Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB YAFUNGUA TAWI JIPYA MKOANI KIGOMA

Benki ya NMB imezindua rasmi tawi lake jipya mjini Kigoma. Uzinduzi wa tawi hilo lililoko katika jengo la Bima barabara ya Lumumba katika jengo la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ulifanyika mwishoni mwa wiki. Aidha, tawi hilo lililo mkabala na Soko Kuu la Kigoma, limelenga kutoa huduma kwa watu binafsi na wakazi wengi wa maeneo hayo hususan wafanya biashara ndogo ndogo.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Bw.Ramadhani Maneno alisema tawi hilo litasaidia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NMB YAFUNGUA RASMI TAWI LA HIMO, MKOANI KILIMANJARO

 Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mhe.Dkt. Ibrahimu Msengi (kati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Himo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Wa kwanza kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini, Vicky Bishubo akifuatiwa na  Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa na wa kwanza kulia ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo,Mhe.Augustino Mrema wakishuhudia uzinduzi huo. Hafla ya uzinduzi wa tawi hilo la NMB Himo ulifanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya tawi hilo mkoani...

 

10 years ago

KwanzaJamii

AL-QAEDA YAFUNGUA TAWI JIPYA INDIA

Kiongozi wa kundi la Al-Qaeda, Ayman al-Zawahir Kiongozi wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda, Ayman al-Zawahiri amesema kuwa wamefungua tawi jipya la mtandao huo wa kigaidi nchini India ikiwa ni jitihada za kuhakikisha wanapandisha bendera za Jihad kusini mwa bara la Asia. Taarifa zinasema kuwa picha za video za tangazo hilo zinasema kuwa hiyo ni hatua ya kuimarisha dola ya Kiislam ambao kwa sasa unashikilia eneo kubwa la Iraq na Syria. Zawahiri amesema kuwa nguvu mpya ya mtandao inalenga...

 

11 years ago

Mwananchi

FNB yafungua tawi jipya Kariakoo

Katika kukuza na kusaidia wafanyabiashara wadogo na wakati, Benki ya FNB Tanzania imefungua tawi jipya Kariakoo, Jijini Dar es Salaam ambalo litakuwa na kazi ya kutoa huduma za kibenki kwa watu mbalimbali wakiwamo wafanyabiashara wadogo na wa kati.

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yafungua tawi Tabata

BENKI ya NMB imefungua tawi jipya maeneo ya Tabata, Barabara ya Mandela, Dar es Salaam. Ufunguzi wa tawi hilo la 20 jijini hapa  umekuja ili kuongeza wigo wa matawi ya...

 

11 years ago

GPL

TIGO YAFUNGUA TAWI JIPYA LINDI MJINI

Wafanyakazi wa duka jipya la Tigo la Lindi Mjini katika nyuso za furaha na Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi Mjini Bw. Kelvin Makonda (aliyebeba mfuko wa Tigo) wakati wa uzinduzi wa duka hilo jipya iliyofanyika juzi.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi Mjini Bw. Kelvin Makonda (kushoto) akimsikiliza kwa makini Meneja wa duka jipya la Tigo lilipo Lindi Mjini Bw. Ahadi Mtweve (katikati) kuhusu huduma ya mauzo ya simu za kisasa pale...

 

10 years ago

Michuzi

NMB Yafungua Tawi maalumu Oysterbay

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meki Sadiki akiweka jiwe la msingi kwaajili ya uzinduzi rasmi wa tawi jipya na la kisasa la NMB Oysterplaza lililopo Oysterplaza jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NMB – Tom Borghols huku meneja wa tawi hilo Donatus Richard akishuhudia. Tawi la NMB Oysterplaza ni maalumu kwa wateja wakubwa na wa kati.Kufunguliwa kwa tawi hilo kunafanya mkoa wa Dar es salaam kufikisha matawi 26 ya NMB.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meki Sadiki akikata...

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAFUNGUA RASMI TAWI LA SINGIDA

Benki ya NMB imefungua rasmi tawi lake jipya la Singida. Tawi hilo litakuwa na huduma zote za kibenki kama yalivyo matawi mengine ya NMB nchini kote. Tawi hili limefunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mh. Dk. Perseko Vincent Kone.  Mkuu wa Mkoa wa Singida- Mh. Dk. Perseko Vincent Kone (kati) akikata utepe kuzindua rasmi tawi la Singida, kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Kati Bw. Ole Loibanguti na Meneja wa NMB tawi la Singida- Bi. Christine Mwangoma.
Kufunguliwa kwa tawi la Singida sasa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TPB yafungua tawi Kigoma

BENKI ya Posta Tanzania (TPB) imezindua tawi jipya mjini Kigoma katika jengo la Mamlaka ya Mapato (TRA). Akizindua tawi hilo mwishoni mwa wiki, Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani