Kampuni Resolution Insurance yafungua tawi jipya Kariakoo,jijini Dar
Mwenyekiti wa bodi wa Resolution Insurance, Richard Kasosola (katikati) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la Karikoo la kampuni hiyo uliofanyika Dar es Salaam leo.Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Oscar Asir na Mkurugenzi wa Utoaji Bima ya Afya wa Kampuni hiyo, Leonard Chacha.
Mkurugenzi wa Kampuni Resolution Insurance, Oscar Asir (kushoto) akiwaelekeza mandhali ya ofisi ya tawi jipya la ofisi hiyo iliyopo Lumumba Kariakoo,Mwenyekiti wa bodi wa kampuni hiyo,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 May
FNB yafungua tawi jipya Kariakoo
11 years ago
Michuzi
FNB Yafunguwa tawi jipya la Kariakoo,jijini Dar

Katika kukuza na kusaidia wafanya biashara wadogo na wakati benki ya FNB Tanzania imefungua tawi jipya la kariakoo, ambalo...
11 years ago
KwanzaJamii04 Sep
AL-QAEDA YAFUNGUA TAWI JIPYA INDIA
11 years ago
GPL
TIGO YAFUNGUA TAWI JIPYA LINDI MJINI
11 years ago
MichuziNMB YAFUNGUA TAWI JIPYA MKOANI KIGOMA
Akizungumza katika uzinduzi huo, Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Bw.Ramadhani Maneno alisema tawi hilo litasaidia...
10 years ago
MichuziFIRST NATIONAL BANK (FNB) YAFUNGUA TAWI MBEZI BEACH JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi
BENKI YA EXIM TANZANIA YAFUNGUA TAWI JIPYA ZANZIBAR

10 years ago
Dewji Blog08 Aug
Kampuni ya Tigo yafungua Duka jipya la kisasa Sumbawanga Mjini
Katibu tawala mkoa wa Rukwa, ndugu Smythies Pangisa(kulia) akikata utepe ikiwa ni ishara rasmi ya uzinduzi wa duka la Tigo lililopo Sumbawanga mjini, kushoto ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kusini Jackson Kiswaga na katikati ni meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana.
Meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana(katikati) akitoa maelekezo kwa mgeni rasmi Katibu tawala mkoa wa Rukwa ndugu Smythies Pangisa jinsi watakavyo hudumia wateja,...
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Kampuni ya Niko Insurance Limited yabadili jina na kuwa Sanlam General Insurance
Afisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam General Insurance Ndugu Manasseh Kawaloka Akitoa Hotuba yake Kwenye halfa ya Kampuni ya NIKO Insurance Limited Ilipobadili Jina na kuwa Sanlam General Insurance.
Kampuni ya Bima Niko limited Imebadili jina na kuwa Sanlam General Insurance Limited.Mabadiliko hayo yanalenga Kupanua Wigo Na kuimarisha uwepo wake Nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa Jumla.Sanlam General Insuarence Itaendelea Kutoa Huduma Mbalimbali za BimaKwa Wateja Binafsi na Mashirika...