AFRICAN BARRICK GOLD MINING WADHAMINI TIBA YA UPASUAJI BURE KWA KICHWA, MGONGO NA MISHIPA YA FAHAMU KATIKA HOSPITALI YA BUGANDO MWANZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ERWuXLKgJRk/UzGJ_WdzwbI/AAAAAAAA02M/g9dBWwlSwGo/s72-c/01.ABG.jpg)
Daktari Bingwa wa Ubongo, Mgongo na mishipa ya fahamu Dr. Othman W. Kiloloma kutoka hospitali ya Muhimbili amesema kuwa timu ya madaktari saba imewasili kutoka Muhimbili ikiwa na daktari bingwa 1 wa usingizi wakiwa na vifaa vyote muhimu ili kuungana na madaktari Bingwa wa upasuaji Bugando kwaajili ya kuweka kambi ya tiba mkoani Mwanza.
Dr. Othman W. Kiloloma ameongeza kuwa dhana ya kuweka kambi Mwanza imekuja ikiwa ni hatua ya kujaribu kupunguza vifo na usumbufu unaowakumba watu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo12 Aug
Upasuaji bure ubongo, mishipa ya fahamu Muhimbili
MADAKTARI bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu, masikio na viungo kutoka nchini Misri wako nchini. Wamekuja kufanya kampeni maalumu ya afya, upasuaji na huduma mbalimbali kwa wagonjwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na Kitengo cha Mifupa Muhimbili (MOI).
10 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE NA HUDUMA ZA JAMII YATEMBELEA TAASISI YA TIBA YA MIFUPA , UPASUAJI WA UBONGO NA MISHIPA YA FAHAMU (MOI)
9 years ago
MichuziMtaalamu wa Upasuaji wa Uti wa Mgongo na Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu kutoka Hospitali za Apollo kuendesha huduma Dar
Tanzania ni moja ya nchi ambazo ina uhaba mkubwa wa madaktari bingwa wa mfumo wa fahamu kitendo kinachopelekea nchi kupoteza fedha nyingi kwa kuwapeleka wagonjwa wa matatizo ya aina hiyo nje ya nchi kupata matibabu na ushauri.
Inakadiriwa kuwa watoto wachanga 1000 kati 4000 wanaozaliwa na tatizo la mfumo wa fahamu hupatiwa matibabu huku wengine 3000 wakishindwa kupatiwa matibabu.
Kutokana na hali hiyo, Hospitali ya Apollo ya nchini India imemleta nchini daktari bingwa wa...
10 years ago
VijimamboHUDUMA YA UPASUAJI WA WATOTO WENYE UGONJWA WA KICHWA KUJAA MAJI NA MGONGO WAZI YAZINDULIWA RASMI KATIKA HOSPITARI YA RUFAA YA MKOA WA KAGERA
Na Faustine Ruta, Bukoba
Shirika lisilokuwa la serikali la Friends of Children with Cancer Tanzania (FOCC TZ) lazindua rasmi huduma ya upasuaji wa watoto wenye ugonjwa wa vichwa kujaa maji na mgongo wazi mkoani Kagera katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa ambapo jumla ya watoto arobaini wenye tatizo hilo wanatajiwa kufanyiwa upasuaji kuanzia Julai 25-26, 2015. Mkurugenzi wa shirika la FOCCTZ Bw. Walter Miya katika uzinduzi huo alisema kuwa baada ya kutoa matangazo kupitia redio za jamii mkoani...
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Hospitali ya Bugando sasa mbioni kufanya upasuaji wa moyo
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-vSH-9VHCLi0/VHw9GxUKFQI/AAAAAAAG0fg/gKnCA1K7wWU/s72-c/African-Barrick-Gold1.jpg)
Kampuni ya AFRICAN BARRICK GOLD yabadili jina,sasa kuitwa “Acacia”
![](http://2.bp.blogspot.com/-vSH-9VHCLi0/VHw9GxUKFQI/AAAAAAAG0fg/gKnCA1K7wWU/s1600/African-Barrick-Gold1.jpg)
Acacia ni mti ambao ndiyo chimbuko la jina letu jipya, ni mti unaonekana kuwa ni...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ojSCGs3jvX1-ZZHL4rvF6VtM89S-qA2Q8lVcJLmxcQqVZmn1xeFjPoS7RlJwDplZ1ZpvgECZRl0eLCsbEdMme-nfInCuX041/2.jpg?width=650)
TASWIRA ZA MAJERUHI WA AJALI YA BASI LA LUHUYE WAKIWA HOSPITALI YA RUFAA BUGANDO, MWANZA
10 years ago
Dewji Blog25 May
Upasuaji wenye madhara madogo, hatua mpya kwa matibabu ya magonjwa ya mishipa ya Moyo
Ugonjwa wa mishipa ya moyo (CAD) ni aina ya ugonjwa wa moyo unaowakumba wengi, huongoza kusababisha vifo kwa wengi ikiwemo wanawake na wanaume. Ugonjwa hutokea wakati mishipa ya ateri inayosambaza damu kwenye misuli ya moyo inapokakamaa na kuwa nyembamba. Hii ni kwa sababu ya kujengeka kwa kolesteroli na vitu vingine kama utando kwenye kuta za ndani ya moyo. Kujijenga huku kisayansi hujulikana kama ‘atherosclerosis’. Kujengeka kwake kunapoongezeka kunapunguza mtiririko wa damu kwenye atiri,...
5 years ago
Nasdaq26 Feb
Stock Alert: Barrick Gold Corp. (GOLD) Shares Hit 52-Week High