Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki yafungua tawi la wateja wakubwa Arusha

BENKI ya Exim imezindua tawi mjini Arusha linalolenga kuwahudumia wateja wake wakubwa ndani ya mkoa huo na maeneo ya jirani. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi hilo mwishoni mwa wiki,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Benki ya Exim yafungua tawi

Benki ya Exim imezindua tawi mkoani Arusha kwa ajili ya huduma kwa wateja wakubwa ndani ya mkoa huo na maeneo ya jirani.

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM TANZANIA YAFUNGUA TAWI JIPYA ZANZIBAR

Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania Bw Selemani Ponda (wa pili kulia) akizundua tawi jipya la benki hiyo lililopo eneo la Mwanakwerekwe, Zanzibar wakati wa hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika Zanzibar hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni baadhi ya maofisa wa benki hiyo pamoja na wageni waalikwa.

 

11 years ago

Michuzi

NMB YAFUNGUA RASMI TAWI LA USA RIVER-ARUSHA

 Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Nyerembe D. Munasa Sabi (kati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Usa River.Wakishuhudia kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Biashara kwa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard Makungwa pamoja na Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini, Vicky Bishubo . Hafla ya uzinduzi wa tawi hili la NMB Usa River umefanyika mwanzoni mwa wiki katika viwanja vya tawi hili mkoani Arusha.

 Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi huu...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB TAWI LA MOSHI WAFURAHIA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Moshi wakiwa katika picha ya pamoja ,aliyekaa ni meneja wa tawi hilo Francis Mollel.Baadhi ya afanyakazi wa kike wa Benki ya CRDB tawi la Moshi wakiweka pozi la picha pembeni ya Keki.Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Moshi akikata keki kwa ajili ya wateja.Keki maalumu iliyoandaliwa kwa ajili ya wateja wa Benki ya CRDB tawi la Moshi wakati wa week ya huduma kwa wateja. Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB TAWI LA MLIMANI CITY YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA


Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango (katikati) akifurahia jambo na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay (kushoto). Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay akisalimiana na Ofisa wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City.Keki.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Michuzi

Mkurugenzi wa Benki ya Amana afunga wiki ya huduma kwa wateja katika tawi la Mwanza


Mkurugenzi wa Amana Bank Dk Muhsin Masoud akimzawadia Bw Juma Kivuruga kwa kuwa mfanyakazi bora kwa tawi la Mwanza, Kivuruga alipigiwa kura na wafanyakazi wenziye wa tawi hilo.Daud Lweno akizawadiwa na Mkurugenzi wa Amana Bank kama mteja mzuri kulipia miamala ya TRA katika tawi la Mwanza. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Michuzi

SIKU YA 2 :BENKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WAENDELEA KUADHIMISHA WIKI HUDUMA KWA WATEJA

Meneja wa Benki ya CRDB wa tawi la Water Front, Donath Shirima akimpa tunzo pamoja na barua ya kumshukuru Afisa Mtendaji  mkuu wa Mohamed Interpraises, Mo dewji  kuwa ni mshiriki mkubwa wa benki ya CRDB katika tawi la Water Front leo katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika ofisi zake jijini Dar es Salaam.Mteja wa benki ya CRDB tawi la Water front akipima akipima Shinikizo la Damu leo jijini dar es Salaam katika tai hilo. Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Water...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA AZANIA TAWI LA MOSHI, YAWAANDALIA WATEJA WAKE NA WAFANYAKAZI PARTY YA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA

Wafanyakazi wa Benki ya Azania Tawi la Moshi, wakiwa wamejumuika katika sherehe ya kupongezana kwa mafanikio waliyoyapata katika mwaka ulioisha wa 2014 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2015. Sherehe hiyo ilifanyika jana katika Benki hilo, lililoko, mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.Meneja wa Benki ya Azania Tawi la Moshi, Bi.Hajira Mmambe, akifungua zawadi katika hafla ya kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2015 iliyofanyika jana kama sehemu ya kuwapongeza wafanyakazi wa Benki hiyo....

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WAWASHUKURU WATEJA KWA KUWAPA ZAWADI JIJINI DAR LEO.

 Meneja wa Benki ya CRDB  tawi la Water Front, Donath Shirima akimkabidhi tunzo katika ofisi za Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Reli, Benhdard Tito,kwa kumshukuru kuwa mteja benki hiyo katika tawi la Water Front kwa kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja inayoendelea kufanyika katika tawi hilo jijini Dar es Salaam leo. Meneja wa Benki ya CRDB  tawi la Water Front, Donath Shirima akimkabidhi tunzo, Mkurugenzi Mkuu wa Fedha wa kampuni ya NAS, Prakash Shenoy kumshukuru mteja huyo wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani