MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE

KUNA magonjwa mengi ya hatari kwa wanawake ambayo huwakumba kwenye viungo vya uzazi na dalili za kuyatambua ni nyingi japokuwa wanaume pia huweza kupatwa na matatizo hayo. DALILI KWA WANAWAKE Kwa upande wa wanawake, wanaweza kutambua kwamba wana ugonjwa ambao utaathiri viungo vya uzazi kwa kutokwa na majimaji au ute kwenye uke. Wanawake wanapaswa kutafuta msaada wa kimatibabu kwa daktari wakigundua lolote kati ya haya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE-2
10 years ago
GPL
MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE-3
10 years ago
GPL
MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE-4
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Haya ni magonjwa saba hatari yanayodhibitiwa kwa chanjo (2)
11 years ago
GPL
MAGONJWA NYEMELEZI KWA WANAWAKE-5
11 years ago
GPL
MAGONJWA NYEMELEZI KWA WANAWAKE- 6
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Viatu hatari kwa afya ya miguu ya wanawake
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Magonjwa hatari yatokanayo na kujamiiana
Nitakuwa nayachambua magonjwa mbalimbali hatari yatokanayo na kujamiiana ambayo kitaalam huitwa Sexually Transmitted Diseases (STD) ili tuweze kujiepusha nayo na wale ambao wanasumbuliwa na magonjwa hayo waweze kuyatibu na kujiepusha kuwaambukiza wengine.
Ifahamike kuwa magonjwa yote ya zinaa huathiri wanawake na wanaume lakini baadhi ya magonjwa hayo huwa na madhara zaidi kwa wanawake, hii ni kwa sababu pale mjamzito anapokuwa na ugonjwa wa zinaa, baadhi ya magonjwa hayo huweza pia...
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Magonjwa hatari yatokanayo na kujamiiana- 2
TULIANZA wiki iliyopita kueleza magonjwa hatari ya kujamiiana, leo tunaendelea kueleza tukijikita zaidi kufafanua yanavyoambukiza, tukianza na kisonono, endelea…
Mara nyingi dalili za magonjwa ya zinaa huwa hazionekani mapema kwa wanawake na hata baadhi ya wanaume.Watu wengi huhisi kuwa, kitendo cha kubusiana kwa ‘kula denda’ni salama, lakini si kama wanavyofikiria kwani baadhi ya magonjwa kama kaswende, herpes na mengine, yanaweza kuambukizwa kupitia njia hii.
Kondomu au mipira ya kiume...