watakaoliongoza taifa lao katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Misururu mirefu imeonekana katika maeneo mengi ya nchi hususani katika jiji la Dar es Salaam, hali inayoonesha kuwa watu wajejawa na hamasa kubwa ya kuchagua kiongozi wao kama walivyokuwa wakijitokeza katika mikutano ya kampeni.

Watu wengi wamejitokeza katika vituo mapema kabisa leo alfajiri ambapo vituo vilifunguliwa...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA ZOEZI LA UPIGAJI KURA ZA SERIKALI ZA MITAA JIJINI DAR

Wapiga kura Kituo cha Muhalitani - Tandale jijini Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la upigaji kura za viongozi wa Serikali za Mitaa leo.…

 

10 years ago

Vijimambo

ZOEZI LA UANDIKISHA WAPIGA KURA KIELEKTRONIKI (BVR), KWA MAJARIBIO LAANZA DAR


Zoezi la kuandikisha upya wapiga kura wenye sifa, kwa kutumia mfumo mpya wa kidigitali au kielektroniki, yaani Biometric Voters Registre, (BVR), limeanza jijini Dar es Salaam kwa majaribio, na hakika hakuna longolongo wala kupoteza muda, Mimi nimeshuhudia mtu mmoja humchukua takrivan dakika 10 tu kupatiwa kitambulisho au kadi ya kisasa ya kupigia kura. Hatua hizo ni kama zifuatazo, mosi, mtu anayeomba kuandikishwa ataonyesha kitambulisho na kujaza fomu ya Tume ya Uchaguzi ya kuomba...

 

9 years ago

Habarileo

Utulivu watawala upigaji kura Dar

LICHA ya kasoro ndogo ndogo zilizojitokeza jana wakati wa upigaji kura kwenye maeneo tofauti ya majimbo matatu ya uchaguzi ya Dar es Salaam; Ukonga, Ubungo, Temeke na Segerea, uchaguzi kwenye maeneo hayo umeelezwa kufanyika kwa amani na utulivu huku usalama wa watu wengi waliojitokeza kupiga kura ukizingatiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani