Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi mkuu wa CCM Jangwani Jijini Dar es Salaam
![](http://img.youtube.com/vi/TUFiBBVU-jQ/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vh8srPJ86Eo/VdrMzmqnZbI/AAAAAAAHzeM/kLmQI1idvog/s72-c/unnamed%2B%252817%2529.jpg)
Uzinduzi wa Kampeni za CCM Jumapili viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-vh8srPJ86Eo/VdrMzmqnZbI/AAAAAAAHzeM/kLmQI1idvog/s640/unnamed%2B%252817%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-uds314aNRxg/VdrMz-5fw1I/AAAAAAAHzeQ/rPaBDuD0OAQ/s640/unnamed%2B%252818%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-n4E61ffFv3g/VdrM79BCKKI/AAAAAAAHzec/DKWLyLA8GuM/s640/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/g0j5naBDEmA/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog23 Aug
Kumekucha uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu CCM, Viwanja vya Jangwani leo
Katibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Juma ‘Gadafi’ akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisi kwake uliofanyika mapema Agosti 22, kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya uzinduzi wa mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu wa chama hicho utaofanyika leo viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.
9 years ago
VijimamboMAANDALIZI YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU CCM YAKAMILIKA, MAGUFULI, SAMIA KUUNGURUMA JANGWANI KESHO
Na Dotto Mwaibale
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza ratiba ya uzinduzi wa kampeni za...
9 years ago
Vijimambo23 Aug
MKUTANO WA UFUNGUZI WA KAMPENI YA CCM JANGWANI JIJINI DAR
9 years ago
VijimamboUZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/TUFiBBVU-jQ/default.jpg)
10 years ago
VijimamboUZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI NI KESHO VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM MAANDALIZI YAMEKAMILIKA WANA MUZIKI LULUKI KUTOA BURUDANI WANDUGU SAIDIA TUTANI UZINDUZI RASMI NI KESHO
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Uzinduzi wa kampeni ya ‘Wazazi Nipendeni’ awamu ya pili wafanyika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Neema Rusibamayila kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo Dk. Seif Rashid (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya Wazazi Nipendeni awamu ya pili katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam jana mchana. Wa kwanza kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), Anna Bodipo Memba na wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magema.