ZARI AONYWA VIATU VIREFU NA UJAUZITO
![](http://api.ning.com:80/files/nBD8FQWarq*5DPwGM7yMvaYoFKjdr0vqCkuX1uAsNC3bTEQgGYxBCpZZ*didYDzomH1Tgykz-1yx2bABvNcyqREKIMFvYs73/a.jpg?width=650)
MWANDISHI WETU UBAVU wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ ameonywa kuacha viatu virefu kutokana na ujauzito alionao. Kwa mujibu wa daktari mmoja ambaye hakupenda jina lake lichorwe gazetini, alisema kama anataka kujifungua salama basi ahakikishe anaachana na suala la kuvaa viatu virefu kwa wakati huu ambao ni mjamzito. Ubavu wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-RBs8*rgvkbF4iCJXSZQWasvsG2XTsm0CQ0qfrKcYEzYBc9Gg8st-LmorB3L8LVCkYqShN4*pGaccKS1AS*JL5t/29941008000005783122119imagea53_1434155647453.jpg?width=550)
VIATU VIREFU VYAMUUMBUA KIM KARDASHIAN
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0JjbnEHDwZtDdiW*B*vOLD8dJAEIE-rbQwnou6pQH8*skwqQCpS7HUFDj3JbGtobFDwwkhlapx-p*uY3Hpp2IJKCvt/maipdf.jpg?width=650)
VIATU VIREFU VYAMTOA NISHAI MAIMARTHA
5 years ago
CCM Blog![](https://3.bp.blogspot.com/-zl9PTcIVcNI/XCTwyOsi_cI/AAAAAAAArgo/OKKRvNkZIZkIXrcnSbQHjYRE8fR0gRC1wCLcBGAs/s72-c/1-6%2B%25281%2529.png)
MADHARA YA UVAAJI VIATU VIREFU KWA WANAWAKE
![](https://3.bp.blogspot.com/-zl9PTcIVcNI/XCTwyOsi_cI/AAAAAAAArgo/OKKRvNkZIZkIXrcnSbQHjYRE8fR0gRC1wCLcBGAs/s640/1-6%2B%25281%2529.png)
Kutokana na utafiti wa kitaalamu, mwanamke ana uwezo wa kutembea wastani wa hatua 10,000 kwa siku.Visigino virefu hufanya nguvu inayotumika kutembea hatua moja kuwa kubwa kuliko kawaida, huku vikikunyima raha ya kutembea...
10 years ago
Vijimambo08 Feb
TAZAMA UJAUZITO WA ZARI ULIVYOKUA (PICHA)
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/02/10858536_10206224863845498_4240683327711360665_n.jpg)
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/02/1503360_10206225110491664_403076215128371373_n.jpg)
10 years ago
Bongo Movies17 Feb
Zari Ajibu Kejeli za Wema Kuhusu Ujauzito Aliyopewa na Diamond!
Mrembo na mjasiliamali kutoka Uganda, Zari Hassan ameonekana kushangazwa na kitendo cha mwigizaji Wema Sepetu kukejeli ujauzizo alionao ambao amepewa na Diamond ambae alikuwa mpezi wa Wema.
Mbali na watu kadhaa ambao wamejinasibisha mitandao kuwa wao hawayapendi mahusiano ya Zari na Diamond kusambaza mtandaoni picha ya Zari ikiwa na maneno ya kejeli kuhusu mimba aliyonayo, Wema nae alishiriki kuiweka picha hiyo yenye maneno ya kejeli yanayosomeka ‘Mimba My Foot” kama yanavyosomeka kwenye...
10 years ago
Bongo509 Feb
‘Mimba My Foot’, Zari ammind Wema baada ya kukejeli ujauzito wake
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/iXbY1jhuJ4g/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo14 Jan
SOMO LA KONDOM JAMAA KA FALL KABISA HATIMAYE DIAMOND AMPA UJAUZITO ZARI
10 years ago
Bongo Movies14 Jan
Baada ya kushindwa kuzaa na Wema na Penny. Hatimaye Diamond 'ampa' ujauzito Zari
Baada ya sokosoko kuu la kwanini?? muda wote huu kijana Nassib Abdul – Diamond Platnumz pamoja na list yake ndeeeefu ya mabinti wa bongomovies aliowahi kutembea nao hajawahi kuwa hata na mtoto wa kusingiziwa, HATIMAYE jana kupitia kwenye nyezo za kiteknolojia tumeweza kudokezwa juu ya ujauzito alionao mwanadada ZARI ambao ni fika utakuwa wa kijana huyu anayetamba na wimbo wa “Nitampata wapi” ambao wachunguziwa mambo wanadai ETi ni dedication kwa mpenzi wake maarufu wa zamani.
USHAHIDI WA...