Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE-4

Tumalizie makala yetu kwa kueleza athari za magonjwa ya ngono yasipotibiwa mapema: Kijana wa kike hupatwa na tatizo la kuziba mirija ya uzazi ambapo husababisha ama mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi au ugumba; maambukizi katika mfuko wa uzazi; kupata magonjwa katika viungo muhimu mwilini; magonjwa ya moyo na mishipa ya damu, kansa ya kizazi, mabadiliko ya hedhi na mwishowe Ukimwi. Lakini pia si vibaya tukieleza athari kwa kijana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE-2

WIKI iliyopita tulielezea magonjwa hatari kwa wanawake lakini pia huweza kuwakumba wanaume wengi wakajifunza kutokana na mada ile. Leo tutaeleza tabia zinazoweza kuchochea maambukizi ya magonjwa hayo hasa yale ya ngono.
Njia moja kubwa ya kuenea magonjwa ya ngono ni ya kujamiiana bila kutumia kinga ya kondomu. Vijana wengi hasa wa kike hukosa ujasiri wa kusisitiza matumizi ya kondomu kwa kuhofia kuachwa na wapenzi wao. Wengine...

 

10 years ago

GPL

MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE

KUNA magonjwa mengi ya hatari kwa wanawake ambayo huwakumba kwenye viungo vya uzazi na dalili za kuyatambua ni nyingi japokuwa wanaume pia huweza kupatwa na matatizo hayo. DALILI KWA WANAWAKE
Kwa upande wa wanawake, wanaweza kutambua kwamba wana ugonjwa ambao utaathiri viungo vya uzazi kwa kutokwa na majimaji au ute kwenye uke. Wanawake wanapaswa kutafuta msaada wa kimatibabu kwa daktari wakigundua lolote kati ya haya...

 

10 years ago

GPL

MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE-3

Leo naendelea kuelezea kuhusu magonjwa hatari kwa wanawake, lengo likiwa kukuelimisha kuhusiana na maradhi hayo. ATHARI YA KUTOTIBIWA MAPEMA MAGONJWA YA NGONO
Magonjwa haya ya ngono yasipotibiwa mapema na kwa usahihi yanaweza kuleta athari zifuatazo kwa mgonjwa. KWA WANAWAKE
Kwa mwanamke anaweza kupata tatizo la kuziba mirija ya uzazi na kukumbwa na tatizo la mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi au kutozaa kabisa. Mgonjwa wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Haya ni magonjwa saba hatari yanayodhibitiwa kwa chanjo (2)

Katika mfululizo wa makala hizi za chanjo muhimu za magonjwa, leo maelezo yatajikita kwenye magonjwa matano, pepopunda, kifaduro, dondakoo, surua na homa ya ini.

 

10 years ago

GPL

MAGONJWA NYEMELEZI KWA WANAWAKE-5

Tumekuwa tukielezea kuhusu magonjwa nyemelezi kwa wanawake, hata hivyo haya maradhi ya leo yanawahusu pia wanaume. Ugonjwa wa Ngozi:
Huu husababishwa na vimelea vya Staphylococcus aureus.Vimelea hivi huishi katika mwili wa binadamu (kwenye ngozi ya kichwa na kinena (groins) na kwapani) bila madhara.Pia hupatikana kooni na katika utumbo mpana na mkojo. Vimelea vya Staphylococcus husambaa kwenda sehemu nyingine ya mwili kutoka...

 

10 years ago

GPL

MAGONJWA NYEMELEZI KWA WANAWAKE- 6

Ugonjwa huu huanza ghafla na dalili zake ni kama homa kali, kikohozi, maumivu wakati wa kupumua, baridi na kutetemeka. Ugonjwa wa Ngozi:
Huu husababishwa na vimelea vya Staphylococcus aureus.Vimelea hivi huishi katika mwili wa binadamu (kwenye ngozi ya kichwa na kinena (groins) na kwapani) bila madhara.Pia hupatikana kooni na katika utumbo mpana na mkojo. Vimelea vya Staphylococcus husambaa kwenda sehemu nyingine ya mwili...

 

11 years ago

Mwananchi

Viatu hatari kwa afya ya miguu ya wanawake

‘Mchuchumio’ ama viatu vyenye visigino virefu, ni mojawapo ya vitu vinavyopendwa na baadhi ya wanawake mbalimbali, si katika Tanzania bali dunia nzima.

 

9 years ago

Global Publishers

Magonjwa hatari yatokanayo na kujamiiana

Happy-couple-bed-008.jpgNitakuwa nayachambua magonjwa mbalimbali hatari yatokanayo na kujamiiana ambayo kitaalam huitwa Sexually Transmitted Diseases (STD) ili tuweze kujiepusha nayo na wale ambao wanasumbuliwa na magonjwa hayo waweze kuyatibu na kujiepusha kuwaambukiza wengine.

Ifahamike kuwa magonjwa yote ya zinaa huathiri wanawake na wanaume lakini baadhi ya magonjwa hayo huwa na madhara zaidi kwa wanawake, hii ni kwa sababu pale mjamzito anapokuwa na ugonjwa wa zinaa, baadhi ya magonjwa hayo huweza pia...

 

9 years ago

Global Publishers

Magonjwa hatari yatokanayo na kujamiiana- 2

TULIANZA wiki iliyopita kueleza magonjwa hatari ya kujamiiana, leo tunaendelea kueleza tukijikita zaidi kufafanua yanavyoambukiza, tukianza na kisonono, endelea…

Mara nyingi dalili za magonjwa ya zinaa huwa hazionekani mapema kwa wanawake na hata baadhi ya wanaume.Watu wengi huhisi kuwa, kitendo cha kubusiana kwa ‘kula denda’ni salama, lakini si kama wanavyofikiria kwani baadhi ya magonjwa kama kaswende, herpes na mengine, yanaweza kuambukizwa kupitia njia hii.

Kondomu au mipira ya kiume...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani