Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPB wazinduwa Tawi jipya Kimara Mwisho Dar es Salaam

Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya hafla ya uzinduzi wa tawi dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya hafla ya uzinduzi wa tawi dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Posta Tanzania (TPB), Profesa Lettice Rutashobya (kulia) akimkabidhi kadi ya TPB mteja wa kwanza kuhudumiwa katika tawi jipya dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Posta Tanzania (TPB), Profesa Lettice Rutashobya (kulia) akimkabidhi kadi ya TPB mteja wa kwanza kuhudumiwa katika tawi jipya dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam.Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (kulia) akimpongeza mteja wa kwanza kuhudumiwa katika tawi jipya dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB),...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Eneo Linauzwa Kimara Mwisho, Dar es salaam


Changamkia Fursa "Ardhi Ni Mali"Eneo Linauzwa Lipo Kimara Mwisho, Mita 300 Kutoka Morogoro Road Au Stendi Ya Mabisi Ya Mwendo Kasi, Eneo Lina Ukubwa Wa Heka Moja Na Lina 
Nyumba Moja Ndogo Na Restaurant Ya Makuti... Linafaa Kwa Makazi Na Biashara. 
Kwa Mnunuzi Piga Simu Nambari +255 757 343333 Au 786 582078. 

 

11 years ago

Michuzi

uchaguzi wa viongozi wa tawi jipya la CCM chuo cha kimataifa cha Diplomasia Dar es salaam

   Baadhi ya wanachama wa Chama Cha mapinduzi (CCM) tawi la  chuo cha kimataifa cha Diplomasia wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa uchaguzi wa tawi hilo jana jumamosi 24/5/2014.Kutoka kushoto ni Mohamed Mkumbwa,George Fautine,Dk.Telesphory Kyaruzi,Faiza Salim,Kanali Rankho,Mtela Mwampamba,Ali Makwiro na Kennedy Ndosi.Uchaguzi huo ulisimamiwa na Mtela Mwampamba,Kanali Rankho,Dotto Nyirenda,katibu wa CCM mkoa wa vyuo vikuu Bw.Zenda Daniel na katibu wa CCM itikadi na uenezi wa...

 

11 years ago

Michuzi

FNB Yafunguwa tawi jipya la Kariakoo,jijini Dar

Mkurugenzi mkuu wa benki ya FNB Tanzania Bw. Dave Aitken akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa tawi jipya la Benki hiyo,lililopo Kariakoo jijini Dar es salaam.kushoto ni Msimamizi wa Masuala ya Athari na Tahadhari wa benki ya FNB Tanzania, Bw. Silvest Arumasi, na kulia ni Afisa Msimamizi Mkuu wa fedha wa benki hiyo, Bw. Luke Woodford.
Katika kukuza na kusaidia wafanya biashara wadogo na wakati benki ya FNB Tanzania imefungua tawi jipya la kariakoo, ambalo...

 

10 years ago

Michuzi

Kampuni Resolution Insurance yafungua tawi jipya Kariakoo,jijini Dar

Mwenyekiti wa bodi wa Resolution Insurance, Richard Kasosola (katikati) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la Karikoo la kampuni hiyo uliofanyika Dar es Salaam leo.Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Oscar Asir na Mkurugenzi wa Utoaji Bima ya Afya wa Kampuni hiyo, Leonard Chacha. Mkurugenzi wa Kampuni Resolution Insurance, Oscar Asir (kushoto) akiwaelekeza mandhali ya ofisi ya tawi jipya la ofisi hiyo iliyopo Lumumba Kariakoo,Mwenyekiti wa bodi wa kampuni hiyo,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wakwama Kimara Dar es Salaam

Wapiga kura katika eneo la Kimara Stop Over, jijini Dar es Salaam hawajafanikiwa kupiga kura kufikia sasa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Upigaji kura waendelea Kimara Dar es Salaam

Wananchi katika kituo cha kupigia kura cha Kimara Stop Over A na B mjini Dar es Salaam wanaendelea kupiga kura baada ya kuahirishwa kwa shughuli hiyo hapo jana kutokana na upungufu wa vifaa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TPB yafungua tawi Kigoma

BENKI ya Posta Tanzania (TPB) imezindua tawi jipya mjini Kigoma katika jengo la Mamlaka ya Mapato (TRA). Akizindua tawi hilo mwishoni mwa wiki, Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Idd awapongeza Viongozi na Wanachama wa CCM wa Tawi la Mafufuni,Bumbini kwa uamuzi wao wa kujenga Tawi jipya la CCM

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi Balozi Seif Ali Iddi amewapongeza Viongozi na Wanachama wa CCM wa Tawi la Mafufuni Jimbo la Bumbwini kwa uamuzi wao wa kujenga Tawi jipya la CCM lenya hadhi ya Chama chenyewe.
Balozi Seif alisema hayo wakati akikabidhi mchango wa Shilingi Milioni moja kwa ajili ya uwezekaji wa Tawi hilo kufuatia ahadi aliyoitoa ya kusaidia harakati za ujenzi wa Jengo hilo mchango alioukabidhi kwa uongozi wa Tawi hilo hapo Ofisini...

 

10 years ago

Michuzi

SIMTANK YAMKABIDHI WAKALA GARI JIPYA DAR ES SALAAM

Afisa Masoko wa Silafrica bwana Alpesh Patel akikabidhi ufunguo wa gari aina ya Suzuki Carry jijini Dar leo kwa Mama Fatuma Wahenga kutoka kampuni ya FMJ Hardware,ambaye aliibuka mshindi wa pili kupitia promosheni iliyojulikana kwa jina la Uza na Ushinde. Afisa Masoko wa Silafrica bwana Alpesh Patel akizungumza kwa ufupi kuhusiana na promosheni yao iliyojulikana kwa jina la Uza na Ushinde na namna washindi wanavyopatikana.
 ========  =======  =======Kampuni ya Silafrica Tanzania Ltd,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani