Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zari Ajibu Kejeli za Wema Kuhusu Ujauzito Aliyopewa na Diamond!

Mrembo na mjasiliamali kutoka Uganda, Zari Hassan  ameonekana kushangazwa na kitendo cha mwigizaji Wema Sepetu kukejeli ujauzizo alionao ambao amepewa na Diamond ambae alikuwa mpezi wa Wema.

Mbali na watu kadhaa ambao wamejinasibisha mitandao kuwa wao hawayapendi mahusiano ya Zari na Diamond kusambaza mtandaoni picha ya Zari ikiwa na maneno ya kejeli kuhusu mimba aliyonayo, Wema nae alishiriki kuiweka picha hiyo yenye maneno ya kejeli  yanayosomeka ‘Mimba My Foot” kama yanavyosomeka kwenye...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya kushindwa kuzaa na Wema na Penny. Hatimaye Diamond 'ampa' ujauzito Zari

Baada ya sokosoko kuu la kwanini?? muda wote huu kijana Nassib Abdul – Diamond Platnumz pamoja na list yake ndeeeefu ya mabinti wa bongomovies aliowahi kutembea nao hajawahi kuwa hata na mtoto wa kusingiziwa, HATIMAYE jana kupitia kwenye nyezo za kiteknolojia tumeweza kudokezwa juu ya ujauzito alionao mwanadada ZARI ambao ni fika utakuwa wa kijana huyu anayetamba na wimbo wa “Nitampata wapi” ambao wachunguziwa mambo wanadai ETi ni dedication kwa mpenzi wake maarufu wa zamani.

 

USHAHIDI WA...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hatimaye!! Wema afunguka kuhusu Diamond na Zari. "Adai anawapenda sanaaa"

Hatimaye Kwa mara ya kwanza Wema Sepetu amezungumza kuhusu uhusiano wa aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na mrembo wa Uganda, Zari The Boss Lady ambao sasa ni ‘talk of East Africa’.

Wema akiwa pembeni kumsupport Diamond
 

Wema alianza kwa kuwasifia na kusema anaipenda couple yao,

“Aisee nawapenda they make such a good couple, yeah”alipoulizwa na Soudy Brown wa U Heard ya XXL kama haoni wivu alijibu, “Wivu wa nini mimi and Diamond we were not meant to be it didn’t work basi, so I wish him all the best and I wish him...

 

10 years ago

Bongo5

Exclusive: Diamond afunguka kuhusu Wema, Zari, Penny, Chameleone, Yemi Alade, Waje na mengine (Video)

Tumekaa na Diamond Platnumz kuzunguma mambo kibao hususan tetesi zinazoendelea sasa kuwa ameachana na mpenzi wake Wema Sepetu na kuwa ana uhusiano na mfanyabiashara mrembo wa Uganda, Zari the Bosslady pamoja na issue zingine. Itazame hapo chini au soma kwa kifupi baadhi ya kile alichokisema. Kuhusu kwanini anatumia wazungu zaidi kwenye video zake Mimi nafikiri […]

 

10 years ago

Vijimambo

SUPER STAR DIAMOND AFUNGUKA LIVE: BORA NIFE KULIKO KUMRUDIA WEMA, WEMA NAYE AJIBU MASHAMBULIZI ILE MBAYA


KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili.Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’.Licha ya Diamond kufunguka hayo, wawili hao wamekuwa na mapenzi ya vipindi, kuna wakati waliwahi kumwagana kisha kurudiana na hakuna aliyewahi kutoa tamko zito lakini safari hii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani