Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB yafungua tawi la 225 ikiahidi neema kwa wakulima, wafugaji

Benki ya NMB imezindua tawi jipya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu na kufikisha matawi 225 nchi nzima huku ikitangaza neema ya huduma bora na mikopo nafuu kwa wananchi wakiwemo wakulima, wafugaji na wavuvi kusaidia shughuli za kiuchumi.
Akitoa taarifa ya utendaji wa benki hiyo kwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla ya ufunguzi wa tawi hilo mwishoni mwa wiki, Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa NMB, Ruth Zaipuna alisema ufunguzi wa tawi hilo pamoja na mengine maeneo ya vijijini ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

NMB YAFUNGUA TAWI LA 225 IKIAHIDI NEEMA KWA WAKULIMA NA WAFUGAJI

Benki ya NMB imezindua tawi jipya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu na kufikisha matawi 225 nchi nzima huku ikitangaza neema ya huduma bora na mikopo nafuu kwa wananchi wakiwemo wakulima, wafugaji na wavuvi kusaidia shughuli za kiuchumi.
Akitoa taarifa ya utendaji wa benki hiyo kwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla ya ufunguzi wa tawi hilo mwishoni mwa wiki, Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa NMB, Ruth Zaipuna alisema ufunguzi wa tawi hilo pamoja na mengine maeneo ya vijijini ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yafungua tawi Tabata

BENKI ya NMB imefungua tawi jipya maeneo ya Tabata, Barabara ya Mandela, Dar es Salaam. Ufunguzi wa tawi hilo la 20 jijini hapa  umekuja ili kuongeza wigo wa matawi ya...

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAFUNGUA RASMI TAWI LA SINGIDA

Benki ya NMB imefungua rasmi tawi lake jipya la Singida. Tawi hilo litakuwa na huduma zote za kibenki kama yalivyo matawi mengine ya NMB nchini kote. Tawi hili limefunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mh. Dk. Perseko Vincent Kone.  Mkuu wa Mkoa wa Singida- Mh. Dk. Perseko Vincent Kone (kati) akikata utepe kuzindua rasmi tawi la Singida, kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Kati Bw. Ole Loibanguti na Meneja wa NMB tawi la Singida- Bi. Christine Mwangoma.
Kufunguliwa kwa tawi la Singida sasa...

 

10 years ago

Michuzi

NMB Yafungua Tawi maalumu Oysterbay

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meki Sadiki akiweka jiwe la msingi kwaajili ya uzinduzi rasmi wa tawi jipya na la kisasa la NMB Oysterplaza lililopo Oysterplaza jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NMB – Tom Borghols huku meneja wa tawi hilo Donatus Richard akishuhudia. Tawi la NMB Oysterplaza ni maalumu kwa wateja wakubwa na wa kati.Kufunguliwa kwa tawi hilo kunafanya mkoa wa Dar es salaam kufikisha matawi 26 ya NMB.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meki Sadiki akikata...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YAFUNGUA TAWI JIPYA MKOANI KIGOMA

Benki ya NMB imezindua rasmi tawi lake jipya mjini Kigoma. Uzinduzi wa tawi hilo lililoko katika jengo la Bima barabara ya Lumumba katika jengo la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ulifanyika mwishoni mwa wiki. Aidha, tawi hilo lililo mkabala na Soko Kuu la Kigoma, limelenga kutoa huduma kwa watu binafsi na wakazi wengi wa maeneo hayo hususan wafanya biashara ndogo ndogo.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Bw.Ramadhani Maneno alisema tawi hilo litasaidia...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YAFUNGUA RASMI TAWI LA USA RIVER-ARUSHA

 Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Nyerembe D. Munasa Sabi (kati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Usa River.Wakishuhudia kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Biashara kwa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard Makungwa pamoja na Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini, Vicky Bishubo . Hafla ya uzinduzi wa tawi hili la NMB Usa River umefanyika mwanzoni mwa wiki katika viwanja vya tawi hili mkoani Arusha.

 Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi huu...

 

11 years ago

Michuzi

NMB Bank yafungua tawi la Bunge mjini dodoma

 Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akikata utepe kufungua Tawi Jipya la NMB Bank tawi la Bunge,tawi hili lime- funguliwa katika viwanja vya Bunge leo Mchana.Kushoto kwake ni Afisa Mtendaji Mku wa NMB,Bw.Mark Wiessing.  Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akifungua pazia la jiwe la msingi kuashiria kufungua Tawi Jipya la NMB Bank tawi la Bunge.Tawi hili lililo funguliwa katika viwanja vya Bunge leo Mchana,anaye piga makofi  ni Afisa Mtendaji Mku wa NMB,Bw.Mark Wiessing.  Jengo la NMB Bunge.

 

11 years ago

Michuzi

NMB YAFUNGUA RASMI TAWI LA HIMO, MKOANI KILIMANJARO

 Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mhe.Dkt. Ibrahimu Msengi (kati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Himo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Wa kwanza kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini, Vicky Bishubo akifuatiwa na  Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa na wa kwanza kulia ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo,Mhe.Augustino Mrema wakishuhudia uzinduzi huo. Hafla ya uzinduzi wa tawi hilo la NMB Himo ulifanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya tawi hilo mkoani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani