Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENKI YA EXIM TANZANIA YAFUNGUA TAWI JIPYA ZANZIBAR

Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania Bw Selemani Ponda (wa pili kulia) akizundua tawi jipya la benki hiyo lililopo eneo la Mwanakwerekwe, Zanzibar wakati wa hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika Zanzibar hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni baadhi ya maofisa wa benki hiyo pamoja na wageni waalikwa.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Benki ya Exim yafungua tawi

Benki ya Exim imezindua tawi mkoani Arusha kwa ajili ya huduma kwa wateja wakubwa ndani ya mkoa huo na maeneo ya jirani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Exim yafungua tawi Lumumba

BENKI ya Exim Tanzania imeendelea kutanua wigo kwa wateja wake nchini kwa kufungua tawi jipya mtaa wa Lumumba, jijini Dar es Salaam. Tawi hilo la Ushirika linaongeza idadi ya mtandao...

 

11 years ago

Mwananchi

FNB yafungua tawi jipya Kariakoo

Katika kukuza na kusaidia wafanyabiashara wadogo na wakati, Benki ya FNB Tanzania imefungua tawi jipya Kariakoo, Jijini Dar es Salaam ambalo litakuwa na kazi ya kutoa huduma za kibenki kwa watu mbalimbali wakiwamo wafanyabiashara wadogo na wa kati.

 

10 years ago

KwanzaJamii

AL-QAEDA YAFUNGUA TAWI JIPYA INDIA

Kiongozi wa kundi la Al-Qaeda, Ayman al-Zawahir Kiongozi wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda, Ayman al-Zawahiri amesema kuwa wamefungua tawi jipya la mtandao huo wa kigaidi nchini India ikiwa ni jitihada za kuhakikisha wanapandisha bendera za Jihad kusini mwa bara la Asia. Taarifa zinasema kuwa picha za video za tangazo hilo zinasema kuwa hiyo ni hatua ya kuimarisha dola ya Kiislam ambao kwa sasa unashikilia eneo kubwa la Iraq na Syria. Zawahiri amesema kuwa nguvu mpya ya mtandao inalenga...

 

11 years ago

GPL

TIGO YAFUNGUA TAWI JIPYA LINDI MJINI

Wafanyakazi wa duka jipya la Tigo la Lindi Mjini katika nyuso za furaha na Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi Mjini Bw. Kelvin Makonda (aliyebeba mfuko wa Tigo) wakati wa uzinduzi wa duka hilo jipya iliyofanyika juzi.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi Mjini Bw. Kelvin Makonda (kushoto) akimsikiliza kwa makini Meneja wa duka jipya la Tigo lilipo Lindi Mjini Bw. Ahadi Mtweve (katikati) kuhusu huduma ya mauzo ya simu za kisasa pale...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YAFUNGUA TAWI JIPYA MKOANI KIGOMA

Benki ya NMB imezindua rasmi tawi lake jipya mjini Kigoma. Uzinduzi wa tawi hilo lililoko katika jengo la Bima barabara ya Lumumba katika jengo la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ulifanyika mwishoni mwa wiki. Aidha, tawi hilo lililo mkabala na Soko Kuu la Kigoma, limelenga kutoa huduma kwa watu binafsi na wakazi wengi wa maeneo hayo hususan wafanya biashara ndogo ndogo.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Bw.Ramadhani Maneno alisema tawi hilo litasaidia...

 

10 years ago

Michuzi

Kampuni Resolution Insurance yafungua tawi jipya Kariakoo,jijini Dar

Mwenyekiti wa bodi wa Resolution Insurance, Richard Kasosola (katikati) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la Karikoo la kampuni hiyo uliofanyika Dar es Salaam leo.Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Oscar Asir na Mkurugenzi wa Utoaji Bima ya Afya wa Kampuni hiyo, Leonard Chacha. Mkurugenzi wa Kampuni Resolution Insurance, Oscar Asir (kushoto) akiwaelekeza mandhali ya ofisi ya tawi jipya la ofisi hiyo iliyopo Lumumba Kariakoo,Mwenyekiti wa bodi wa kampuni hiyo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Benki yafungua tawi la wateja wakubwa Arusha

BENKI ya Exim imezindua tawi mjini Arusha linalolenga kuwahudumia wateja wake wakubwa ndani ya mkoa huo na maeneo ya jirani. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi hilo mwishoni mwa wiki,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Majaliwa afungua tawi jipya la Benki ya Posta mjini Songea

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, (wa pili kulia), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu, na Watu Wenye Ulemavu), Bi. Jenista Mhagama, na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Bw. Sabasaba Moshingi, (wa kwanza kushoto) wakikata utepe kuashiria kufunguliwa kwa tawi jipya la benki hiyo mjini Songea leo Januari 4, 2015.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kadi ya akaunti yake ya Benki ya Posta Tanzania aliyokabidhiwa baada ya kuifungua alipokuwa akifungua tawi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani