Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viatu hatari kwa afya ya miguu ya wanawake

‘Mchuchumio’ ama viatu vyenye visigino virefu, ni mojawapo ya vitu vinavyopendwa na baadhi ya wanawake mbalimbali, si katika Tanzania bali dunia nzima.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MADHARA YA UVAAJI VIATU VIREFU KWA WANAWAKE

NI wazi kuwa viatu virefu huvutia sana vinapo kuwa vimevaliwa.Tulio wengi hasa mabinti au wanawake tunaokwenda na wakati hupenda kuvaa viatu virefu ilikuongeza muonekano wa umbile lako nikiwa na maana kuwa miguu huonekana yenye kuvutia zaidi unapo kuwa umevaa viatu virefu.

Kutokana na utafiti wa kitaalamu, mwanamke ana uwezo wa kutembea wastani wa hatua 10,000 kwa siku.Visigino virefu hufanya nguvu inayotumika kutembea hatua moja kuwa kubwa kuliko kawaida, huku vikikunyima raha ya kutembea...

 

11 years ago

GPL

PROIN PROMOTIONS YATANGAZA RASMI KUDHAMINI LIGI YA MPIRA WA MIGUU KWA WANAWAKE

Katibu wa Michezo kutoka Kampuni ya Proin, Godlisten Anderson akitambulisha viongozi wa kampuni ya Proin Promotions kwa waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika leo katika Hoteli ya Southern Sun. Kampuni ya Proin imetangaza kudhamini ligi ya mpira wa miguu kwa Wanawake inayotarajiwa kuanza Mwezi wa Nane.
Rais TFF, Mh Jamal Malinzi na Mwenyekiti wa makampuni ya Proin, Mh Johnson Lukaza wakitia...

 

10 years ago

GPL

MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE

KUNA magonjwa mengi ya hatari kwa wanawake ambayo huwakumba kwenye viungo vya uzazi na dalili za kuyatambua ni nyingi japokuwa wanaume pia huweza kupatwa na matatizo hayo. DALILI KWA WANAWAKE
Kwa upande wa wanawake, wanaweza kutambua kwamba wana ugonjwa ambao utaathiri viungo vya uzazi kwa kutokwa na majimaji au ute kwenye uke. Wanawake wanapaswa kutafuta msaada wa kimatibabu kwa daktari wakigundua lolote kati ya haya...

 

10 years ago

GPL

MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE-3

Leo naendelea kuelezea kuhusu magonjwa hatari kwa wanawake, lengo likiwa kukuelimisha kuhusiana na maradhi hayo. ATHARI YA KUTOTIBIWA MAPEMA MAGONJWA YA NGONO
Magonjwa haya ya ngono yasipotibiwa mapema na kwa usahihi yanaweza kuleta athari zifuatazo kwa mgonjwa. KWA WANAWAKE
Kwa mwanamke anaweza kupata tatizo la kuziba mirija ya uzazi na kukumbwa na tatizo la mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi au kutozaa kabisa. Mgonjwa wa...

 

10 years ago

GPL

MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE-2

WIKI iliyopita tulielezea magonjwa hatari kwa wanawake lakini pia huweza kuwakumba wanaume wengi wakajifunza kutokana na mada ile. Leo tutaeleza tabia zinazoweza kuchochea maambukizi ya magonjwa hayo hasa yale ya ngono.
Njia moja kubwa ya kuenea magonjwa ya ngono ni ya kujamiiana bila kutumia kinga ya kondomu. Vijana wengi hasa wa kike hukosa ujasiri wa kusisitiza matumizi ya kondomu kwa kuhofia kuachwa na wapenzi wao. Wengine...

 

10 years ago

GPL

MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE-4

Tumalizie makala yetu kwa kueleza athari za magonjwa ya ngono yasipotibiwa mapema: Kijana wa kike hupatwa na tatizo la kuziba mirija ya uzazi ambapo husababisha ama mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi au ugumba; maambukizi katika mfuko wa uzazi; kupata magonjwa katika viungo muhimu mwilini; magonjwa ya moyo na mishipa ya damu, kansa ya kizazi, mabadiliko ya hedhi na mwishowe Ukimwi. Lakini pia si vibaya tukieleza athari kwa kijana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Maadui’ hatari kwa afya ya binadamu

UJUZI wa kitabibu na teknolojia ya afya ya mwanadamu vinaendelea kukua. Licha ya maendeleo hayo, magonjwa ya kuambukiza yanaendelea kuikumba dunia na kuwatesa wanadamu. Serikali nyingi duniani zinaelemewa na gharama...

 

10 years ago

Mwananchi

Mayai yasipoiva vizuri ni hatari kwa afya

Mayai ni moja ya vyakula vyenye viini lishe muhimu kwa ajili ya afya ya mwili wa binadamu. Kwa kawaida mayai kabla ya kuliwa, huandaliwa kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuchemshwa, kukaangwa au kuchanganywa na vyakula vingine kama vipande vya viazi mviringo ambavyo ni maarufu kwa jina la chips.

 

9 years ago

Mwananchi

Picha za ngono ni hatari kwa afya ya ubongo

Utandawazi na ongezeko la maarifa katika teknolojia ya vifaa ya mawasiliano ya kidijitali, umesababisha kusambaa picha na video za ngono.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani