Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni ya AFRICAN BARRICK GOLD yabadili jina,sasa kuitwa “Acacia”

Kampuni ya African Barick Gold (ABG) inayo furaha kutangaza kuwa imebadili jina lake na sasa na itatambulika kama Acacia Mining plc. Mabadiliko haya ni sehemu ya jitihada kubwa za kubadilisha mtazamo na mkakati wake mpya wa kazi yetu kubwa katika uchimbaji wa madini. Mabadiliko haya yamekuja baada ya wanahisa wa kampuni kukubaliana na kupiga kura ya kupitisha maamuzi haya jana tarehe 26 mwezi Novemba mwaka 2014.
Acacia ni mti ambao ndiyo chimbuko la jina letu jipya, ni mti unaonekana kuwa ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Niko Insurance Limited yabadili jina na kuwa Sanlam General Insurance

Afisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam General Insurance Ndugu Manasseh Kawaloka  Akitoa Hotuba yake Kwenye halfa ya Kampuni ya NIKO Insurance Limited Ilipobadili Jina na kuwa Sanlam General Insurance.

Kampuni ya Bima Niko limited Imebadili jina na kuwa Sanlam General Insurance Limited.Mabadiliko hayo yanalenga Kupanua Wigo Na kuimarisha uwepo wake Nchini Tanzania na Afrika Mashariki  kwa Jumla.Sanlam General Insuarence Itaendelea Kutoa Huduma Mbalimbali za BimaKwa Wateja Binafsi na Mashirika...

 

11 years ago

Michuzi

AFRICAN BARRICK GOLD MINING WADHAMINI TIBA YA UPASUAJI BURE KWA KICHWA, MGONGO NA MISHIPA YA FAHAMU KATIKA HOSPITALI YA BUGANDO MWANZA

Daktari Bingwa wa Ubongo, Mgongo na mishipa ya fahamu Dr. Othman W. Kiloloma kutoka hospitali ya Muhimbili amesema kuwa timu ya madaktari saba imewasili kutoka Muhimbili  ikiwa na daktari bingwa 1 wa usingizi wakiwa na vifaa vyote muhimu ili kuungana na madaktari Bingwa wa upasuaji Bugando kwaajili ya kuweka kambi ya tiba mkoani Mwanza.   Dr. Othman W. Kiloloma ameongeza kuwa dhana ya kuweka kambi Mwanza imekuja ikiwa ni hatua ya kujaribu kupunguza vifo na usumbufu unaowakumba watu...

 

5 years ago

Nasdaq

Stock Alert: Barrick Gold Corp. (GOLD) Shares Hit 52-Week High

Stock Alert: Barrick Gold Corp. (GOLD) Shares Hit 52-Week High  Nasdaq

 

11 years ago

Tanzania Daima

Amref yabadili jina, nembo

SHIRIKA la kimataifa lisilokuwa la kiserikali la Afrika Medical and Research Foundation (Amref) limezindua rasmi jina na nembo yake mpya ambapo sasa litajulikana kama Amref Health Africa Tanzania. Uzinduzi huo...

 

11 years ago

TheCitizen

Barrick Gold under fire over killings

Two international NGOs are claiming that excessive force continues to be widely used by police officers who guard the African Barrick Gold’s North Mara Gold Mine.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya African Life Assurance yabadilisha jina kuwa Sanlam Life Insurance

Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof Mkenda akiwa na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam Life Insurance Ndg. Julius Magabe Tayari kwa uzinduzi wa  Kampuni ya Sanlan.

 DSC_0408

Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof Mkenda (wa pili kushoto) akiwa na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam life Insurance Ndg. Julius Magabe, (wa pili kulia) pamoja na Mtendaji Mkuu wa umoja wa makampuni ya Sanlam. Ndugu.Ian Kirk..Israel Kamuzora, Kamishna wa Bima katika Mamlaka...

 

11 years ago

TheCitizen

Barrick Gold accused of illegal money deals

>African Barrick Gold Plc, the Tanzanian subsidiary of Canadian gold company Barrick Gold Corp, has been accused of illegal payments to government officials in the North Mara mine. In the process of buying land near the mine starting last year, African Barrick paid more than $400,000 (Sh670 million) in cash, mostly to Tanzanian government officials and consultants responsible for valuing the land, according to company invoices and copies of cheques reviewed by The Wall Street Journal.

 

11 years ago

TheCitizen

The puzzle of Barrick Gold mine versus community conflict

On the night of January 17, more than 2,000 men armed with pangas, stones and hammers raided the North Mara Gold Mine in search of waste rock filled with tiny amounts of gold. In the ensuing battle with mine guards and police, one officer was injured and one of the intruders was killed.

 

11 years ago

Dewji Blog

BMTL yabadili jina la kibiashara na kuwa Copy Cat rasmi

BMTL CEO

Afisa Mtendaji Mkuu wa BMTL, Copy Cat, Bw Mike Holtham akizungumza na mmoja wa wageni waalikwa katika sherehe hizo za kuzindua jina jipya nchini na kuzungumza na wateja wao.

.Yapata Afisa Mtendaji Mkuu Mpya

.yawa wakala rasmi wa bidhaa za Samsung Tanzania 

Na Damas Makangale, MOblog Tanzania

KAMPUNI ya Business Machines Tanzania Limited (BMTL) imebadilisha rasmi jina lake la biashara kwenda kwenye kampuni yake mama ya Copy Cat katika harakati zake za kupanua wigo wa biashara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani