KAMPUNI YA SBS YAPUNGUZA BEI ZA VINYWAJI BARIDI
KAMPUNI ya SBC Tanzania Limited, watengenezaji na wasambazaji wa vinywaji baridi imepunguza bei ya vinywaji vyake kutoka shillingi mia sita (600) hadi mia tano (500) kwa chupa yenye ujazo wa Mililita 350 na 300.
Hayo yamesemwa na Meneja Mafunzo na Uwezeshaji Bw.Rashid Chenja (Pichani)alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam na kuongeza kuwa lengo la kupunguza bei ni kutokana na hali ngumu ya uchumi iliyopo.
“Imekuwa vigumu kwa mnywaji kuweza kudumu bei ya kinywaji...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Kampuni ya vinywaji ya SBC Tanzania yashusha bei ya vinywaji vyao,sasa ni Ths. 500 tu!
Mkurugenzi wa Mafunzo na Uelimishaji Kitaifa kutoka kampuni ya SBC Tanzania, Rashid Chenja akionesha tangazo jipya linaloonyesha punguzo la bei ya soda zao kutoka Tsh. 600 hadi Tsh. 500 kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) bei ambayo inaanza kutumika sasa kuanzia leo. Wengine: Kushoto ni Roselyne Bruno Meneja Masoko wa kampuni hiyo na kulia ni Omary Mandaya Meneja mauzo wa kampuni hiyo. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Rabi Hume,Modewjiblog
Kampuni ya kutengeneza...
9 years ago
Mwananchi27 Sep
KUTOKA LONDON : Vinywaji baridi vya kuchangamsha hatari kwa afya zetu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3YX5i7K88Ayblx5pH*Oz*2CGWv*nISpmaZ3moHUYzI0WNvSesYimoyAYV62OEShKnRCwAS24-fTqLYK2dvYU8Uzr2a0W8qLm/Wizkidhoodie.jpg?width=650)
WIZKID AONGEZA MKATABA NA KAMPUNI YA VINYWAJI
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
DMK City Link Express -yapunguza bei za kwenda au kutoka Airport zote Washington (DMV)
PIA TUNATOA HUDUMA ZA USAFIRI WA KAWAIDA NDANI YA WASHINGTON DMV
MAGARI MAGODO(4 DOORS) // SUV NA MINI VAN (6-8 PASSENGERS)
10 years ago
Michuzi01 Jan
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-5ZeauSGgC9o/VKUAdPjg5uI/AAAAAAAG6zo/KroIKLYkpmw/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-01-01%2Bat%2B11.06.54%2BAM.png)
SERIKALI YAITAKA KAMPUNI YA STEPS KUSITISHA USHUSHWAJI WA BEI ZA FILAMU
![](http://1.bp.blogspot.com/-5ZeauSGgC9o/VKUAdPjg5uI/AAAAAAAG6zo/KroIKLYkpmw/s1600/Screen%2BShot%2B2015-01-01%2Bat%2B11.06.54%2BAM.png)
Wizara imeyashughulikia malalamiko hayo na kuona kuwa bei iliyotangazwa na Kampuni ya Steps Entertainment si halisi na itasababisha tasnia ya filamu kudharauliwa na pia haina tija katika tasnia ya filamu.
Wizara inaiagiza kampuni ya Steps Entertainment kusitisha kuanza kuuza filamu hizo kwa bei ya Tshs. 1000...
10 years ago
StarTV18 Dec
Kushuka kwa bei ya Dhahabu, Kampuni zaaswa kutopunguza wafanyakazi.
Na Shaabani Alley,
Shinyanga.
Wakati bei ya dhahabu katika soko la dunia ikiwa imeshuka, Serikali imetoa wito kwa Kampuni ya uchimbaji wa Dhahabu ya ACACIA kutopunguza wafanyakazi kwenye migodi yake ukiwemo wa Buzwagi wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Bei ya Dhahabu kwa mwaka 2014 imekuwa chini ya dola 1,300 kwa ounce moja kwa muda mrefu na kufikia Novemba bei ilikuwa 1,129 kwa ounce moja hali ambayo imeleta mtikisiko wa uendeshaji wa makampuni ya uchimbaji wa Dhahabu.
Ilikuwa ni siku...
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Kampuni ya Vunja Bei yamkabidhi Mkuu wa Mkoa Arusha zawadi ya Dinner Set na jiko la Gesi
Mkurugenzi wa kampuni ya vunja bei inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya nyumbani Bw.Shija Ulaya Kamanija akimkabidhi zawadi ya dinner set Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh.Felix Ntibenda jana kwa kumpongeza kuchaguliwa kuwa mkuu wa mkoa huo ambapo pia aliwapatia watumishi zawadi ya chupa ya chai na vikombe vya chai kwa kuwapongeza kwa kufanya kazi kwa bidii shughuli hiyo ilifanyika katika viwanja vya ofisi ya mkuu wa Mkoa huku promosheni hiyo ikiwavutia wakazi wa jiji la Arusha.
Mkuu...
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA IBRALINE YATANGAZA NAULI MPYA KWA MABASI YAKE,ABIRIA SASA KULIPA NUSU BEI YA SUMATRA
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Moshi.
SIKU chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kutangaza punguzo la bei ya Mafuta Kampuni ya kutoa huduma ya usafirishaji wa ndani na nje ya nchi ya Ibraline imetangaza kushusha nauli kwa nusu ya bei elekezi ya SUMATRA.
Hatua hiyo inakuja wakati baadhi ya wananchi kulalamika kutokuwepo na ahueni yoyote licha ya kwamba serikali imetangaza kushusha bei ya bidhaa ya Mafuta...