NMB YAFUNGUA RASMI TAWI LA HIMO, MKOANI KILIMANJARO
![](http://2.bp.blogspot.com/-h31cQYj0qdo/Uvh25yMqwOI/AAAAAAAFMBs/254XcoXP0jo/s72-c/image001.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mhe.Dkt. Ibrahimu Msengi (kati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Himo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Wa kwanza kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini, Vicky Bishubo akifuatiwa na Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa na wa kwanza kulia ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo,Mhe.Augustino Mrema wakishuhudia uzinduzi huo. Hafla ya uzinduzi wa tawi hilo la NMB Himo ulifanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya tawi hilo mkoani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-MLucSuML5fI/VUHkNxvYc1I/AAAAAAAHUN8/ZHi7m3v6Nd8/s72-c/No4.jpg)
NMB YAFUNGUA RASMI TAWI LA SINGIDA
![](http://2.bp.blogspot.com/-MLucSuML5fI/VUHkNxvYc1I/AAAAAAAHUN8/ZHi7m3v6Nd8/s1600/No4.jpg)
Kufunguliwa kwa tawi la Singida sasa...
11 years ago
MichuziNMB YAFUNGUA TAWI JIPYA MKOANI KIGOMA
Akizungumza katika uzinduzi huo, Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Bw.Ramadhani Maneno alisema tawi hilo litasaidia...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lXSRMkdDRcA/UvKpBHLnlBI/AAAAAAAFLFI/hV1N0Y-70CE/s72-c/unnamed+(14).jpg)
NMB YAFUNGUA RASMI TAWI LA USA RIVER-ARUSHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-lXSRMkdDRcA/UvKpBHLnlBI/AAAAAAAFLFI/hV1N0Y-70CE/s1600/unnamed+(14).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5R2W8fTLZcU/UvKpAy8nTRI/AAAAAAAFLFE/4fS-jvfMFJM/s1600/unnamed+(15).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
NMB yafungua tawi Tabata
BENKI ya NMB imefungua tawi jipya maeneo ya Tabata, Barabara ya Mandela, Dar es Salaam. Ufunguzi wa tawi hilo la 20 jijini hapa umekuja ili kuongeza wigo wa matawi ya...
10 years ago
MichuziNMB Yafungua Tawi maalumu Oysterbay
![](http://3.bp.blogspot.com/-FmQwAtRM9aQ/VV33Cnmi1SI/AAAAAAAHY44/bliYV-XYfog/s640/2.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-WSHN5eW16wU/U3vZjHFikOI/AAAAAAAFkAo/WlewUDjsrMs/s72-c/unnamed+(14).jpg)
NMB Bank yafungua tawi la Bunge mjini dodoma
![](http://4.bp.blogspot.com/-WSHN5eW16wU/U3vZjHFikOI/AAAAAAAFkAo/WlewUDjsrMs/s1600/unnamed+(14).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-u0_ZF3beSho/U3vZjUv5aPI/AAAAAAAFkAw/0gsd-rj-tcA/s1600/unnamed+(15).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-qlp0Vk2C3MI/U3vZjqhf6fI/AAAAAAAFkAs/aJUFE-lE8wQ/s1600/unnamed+(16).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-GEpjBCKbJ7M/U3vZkRv-4lI/AAAAAAAFkA4/25fXLNch5Kk/s1600/unnamed+(17).jpg)
5 years ago
CCM BlogNMB YAFUNGUA TAWI LA 225 IKIAHIDI NEEMA KWA WAKULIMA NA WAFUGAJI
Akitoa taarifa ya utendaji wa benki hiyo kwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla ya ufunguzi wa tawi hilo mwishoni mwa wiki, Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa NMB, Ruth Zaipuna alisema ufunguzi wa tawi hilo pamoja na mengine maeneo ya vijijini ni...
5 years ago
MichuziNMB yafungua tawi la 225 ikiahidi neema kwa wakulima, wafugaji
Akitoa taarifa ya utendaji wa benki hiyo kwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla ya ufunguzi wa tawi hilo mwishoni mwa wiki, Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa NMB, Ruth Zaipuna alisema ufunguzi wa tawi hilo pamoja na mengine maeneo ya vijijini ni...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10