Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADHARA YA UVAAJI VIATU VIREFU KWA WANAWAKE

NI wazi kuwa viatu virefu huvutia sana vinapo kuwa vimevaliwa.Tulio wengi hasa mabinti au wanawake tunaokwenda na wakati hupenda kuvaa viatu virefu ilikuongeza muonekano wa umbile lako nikiwa na maana kuwa miguu huonekana yenye kuvutia zaidi unapo kuwa umevaa viatu virefu.

Kutokana na utafiti wa kitaalamu, mwanamke ana uwezo wa kutembea wastani wa hatua 10,000 kwa siku.Visigino virefu hufanya nguvu inayotumika kutembea hatua moja kuwa kubwa kuliko kawaida, huku vikikunyima raha ya kutembea...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VIATU VIREFU VYAMTOA NISHAI MAIMARTHA

Na Gladness Mallya
MTANGAZAJI maarufu Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiteguka mguu baada ya kudondoshwa na viatu virefu alivyokuwa amevaa. Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse. Paparazi wetu alimshuhudia Maimartha akiwa anachechemea kwenye sherehe moja ya kitchen party hivi karibuni huku akiwa bado amevaa viatu virefu na alipoulizwa kulikoni anachechemea alijibu kwamba aliteguka mguu baada ya kudondoshwa na viatu...

 

10 years ago

GPL

ZARI AONYWA VIATU VIREFU NA UJAUZITO

MWANDISHI WETU UBAVU wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ ameonywa kuacha viatu virefu kutokana na ujauzito alionao.
Kwa mujibu wa daktari mmoja ambaye hakupenda jina lake lichorwe gazetini, alisema kama anataka kujifungua salama basi ahakikishe anaachana na suala la kuvaa viatu virefu kwa wakati huu ambao ni mjamzito. Ubavu wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan...

 

10 years ago

GPL

VIATU VIREFU VYAMUUMBUA KIM KARDASHIAN

Staa hot, modo wa ukweli, Kim Kardashian. New York, Marekani
STAA hot, modo wa ukweli, Kim Kardashian, almanusura aanguke kufuatia kiatu alichokivaa kuwa kirefu, hivyo kusababisha ajikwae, Ijumaa iliyopita huko Beverly Hills. Kim alikwenda kufanya shopping kwenye Duka la Celine on Rodeo Drive lililopo Beverly Hills ambalo huuza mavazi ya kike, ndipo akakutwa na masaibu hayo ya kuteguka na kutaka kuanguka lakini aliweza...

 

11 years ago

Mwananchi

Viatu hatari kwa afya ya miguu ya wanawake

‘Mchuchumio’ ama viatu vyenye visigino virefu, ni mojawapo ya vitu vinavyopendwa na baadhi ya wanawake mbalimbali, si katika Tanzania bali dunia nzima.

 

11 years ago

Mwananchi

Dondoo za uvaaji kwa wenye maumbo makubwa

Kuwa na umbo kubwa ni miongoni mwa sifa za mwanamke wa Kiafrika. Pamoja na kuwa na asili hiyo mara nyingi wanawake wenye maumbo ya aina hii wamekuwa wakipata wakati mgumu sana katika kutafuta mavazi yanayoendana na maumbo yao.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mmiliki wa kiwanda cha viatu (WOISO) aelezea mafanikio yake kupitia shuguli ya ushonaji viatu

001

Mmiliki wa Kiwanda cha Viatu WOISO kilichopo Tegeta jijini Dar es Salaam ,Bw Kenneth Herman (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea mafanikio yake alioyapata kupitia shuguli za kushona viatu na kuweza kumiliki Kiwanda cha Viatu  na kuwaajili watu zaidi ya 2,50. Kwenye kiwanda hicho (kushoto), Msimazi wa Kiwanda hicho Bi.Teya Herman.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).

002

Wafanyakazi wa kiwanda cha WOISO wakiwa kazini.

003

Eliza  Hamad, akiwa na mfanyakazi mwezie Bw.Hilari Kimario...

 

5 years ago

Michuzi

NBC WAMPONGEZA KOPLO TWAIBU KWA KUTOA ELIMU YA UVAAJI BARAKOA KATIKA DALADALA

BENKI ya Kibiashara ya  NBC imetambua juhudi mahususi za Jeshi la Polisi Tanzania na maofisa wake katika  kipindi chote cha mlipuko wa homa kali inayosababishwa na virusi vya Covid-19 maarufu kama corona. 
Katika matukio mbali mbali ya kipekee, maofisa kwa Jeshi la Polisi Tanzania wameonyesha  hekima ya hali ya juu na dhamira ya kuwatumikia, kuwalinda na kuhakikisha Watanzania  wanatekeleza maelekezo ya wataalam ya jinsi ya kupambana na ugonjwa wa corona. 
Aidha, benki hiyo ikishirikiana na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajinyonga kwa kamba za viatu

WATU wawili wamefariki dunia jijini Dar es Salaam katika matukio tofauti likiwemo la mmoja kujinyonga kwa kutumia kamba za viatu alizokuwa amezifunga kwenye tawi la mti. Kamanda wa Polisi Mkoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani