Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA ZA ZOEZI LA UPIGAJI KURA ZA SERIKALI ZA MITAA JIJINI DAR

Wapiga kura Kituo cha Muhalitani - Tandale jijini Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la upigaji kura za viongozi wa Serikali za Mitaa leo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

ZOEZI ZA UPIGAJI KURA LAANZA NA KUENDELEA KWA UTULIVU NA AMANI JIJINI DAR ES SALAAM

 Wapiga kura kituo cha Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam wakiwajibika kwa utulivu na amani asubuhi hii. Utulivu na amani watawala kituo cha Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Nidhamu, utulivu, uvumilivu na amani vyatawala kila sehemu. Hapa ni Kibaha Machinjioni, mkoa wa PwaniHapa ni Kibaha Machinjioni, mkoa wa Pwani Kituo cha Afisa Mtendaji wa Kata ya Olorieni jijini Arusha 
Kituo cha Dispensary ya Kata ya Olorieni, Arusha. 
Picha kwa hisani ya blogger Seria

 

9 years ago

Mwananchi

Zoezi la upigaji kura laenda kwa utulivu Dar

Hatimaye zoezi la upigaji kura  nchi nzima limeanza leo huku kukiwa na hali ya utulivu katika vituo vingi.

 

10 years ago

Michuzi

TAMISEMI YAWEKA BAYANA utaratibu utakaotumika hapo kesho wakati wa upigaji kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Jumanne Sagini akiwaeleza waandishi wa Habari kuhusu utaratibu utakaotumika hapo kesho wakati wa upigaji kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo vituo vya kupigia kura vitafunguliwa saa mbili asubuhi (2:00) hadi saa kumi alasiri (10:00) ambapo wananchi wote watakaokuwepo vituoni hadi kufikia muda huo wataruhusiwa kupiga kura hadi watakapokuwa wamemalizika.Kushoto ni Mratibu wa uchaguzi huo bw.Denis...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA JIJINI MWANZA ULIVYOKUWA JANA

Baadhi ya wananchi wa Kata ya Mbugani wakiwa wamemaliza kupiga kura na kusogea umbali wa kilometa 100 unaotakiwa wakisubiri matokeo ya uchaguzi huo hapa jijini Mwanza jana. Mama aliyefahamika kwa jina la Gelda Nathaeli wa Kata ya Mbugani akiwa anapiga kura ya kumchagua kiongozi anayemtaka katika uchaguzi…

 

9 years ago

Michuzi

ZOEZI LA UPIGAJI KURA LAENDELEA KWA UTULIVU NA AMANI VISIWANI ZANZIBAR

 Baadhi ya Wananchi wakihakiki majina yao tayari kwa kupiga kura ya kuwachangua Marais, Wabunge, wawakilishi na Madiwani hapo katika kituo cha kupiga kura skuli ya Sekondari Kitope Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.  Wananchi wakihakiki majina yao tayari kwa kupiga kura ya kuwachangua Marais, Wabunge, wawakilishi na Madiwani hapo katika kituo cha kupiga kura skuli ya Sekondari Kitope Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja.Baadhi ya Wananchi wakiwa katika foleni kwa...

 

11 years ago

Michuzi

zoezi la upigaji kura kuchagua mbunge wa jimbo la kalenga laendelea kwa utulivu

Wananchi  wa Nyamihuu wakiwa wamepakizana katika  boda boda  kwenda  kupiga kura Wananchi  wa Kidamali  wakiwa katika foleni ya kwenda  kupiga  kura mmoja kati ya  wazee  eneo la Nzihi akitoka  kupiga kura  kumchagua mgombea anayemtaka Wananchi  wa Nzihi  wakiwa katika  foleni wakisubiri kupiga  kura

 

9 years ago

Dewji Blog

Tume ya Uchaguzi ‘NEC’ yaombwa zoezi la upigaji kura lianze saa 12:00 Asubuhi Shinyanga

DSC01147

Baadhi ya waandishi wa habari 25 kutoka mikoa ya Singida, Katavi, Kigoma na Shinyanga,waliohudhuria mafunzo ya uandishi bora wa habari za uchaguzi yaliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Vigimark hotel nje kidogo ya mji wa Shinyanga. Mafunzo hayo ya siku tano, yaliratibiwa na Baraza la habari (MCT) na kufadhiliwa na BBC Media Action .Wa tatu kulia waliosimama, ni mwandishi wa habari wa Modewji blog, Singida, Bw. Nathaniel Limu.

DSC01142

Baadhi ya barabara ndani ya manispaa ya Shinyanga.(Picha na...

 

10 years ago

GPL

CHAMA CHA ACT-TANZANIA CHAFANYA TATHMINI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA JIJINI DAR

Makamu Mwenyekiti wa ACT-Tanzania ,Bara ,Shabani Mambo Akizungumza katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama hicho kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kagame Jijini Dar es Salaam. Wanachama wa ACT wakiwa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa  kilichofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Kagame Jijini Dar es Salaam wakipata taarifa ya Chama kwa kipindi cha… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani