KUTOKA LONDON : Vinywaji baridi vya kuchangamsha hatari kwa afya zetu
Oktoba 2014, Shirika la Afya Duniani (WHO) lilionya ongezeko la vinywaji vya kuchangamsha. Takwimu za WHO zilinguruma, “energy drinks†(kwa kimombo), hutumiwa zaidi na asilimia 68 ya vijana, watoto chini ya miaka 10 asilimia 18, na asilimia 30 ya watu wazima. Onyo lilizingatia madhara ya vinywaji hivi vyenye ladha tamu inayowavutia watoto.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo31 Dec
Vinywaji vya kuongeza nguvu ni hatari
VINYWAJI baridi vyenye lengo la kuongeza nguvu vinadaiwa kuwa hatari kwa afya ya watumiaji baada ya kubaini baadhi ya kemikali husababisha madhara mwilini.
9 years ago
MichuziKAMPUNI YA SBS YAPUNGUZA BEI ZA VINYWAJI BARIDI
Hayo yamesemwa na Meneja Mafunzo na Uwezeshaji Bw.Rashid Chenja (Pichani)alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam na kuongeza kuwa lengo la kupunguza bei ni kutokana na hali ngumu ya uchumi iliyopo.
“Imekuwa vigumu kwa mnywaji kuweza kudumu bei ya kinywaji...
5 years ago
MichuziWAZIRI WA AFYA ZANZIBAR APOKEA VIFAA MBALI MBALI VYA AFYA KUTOKA KWA MFANYA BIASHARA SAID NASSIR NASOR (BOPER)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VzJr97GZtJY/VHiGDuI2y1I/AAAAAAAGz8M/6-c5GBWn8Es/s72-c/unnamed%2B(20).jpg)
Wizara ya Afya yapokea magari na vifaa vya afya kutoka WHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-VzJr97GZtJY/VHiGDuI2y1I/AAAAAAAGz8M/6-c5GBWn8Es/s1600/unnamed%2B(20).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-2bnS26_Ncdw/VHiGD3VabbI/AAAAAAAGz8Q/1d4gBai2jYU/s1600/unnamed%2B(21).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-BF_38glYPMU/VHiGCzTb7fI/AAAAAAAGz8E/Y2DFOn3xxWc/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
‘Maadui’ hatari kwa afya ya binadamu
UJUZI wa kitabibu na teknolojia ya afya ya mwanadamu vinaendelea kukua. Licha ya maendeleo hayo, magonjwa ya kuambukiza yanaendelea kuikumba dunia na kuwatesa wanadamu. Serikali nyingi duniani zinaelemewa na gharama...
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Kampuni ya vinywaji ya SBC Tanzania yashusha bei ya vinywaji vyao,sasa ni Ths. 500 tu!
Mkurugenzi wa Mafunzo na Uelimishaji Kitaifa kutoka kampuni ya SBC Tanzania, Rashid Chenja akionesha tangazo jipya linaloonyesha punguzo la bei ya soda zao kutoka Tsh. 600 hadi Tsh. 500 kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) bei ambayo inaanza kutumika sasa kuanzia leo. Wengine: Kushoto ni Roselyne Bruno Meneja Masoko wa kampuni hiyo na kulia ni Omary Mandaya Meneja mauzo wa kampuni hiyo. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Rabi Hume,Modewjiblog
Kampuni ya kutengeneza...
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Viatu hatari kwa afya ya miguu ya wanawake
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Picha za ngono ni hatari kwa afya ya ubongo
10 years ago
Mwananchi19 Jun
Mayai yasipoiva vizuri ni hatari kwa afya