Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AFUNGUA TAWI LA BENKI KUU DODODMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuashiria kufungua rasmi tawi la Benki kuu ya Tanzania Dodoma Oktoba 15,2015.Kushoto ni Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum na Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno Ndulu(picha na Freddy Maro)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua Tawi la Benki Kuu Mtwara

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi tawi la Benki Kuu mjiniMtwara leo jioni.Kushoto ni Gavana wa Benki Kuu Dkt.Benno Ndulu na kulia ni Naibu Waziri wa Fedha Bwana Mwigulu Nchemba(picha na Freddy Maro)

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Majaliwa afungua tawi jipya la Benki ya Posta mjini Songea

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, (wa pili kulia), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu, na Watu Wenye Ulemavu), Bi. Jenista Mhagama, na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Bw. Sabasaba Moshingi, (wa kwanza kushoto) wakikata utepe kuashiria kufunguliwa kwa tawi jipya la benki hiyo mjini Songea leo Januari 4, 2015.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kadi ya akaunti yake ya Benki ya Posta Tanzania aliyokabidhiwa baada ya kuifungua alipokuwa akifungua tawi...

 

9 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA CCM, AKUTANA NA MWAKILISHI WA BENKI YA DUNIA

 Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa jijini Dar es salaam leo Desemba 7, 2015.  Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA ZIMBABWE ROBERTY MUGABE AFUNGUA KONGAMANO LA VIJANA AFRIKA NA CHINA,RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA .

  Mgeni Rasmi wa Kongamano la tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China, Rais wa Zimbabwe,Robert  Mugabe akihutubi usiku huu kweye kongamano hilo kwenye moja ya ukumbi wa mikutano katika hotel ya Ngurdoto mjini Arusha.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza usiku huu kwenye moja ya ukumbi wa mikutano katika hotel ya Ngurdoto mjini Arusha,ambapo Kongamano la tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China linafanyika na mgeni rasmi ni Rais wa Zimbabwe,Robert Mugabe. Rais wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma

 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba Mhe Samwel Sitta alioowasili kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwenye ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma Agosti 19, 2014. Kulia ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora), Mhe George Mkuchika akifuatiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt Rehema Nchimbi Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ASHIRIKI ZOEZI LA KUCHANGIA FEDHA ZA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI TAWI LA DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani la Kanisa hilo, Askofu Alex Malasusa pamoja na wachungaji wengine wa KKKT wakati wa chakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini, tawi la Dar Es Salaam, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kagame afungua rasmi mkutano wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya afrika (AfDB) unaofanyika jijini Kigali Rwanda

PIC 1 (2)

Baadhi ya Viongozi Wakuu wa Afrika waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ambao ulifunguliwa na Mh.Rais wa Rwanda Paul Kagame. Mh.Kagame katika hotuba yake alisisitiza kuzijengea uwezo sekta binafsi ili Afrika iweze kufikia uchumi wa kati kwa kipindi cha Miaka 50 ijayo. Aidha katika kufikia lengo hilo Rais Kagame alisema hatuna budi Afrika kuachana na Migogoro na kutekeleza kwa vitendo makubaliano yanayoafikiwa na Viongozi wa Afrika  ili kujenga uchumi imara...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AFUNGUA DARAJA LA MALIGISU


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete watatu kutoka kulia akiwa amekata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Daraja la Maligisu. Wa kwanza kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo akifatiwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe MagufuliTaswira ya Daraja la Maligisu kama linavyoonekana kwa chini.Daraja la Maligisu kama linavyoonekana kwa juu mara baada ya kufunguliwa Pilikapilika mara baada ya ufunguzi wa Daraja la Maligisu ambapo maelfu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani