Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond afunguka kuhusu Wema, Zari, Penny, Yemi Alade, Chameleone na men...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Exclusive: Diamond afunguka kuhusu Wema, Zari, Penny, Chameleone, Yemi Alade, Waje na mengine (Video)

Tumekaa na Diamond Platnumz kuzunguma mambo kibao hususan tetesi zinazoendelea sasa kuwa ameachana na mpenzi wake Wema Sepetu na kuwa ana uhusiano na mfanyabiashara mrembo wa Uganda, Zari the Bosslady pamoja na issue zingine. Itazame hapo chini au soma kwa kifupi baadhi ya kile alichokisema. Kuhusu kwanini anatumia wazungu zaidi kwenye video zake Mimi nafikiri […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Hatimaye!! Wema afunguka kuhusu Diamond na Zari. "Adai anawapenda sanaaa"

Hatimaye Kwa mara ya kwanza Wema Sepetu amezungumza kuhusu uhusiano wa aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na mrembo wa Uganda, Zari The Boss Lady ambao sasa ni ‘talk of East Africa’.

Wema akiwa pembeni kumsupport Diamond
 

Wema alianza kwa kuwasifia na kusema anaipenda couple yao,

“Aisee nawapenda they make such a good couple, yeah”alipoulizwa na Soudy Brown wa U Heard ya XXL kama haoni wivu alijibu, “Wivu wa nini mimi and Diamond we were not meant to be it didn’t work basi, so I wish him all the best and I wish him...

 

10 years ago

Africanjam.Com

TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI

Tweet

Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya kushindwa kuzaa na Wema na Penny. Hatimaye Diamond 'ampa' ujauzito Zari

Baada ya sokosoko kuu la kwanini?? muda wote huu kijana Nassib Abdul – Diamond Platnumz pamoja na list yake ndeeeefu ya mabinti wa bongomovies aliowahi kutembea nao hajawahi kuwa hata na mtoto wa kusingiziwa, HATIMAYE jana kupitia kwenye nyezo za kiteknolojia tumeweza kudokezwa juu ya ujauzito alionao mwanadada ZARI ambao ni fika utakuwa wa kijana huyu anayetamba na wimbo wa “Nitampata wapi” ambao wachunguziwa mambo wanadai ETi ni dedication kwa mpenzi wake maarufu wa zamani.

 

USHAHIDI WA...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI, ACHAMBUA UBOVU WA WEMA, PENNY NA JOKATE

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mwanamama anayekimbiza Uganda, Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady.Mapenzi bhana! Baada ya kutoka kimalavu na kumwagana na mwanadada mwenye mvuto Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kisha kuangukia kwenye ‘utamu’ wa penzi la mwanamama anayekimbiza Uganda, Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameamua kuanika siri tano za kilichomvutia kwa staa huyo gumzo Afrika Mashariki.Akizungumza katika...

 

10 years ago

Bongo Movies

Zari Ajibu Kejeli za Wema Kuhusu Ujauzito Aliyopewa na Diamond!

Mrembo na mjasiliamali kutoka Uganda, Zari Hassan  ameonekana kushangazwa na kitendo cha mwigizaji Wema Sepetu kukejeli ujauzizo alionao ambao amepewa na Diamond ambae alikuwa mpezi wa Wema.

Mbali na watu kadhaa ambao wamejinasibisha mitandao kuwa wao hawayapendi mahusiano ya Zari na Diamond kusambaza mtandaoni picha ya Zari ikiwa na maneno ya kejeli kuhusu mimba aliyonayo, Wema nae alishiriki kuiweka picha hiyo yenye maneno ya kejeli  yanayosomeka ‘Mimba My Foot” kama yanavyosomeka kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani