Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuu Majaliwa afungua tawi jipya la Benki ya Posta mjini Songea

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, (wa pili kulia), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu, na Watu Wenye Ulemavu), Bi. Jenista Mhagama, na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Bw. Sabasaba Moshingi, (wa kwanza kushoto) wakikata utepe kuashiria kufunguliwa kwa tawi jipya la benki hiyo mjini Songea leo Januari 4, 2015.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kadi ya akaunti yake ya Benki ya Posta Tanzania aliyokabidhiwa baada ya kuifungua alipokuwa akifungua tawi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI SONGEA

e92a2ca8-1b8e-49f8-a0bc-fa4646427e30
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary   (kushoto kwake )  wakielekea kwenye Chumba cha mapumziko baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea na kupokelewa na wanachi na viongozi wa mkoa huo Januari 3, 2016.  Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma , Thabiti Mwambungu na kushoto ni Mbunge wa Songea Leonidas Gama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

9 years ago

MillardAyo

Jingine jipya la Waziri mkuu Majaliwa kwenye mabasi yaendayo Haraka Dar es salaam

December 19 2015 Waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa alifanya ziara nyingine kutazama walikofikia wanaomalizia ujezi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka Dar es salaam, tazama hii video hapa chini nimekuwekea kila kitu.

The post Jingine jipya la Waziri mkuu Majaliwa kwenye mabasi yaendayo Haraka Dar es salaam appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afungua soko la kimataifa la Samaki Mkoani Kigoma leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga makofi na kufurahia baada ya kuzindua rasmi soko la kisasa la samaki na dagaa katika mwalo wa Kibirizi, Mkoani Kigoma leo. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua dagaa walioanikwa kisasa katika mwalo wa kibirizi baada ya kufungua rasmi soko la kimataifa la Samaki lililopo Kibirizi, Mkoani Kigoma leo.Mbunge wa Jimbo la Kigoma mjini Zitto kabwe akiongea na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya mwalo wa kibirizi. Waziri Mkuu Kassim...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM TANZANIA YAFUNGUA TAWI JIPYA ZANZIBAR

Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania Bw Selemani Ponda (wa pili kulia) akizundua tawi jipya la benki hiyo lililopo eneo la Mwanakwerekwe, Zanzibar wakati wa hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika Zanzibar hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni baadhi ya maofisa wa benki hiyo pamoja na wageni waalikwa.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASEMA ANATAMBUA UMUHIMU WA DINI ZOTE,AFUNGUA MSIKITI WA ANNUR WILAYANI RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwasalimia wananchi, kwenye Msikiti wa Annur, baada ya swala ya ijumaa na kufungua rasmi Msikiti huo uliyojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation, wilayani Ruangwa katika Mkoa wa Lindi Machi 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiitikia dua, iliyosomwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Al-Hikma, Sheikh Sharif Abdulqader, kwenye Msikiti wa Annur baada ya swala ya ijumaa na baadae kufungua rasmi Msikiti huo, uliyojengwa...

 

9 years ago

CCM Blog

PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa

 

11 years ago

GPL

TIGO YAFUNGUA TAWI JIPYA LINDI MJINI

Wafanyakazi wa duka jipya la Tigo la Lindi Mjini katika nyuso za furaha na Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi Mjini Bw. Kelvin Makonda (aliyebeba mfuko wa Tigo) wakati wa uzinduzi wa duka hilo jipya iliyofanyika juzi.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi Mjini Bw. Kelvin Makonda (kushoto) akimsikiliza kwa makini Meneja wa duka jipya la Tigo lilipo Lindi Mjini Bw. Ahadi Mtweve (katikati) kuhusu huduma ya mauzo ya simu za kisasa pale...

 

9 years ago

Vijimambo

BENKI YA POSTA TAWI LA DODOMA YAKABIDHI MSAADA WA KOMYUTA KATIKA SHULE YA TUMAINI ENGLISH MEDIUM ACADEMY

 Meneja wa Benki ya Posta Tanzania Tawi la Dodoma Twaha Halfan (kushoto ) akimkabidhi Meneja wa Tumaini English Medium Academy ya Nkhungu Dodoma Jaffety Biseko Moja ya Kompyuta kati ya 10 ambazo zote kwa ujumla zina Thamani zaidi ya 4mil, kwa ajili ya kuimalisha darasa la kompyuta shuleni hapo hususani katika somo la tehama. Mwalimu Tabitha Isanzu wa somo la Tehama katika  chumba cha komputa katika shule ya Tumaini English Medium Academy ya Nkhungu Dodoma, akiwaelekeza wanafunzi namna ya...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA TAWI LA BENKI KUU DODODMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuashiria kufungua rasmi tawi la Benki kuu ya Tanzania Dodoma Oktoba 15,2015.Kushoto ni Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum na Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno Ndulu(picha na Freddy Maro)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani