Kampuni ya Niko Insurance Limited yabadili jina na kuwa Sanlam General Insurance
Afisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam General Insurance Ndugu Manasseh Kawaloka Akitoa Hotuba yake Kwenye halfa ya Kampuni ya NIKO Insurance Limited Ilipobadili Jina na kuwa Sanlam General Insurance.
Kampuni ya Bima Niko limited Imebadili jina na kuwa Sanlam General Insurance Limited.Mabadiliko hayo yanalenga Kupanua Wigo Na kuimarisha uwepo wake Nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa Jumla.Sanlam General Insuarence Itaendelea Kutoa Huduma Mbalimbali za BimaKwa Wateja Binafsi na Mashirika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNIKO INSURANCE LIMITED YABADILI JINA NA KUWA SANLAM GENERAL INSURENCE
9 years ago
TheCitizen12 Nov
NIKO Insurance now goes by Sanlam General Insurance
9 years ago
Dewji Blog14 Aug
Kampuni ya African Life Assurance yabadilisha jina kuwa Sanlam Life Insurance
Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof Mkenda akiwa na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam Life Insurance Ndg. Julius Magabe Tayari kwa uzinduzi wa Kampuni ya Sanlan.
Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof Mkenda (wa pili kushoto) akiwa na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam life Insurance Ndg. Julius Magabe, (wa pili kulia) pamoja na Mtendaji Mkuu wa umoja wa makampuni ya Sanlam. Ndugu.Ian Kirk..Israel Kamuzora, Kamishna wa Bima katika Mamlaka...
10 years ago
MichuziKampuni Resolution Insurance yafungua tawi jipya Kariakoo,jijini Dar
10 years ago
MichuziKampuni ya AFRICAN BARRICK GOLD yabadili jina,sasa kuitwa “Acacia”
Acacia ni mti ambao ndiyo chimbuko la jina letu jipya, ni mti unaonekana kuwa ni...
11 years ago
Dewji Blog15 Apr
BMTL yabadili jina la kibiashara na kuwa Copy Cat rasmi
Afisa Mtendaji Mkuu wa BMTL, Copy Cat, Bw Mike Holtham akizungumza na mmoja wa wageni waalikwa katika sherehe hizo za kuzindua jina jipya nchini na kuzungumza na wateja wao.
.Yapata Afisa Mtendaji Mkuu Mpya
.yawa wakala rasmi wa bidhaa za Samsung Tanzania
Na Damas Makangale, MOblog Tanzania
KAMPUNI ya Business Machines Tanzania Limited (BMTL) imebadilisha rasmi jina lake la biashara kwenda kwenye kampuni yake mama ya Copy Cat katika harakati zake za kupanua wigo wa biashara...
9 years ago
MichuziKAMPUNI YAAFRICAN LIFE ASSURENCE YABADILISHA JINARSNI KUWA SANLAM LIFE
11 years ago
TheCitizen13 Jul
Medical insurance now accessible to everyone
10 years ago
TheCitizen11 May
Make insurance relevant