Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi wakwama Kimara Dar es Salaam

Wapiga kura katika eneo la Kimara Stop Over, jijini Dar es Salaam hawajafanikiwa kupiga kura kufikia sasa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Eneo Linauzwa Kimara Mwisho, Dar es salaam


Changamkia Fursa "Ardhi Ni Mali"Eneo Linauzwa Lipo Kimara Mwisho, Mita 300 Kutoka Morogoro Road Au Stendi Ya Mabisi Ya Mwendo Kasi, Eneo Lina Ukubwa Wa Heka Moja Na Lina 
Nyumba Moja Ndogo Na Restaurant Ya Makuti... Linafaa Kwa Makazi Na Biashara. 
Kwa Mnunuzi Piga Simu Nambari +255 757 343333 Au 786 582078. 

 

9 years ago

BBCSwahili

Upigaji kura waendelea Kimara Dar es Salaam

Wananchi katika kituo cha kupigia kura cha Kimara Stop Over A na B mjini Dar es Salaam wanaendelea kupiga kura baada ya kuahirishwa kwa shughuli hiyo hapo jana kutokana na upungufu wa vifaa.

 

10 years ago

Vijimambo

TPB wazinduwa Tawi jipya Kimara Mwisho Dar es Salaam

Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya hafla ya uzinduzi wa tawi dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya hafla ya uzinduzi wa tawi dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Posta Tanzania (TPB), Profesa Lettice Rutashobya (kulia) akimkabidhi kadi ya TPB mteja wa kwanza kuhudumiwa katika tawi jipya dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Posta Tanzania (TPB), Profesa Lettice Rutashobya (kulia) akimkabidhi kadi ya TPB mteja wa kwanza kuhudumiwa katika tawi jipya dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam.Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (kulia) akimpongeza mteja wa kwanza kuhudumiwa katika tawi jipya dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB),...

 

11 years ago

Michuzi

DR.MAGUFULI AKAGUA MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI (BRT) JIJINI DAR ES SALAAM: BARABARA YA KIMARA HADI KIVUKONI KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI SITA

Kampuni ya Strabag International GmbH inayotekeleza ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kivukoni hapa jijini Dar es Salaam imetakiwa kuhakikisha kuwa inakamilisha ujenzi wa sehemu hiyo ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo kama mkataba wao unavyoelekeza.   Waziri wa Ujenzi Mhe. Magufuli alitoa agizo hilo wakati akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam (Dar es Salaam Bus Rapid Transit -...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mafunzo ya wasimamizi na maafisa uchaguzi Mkoa Dar es Salaam wafanyika leo!

image_1

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecki Sadiki Akifungua mafunzo ya siku mbili ya waratibu wa Uchaguzi,Wasimamizi wa Uchaguzi, Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi na Maafisa uchaguzi leo jijini Dar es salaam. Na.Aron Msigwa- MAELEZO. Mkuu wa mkoa wa Dar es slaam Said Mecki Sadiki amewataka Waratibu wa Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi na viongozi wa vyama vya Siasa katika mkoa huo kuhakikisha kuwa wanafanya kazi zao kwa ushirikiano ili kuwawezesha wananchi kupiga kura kwa amani na utulivu...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA UCHAGUZI YATANGAZA KUANZA UANDIKISHAJI BVR DAR ES SALAAM NA PWANI

Na Mwandishi-Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) lililoahirishwa katika jiji la Dar es salaam na mkoa wa Pwani hivi karibuni sasa litafanyika kuanzia  Julai 7-20 kwa mkoa wa Pwani na Julai 16- 25 kwa jiji la Dar es salaam. 
Uboreshaji wa Daftari hilo kwa jiji la Dar es salaam na Mkoa wa Pwani uliahirishwa kutokana na kuchelewa kwa vifaa vya uboreshaji kutoka mikoani ambavyo vilipelekwa ili...

 

10 years ago

Michuzi

Uchaguzi Serikali za Mitaa katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam

 Mkazi wa karikoo Mashariki  Kata ya Kariakoo Bw. Fumbuka Ditopile akipiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Lumumba ,kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa Mitaa akiwemo  Mwenyekiti  na Wajumbe leo jijini Dar es Salaam.

 Mkazi wa karikoo Mashariki  Kata ya Kariakoo akipiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Lumumba  Msimamizi wa upigaji kura, Mwalimu Lucy Buzuka akitoa maelekezo kwa wapiga kura wa Kariakoo Mashariki, Kata ya Kariakoo...

 

9 years ago

Michuzi

KAIMU KATIBU TAWALA AFUNGA MAFUNZO YA WARATIBU WA UCHAGUZI DAR ES SALAAM LEO

 Kaimu Katibu Tawala Raymond Mapunda (wa katikati), amaye ni   Ofisa Elimu wa Dar es Salaam akifunga Mafunzo  kwa waratibu wa Uchaguzi, wasimamizi wa Uchaguzi,wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo na Maofisa Uchaguzi, Mkoa wa Dar es Salaam leo, ambapo mafunzo hayo yalikuwa ya siku mbili, wa kwanza kulia ni Mratibu Uchaguzi  wa mkoa wa Mary Assey na  kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Temeke na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani